Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Huku mtaani si ajabu ukakuta mtu anafurahia kabisa mwenzake kukosa dili fulani, au kufukuzwa kazi maarufu kama kutumbuliwa. Utasikia ooh bora tulingane, na hii imepelekea hata hii inayoitwa "mob...
8 Reactions
17 Replies
581 Views
Saikolojia: Mtu akikutukana, kubaliana nae. Itamfanya ashindwe kuendelea kufanya hivyo! Mfano: 'Una sura mbaya' Jibu: Ndio, najua!
1 Reactions
0 Replies
120 Views
Mwanangu yuko katika hatua za kuomba nafasi chuoni mwaka huu, lakini anapata usumbufu mkubwa kubadilisha majina kwenye cheti chake cha kuzaliwa ili yaendane na yale yaliyo kwenye vyeti vya shule...
2 Reactions
10 Replies
750 Views
⚠️😳 Kiongozi wa kanisa Katoliki adakwa na vyombo vya usalama Marekani na kuvuliwa wadhifa huo kwa kuishi maisha ya kifahari kwa kufanya utapeli wa zaidi ya shilingi bilioni 1.7 ($650k) ambazo ni...
2 Reactions
3 Replies
528 Views
Nchi yetu imebarikiwa kuwa na mifugo mingi husasani nguruwe ila kutokana na wingi ng'ombe uonekana mboga kubwa kwa maitaji ya kila siku na wanyama wengine. Kuna nchi ambazo ng'ombe ni wachache...
10 Reactions
30 Replies
1K Views
Nimeona upuuz wa kizmkazi na tukio la kufuja pesa za wananchi wafuja jasho Watu wa kada mbali mblia redio kubwa kubwa zote ziliamia kizimkaz kurusha matangazo live na Leo kukuzanya wakuu wote...
5 Reactions
21 Replies
672 Views
NYUMBA hiyo ilijengwa mwaka 2012/2013 kwa ajili yangu wilayani Lushoto mkoani Tanga tena bila taarifa na bila idhini yangu. DJ. DON NALIMISON nilishangaa Sana kujengewa NYUMBA ya kishamba shamba...
31 Reactions
111 Replies
11K Views
The Toyota Prado TX and TXL are two popular trim levels of the Land Cruiser Prado SUV. While they share the same robust platform and off-road capabilities, there are distinct differences in terms...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kurahisisha swali langu tutolee mfano umefunga ndoa ya kiserikali kwa jina lako halisi then ukaenda kanisa fulani ukataka ufunge tena ndoa je watu wa kanisani huwa wana utaratibu wa ku check...
3 Reactions
8 Replies
371 Views
Serikali wapeni watumishi stahiki yao ya Annual increment kama ilivyo kwenye mikataba.Mpaka mwezi huu unaisha hawajapata hii haki yao ya msingi. Ninyi huko mnaneemeka na kujipa kila stahiki kwa...
1 Reactions
0 Replies
256 Views
Habari Hivi kuna kipi cha maana wanachofanya kama sio kupoteza wakati na fedha za walipa kadi. Zamani watumishi walipangiwa vituo tena wakitokea vyuoni mojakwamoja. Kinachowafanya wawashe AC...
5 Reactions
19 Replies
724 Views
Kwa mujibu wa taarifa kutoka Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA), mnyama anayeongezeka umaarufu sasa nchini ni “Simba Tundu Lissu” alizaliwa Dar es Salaam Zoo, nje kidogo ya jijini...
1 Reactions
1 Replies
377 Views
Shule za Msingi Kuna mitihani mingi sana Kwa madarasa ya 4 na 7 Mfano mock, Wanafanya Mock Kabla ya mwezi wa Tano, watafanya Tena Kabla ya mwezi wa nane, Wana mitihani ya kata, mitihani ya wilaya...
1 Reactions
3 Replies
548 Views
Mimi nilizaliwa Kijiji kimoja huko mkoa wa Tanga katika wilaya ya Korogwe, japo baba yangu alitokea mkoa wa Kilimanjaro alihamia hapo kijijini kikazi. Vijiji vingi vya mkoa wa Tanga vilitawaliwa...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Ni muda sasa nikingia mahali pa kulala, pakiwa na uchafu nakosa usingizi. Kuona chumba hakijapangiliwa akili yangu inakosa utulivu kabisa, na hili limekuwa chanzo cha migogoro kati yangu na mzazi...
10 Reactions
35 Replies
1K Views
Wanasayansi walifanya majaribio yafuatayo: waliita wanafunzi waleve 15, wakawaambia wanaombwa washiriki katika majaribio ya social science ya jinsi walevi wanavuo-socialize wakiwa pamoja...
37 Reactions
112 Replies
18K Views
Habarini wana JF natumaini tumeanza mwaka vyema kabisa Bila kupoteza wakatai nataka niwaletee hiki kisa ambacho tumeishi nacho tukiwa wadogo mpaka hivi sasa tumekuwa tunazidi kueelewa ilikuwaje...
2 Reactions
43 Replies
3K Views
GTs, Tahadhari, leo Mpesa haitumi wala kupokea hela ila salio wanakata. CRDB nazo hazifanyi kazi. Natoa angalizo tuwe na akiba ya cash muda wote! Tuendako hakueleweki
8 Reactions
26 Replies
802 Views
Uingereza - 1833 Ufaransa - 1848 Marekani - 1865 Saudi Arabia na Yemen 1962, Oman 1970 Mauritania 1981 Hadi leo Biashara hizi zinaendelea kimagendo -Libya -Western Sahara Kwa nchi kama Saudi...
3 Reactions
13 Replies
446 Views
This is misuse of public fund aisee. Hivi kabisa unakua uko sawa kiakili unatoa mil 50 unaipa timu wakati kuna watoto huko hawana vyoo? Nani anamshauri Rais ujinga huu? Hivi anafanya hivi akiwa...
20 Reactions
99 Replies
2K Views
Back
Top Bottom