Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Jeshi la Polisi limetoa taarifa ya matukio matatu ya watu kutekwa/kutoweka katika mazingira ya kutatanisha na kukutwa wakiwa wameuawa, likiwemo tukio la kijana Samwaja Sifael Said, Mkazi wa Kijiji...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Haya maneno yaliyowahi kutamkwa na Sarkozy, rais wa Ufaransa kabla ya Macron. Aliyasema katika hotuba yake alipotembelea Africa kwa mara ya kwanza katika chuo kikuu cha Dakar, Senegal mwaka 2007...
5 Reactions
12 Replies
826 Views
Leo, 20.08.2024 katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Dodoma imesajili (Admission No. 000058901) malalamiko (complaint) ya Wakili Kisabo dhidi ya Mrakibu Msaidizi wa Polisi (ASP) FATUMA KIGONDO ambaye...
16 Reactions
186 Replies
17K Views
Ikiwa leo ni siku yako ya kuzaliwa, nimeshangazwa kuona siku hii muhimu inasherehekewa na viongozi wote wa Tanzania, Wakiwemo na Chawa wao. Hakika wewe Kijana Mungu alikuleta Nchi hii kwa kusudi...
3 Reactions
25 Replies
653 Views
Nauliza swali hili kwa lengo la kujiridhisha kuhusiana na taarifa fulani ila kwa sasa naona sio busara kuzitaja ila majibu yatanisaidfia kupata walau picha halisi. Naomba tujuzane kama kuna...
2 Reactions
8 Replies
384 Views
Sio sifa, ila ndio ukweli, Bukoba ina Nyamukazi, inabidi na yenyewe iandaliwe tamasha. Munyegere
2 Reactions
9 Replies
310 Views
Binafsi nimebahatika kuwa na mahusiano ya kawaida na akina dada/mama na katika simulizi za kweli za baadhi yao hapa ningependa ku-share nanyi baadhi ya visa hivyo kama ifuatavyo: Wa kwanza: Huyu...
13 Reactions
41 Replies
2K Views
Baba yangu mzazi alihamia Dar es salaan mwaka 1968, akiwa kijana, Tangu miaka hiyo mpaka anazeeka alienda kwao nara chache sana,niseme tu hakupapenda kwao,maana hakujenga hata slope kule...
29 Reactions
73 Replies
2K Views
Ukiwa barabarani, kuwa makini usije ukagongana na hawa, wakitembea vichwa vimeinama na simu mkononi. Wakitembea mbele hawaoni, wengine wanaishia mitaroni, wanakoswa kugongwa na magari. Ukiwa...
12 Reactions
18 Replies
540 Views
Juzi nilijaaliwa kuingia jijini Mwanza sasa leo nikaona nitoke nilifahamu japo kidogo jiji hili! Hakika kwa ujenzi wa SGR nimeshuhudia unaendelea lakini pia nimependa kuona ujenzi wa soko kuu japo...
0 Reactions
0 Replies
175 Views
Hivi inamaana hawa manabii wa uongo ndo wameishika gvt hivi wao ndo wamepewa jukumu la kuombea nchi.. nimemuona kuhani mussa kwenye kizimkazi Zanzibar Leo mbele ya maraisi aliomba Kwa jina la yesu...
2 Reactions
10 Replies
361 Views
Hayo si maneno yangu, ni maneno ya kilaza mmoja aliechangamka ambae anaamini kwamba umasikini unasababishwa na kutojua lugha ya kiingereza utotoni. ( 😂😂😂 utoto raha nyie/ you can just think any...
3 Reactions
20 Replies
974 Views
Nina manyama uzembe sana ila nimeanza mazoezi atleast namm niwe na muonekano kidogo!! Nikifika hapa Nawaalikeni part ya “ Mission completed”
4 Reactions
42 Replies
1K Views
Habari wakubwa hivi kuna Dawa au njia nzuri ya kuacha mtaumizi ya pombe. Shukran
10 Reactions
141 Replies
3K Views
Nina pendekeza kama kweli TAKUKURU wako pale kumdhibiti na kupambana na rushwa basi wajifanye kama Kondakta wa daladala hasa za hapa Dar Es Salaam ili wakamate Traffic ambao wanaomba rushwa...
10 Reactions
64 Replies
1K Views
Sio kila mtu anapenda kuwasha data muda wote anapoperuzi mtandao, JF zamani kama unasoma bandiko refu basi ulikuwa na uwezo wa kuzima data
4 Reactions
8 Replies
383 Views
Anonymous (b57d)
Siku za karibuni tunazidi kuona upotovu wa ukweli kwenye Vyombo vya Habari unaozidi kukithiri nchini. Hii inatokana na Waandishi wa Habari za kiupelelezi kuangalia maslahi yao binafsi kwa kupokea...
0 Reactions
0 Replies
205 Views
Wakuu, Nina miaka zaidi ya minne toka nianze kuishi jijini Dar ambako wenyeji wa huu mkoa ni wazaramo, lakini tofauti na mikoa Mingine ambako ni rahisi kukuta wenyeji wakiongea lugha zao za asili...
5 Reactions
102 Replies
20K Views
Mwenyekiti Wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Mhe.Jaji (Rufaa) Jacobs Mwambegele, akizungumza wakati akifungua mkutano wa siku moja wa Tume na Wadau wa Uchaguzi uliofanyika leo Agosti 25...
0 Reactions
1 Replies
216 Views
Hili kundi la hawa wazee waliovaa nguo nyeusi na nyekundu sijawaelewa maana wamepiga Ngoma zao na mikia ya kiganga kwa zaidi ya dakika 40. Baada ya hapo wakaanza kuvunja nazi , mayai na kupiga...
6 Reactions
52 Replies
2K Views
Back
Top Bottom