Mh. IGP shkamoo popote ulipo. Naomba nikujuze tu, kuna watu wamekufa ndani ya wiki hii na haijaandikwa kwa magazeti.
Wapo waliokatwa mapanga nayo haijaandikwa popote. Mh. IGP kutokea Rainbow...
Watanzania wakati mwingine ni kama watu ambao hawajui nini hasa wanachotaka.Wakati wa utawqla wa Rais Kikwete,maneno yalikuwa mengi sana.,mlegevu,hashuguliki na masuala ya msingi ya nchi,nchi...
Uryevyedi mdau Mtanganyika!.
Basi ndugu yangu ikiwa nchi imefunguka na pesa zimejaa kwenye mifuko na account za watu huko walipo hali ipo hivi.
Watu/Taasisi binafsi kwa sasa zinatafuta watu wa...
Bakhresa, GSM, Mo Dewji na wafanyabiashara wachache hapa Tanzania wamechana msamba, ni ndoto za abunuwasi kudhani unaweza fika hapo kwa kuacha kitu cha uhakika unachoweza fanya bila backup plan...
Amani kwako mdau.
Viongozi wa madhehebu mmekaa kimya kama waumini/ kondoo wa mazizi yenu wamekamilika.
Hali siyo nzuri, mnapaswa kupiga mwangwi kupitia madhabau, hii hali ya utekaji inayoota...
Wakuu kama kichwa cha habari kinavyosema, CCM ITABAKI MILELE madarakani sababu ni moja tu wanaowaongoza ni wananchi masikini sana.
Huwa nashangaa mfano mbunge anakuja watu wanamchekeachekea tu...
Yule jamaa ana courage kubwa sana ,
Yule kwanza ni muungwana sana ,
Anapokua kashindwa wala haleti ubishi, anakubali na maisha mengine yanaendelea hataki matatizo na watu,
Buchuti anakupambania...
Hakuna kitu kikubwa kama biashara ya makazi na fremu. Embu fikiria unapanga nyumba kodi laki 5 hapo hapo una fremu mfano ipo sehemu ya mzunguko kodi laki 5.
laki 5+5= milioni 1
Mfano hiyo pesa...
Hii video inamuonyesha mztaliii Ari Smith kutoka marekani akijifunza utamaduni wa wamasai akiwa akatika hifadhi zetu. Utalii wa vitu pekee hautoshi, unahitajika pia utalii wa utamaduni. Morroco ni...
Waziri wa Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Jerry Silaa amepiga marufuku nchi zima mabango yaliyozagaa mitaani ya kuuza viwanja maarufu viwanja vinauzwa na ametoa siku 7 kwa maafisa ardhi...
Ninaomba kupata itaraibu mzima, wa kutembelea Ofisi za Jf.
Ni muda mrefu sana,Nina hamu kufika na kuzungumza nao,na kuwaeleza mambo mawili matatu.
Je, kuna mtu maalum wa kuwasiliana naye kabla...
Salamu nishamuchia ndugu yangu GENTAMYCINE na ndugu zake wa Butiama & Nyamuswa, kwangu mambo yote ni shega tu bila salamu!.
Kwanza niseme mimi si mwanasiasa,naipenda siasa ila nawachukia...
Siku moja watoto walikuja kunitembelea mwaka 2020 wakitoka USA .Bahati mbaya mtoto mwengine alikuwa anajisikia vibaya ikabidi nijifanye daktari wa kubumba nikampa dawa kwa mawazo ya maduka ya...
Wasalaam Wanajukwaa wenzangu.
Mapema tarehe 12 Julai, 2024 nimetembelea Ofisi za Jamii Forums kama mojawapo ya taasisi inayojihusisha na habari za kijamii. Lengo la ziara ni kuweza kufahamu...
Leo, Julai 12, 2024, Dkt. Dorothy Gwajima, Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake, na Makundi Maalum, ambaye pia ni mwanachama hai na aliyethibitishwa (verified) wa mtandao wa...
Nianzie mbali kidogo. Moja ya maazimio yangu kufikia January 1 mwaka huu ilikuwa ni kuacha kabisa pombe na kampani ya walevi. Pombe imenisababishia madhila kibao katika maisha ikiwamo kushusha...
Mpaka rahaa wataelewa tu
Nilikuwa naangalia star TV mahubjri ya kutoa nkaenda TV upendo kutoa
Nkamua niende kanisani huko nakoo n kutoaaa
Narudi hme sasa nasikiliza redio moja ya dini hukoo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.