Wananchi wa Kijiji cha Ndaleta Wilayani Kiteto Mkoani Manyara wameilalamikia Halmashauri ya Wilaya hiyo wakidai imehusika kuhujumu Wananchi kwa kiwango kikubwa katika masuala ya mgogoro wa ardhi...
WATUMISHI WA MUNGU TUACHE UNAFIKI ACHENI SIFA ZAKIJINGA MTU AKIWA AMEKUFA
"usiku wa leo nimejikuta kwenye dimbwi kubwa sana la mawazo nikiwaza sana kuhusu maisha yetu ya hapa duniani...
Habari za weekend Wakuu!
Nipo Njiani nakaribia Zanzibar Kwa Lengo la kumwona Simba Tundu Lisu àmbaye Mhe. Rais Samia amempa jina Hilo.
Nikifika nitakutana na Watu WA eneo Hilo wanipe...
Kwa uwekezaji na usajili walioufanya Azam fc halafu wanatolewa round ya kwanza kwenye klabu bingwa ya Africa, Dabo ameonyesha madhaifu makubwa kupigwa 2-0 na Apr ya Rwanda.
Habari zenu wadau, mimi nlikuwa nauliza hivi, kwani kazi ya kushughulikia makato(ile 20% ya mshahara kama sikosei) NSSF baina ya kampuni na mfanyakazi ni jukumu la nani? Na inawezekana vipi...
Ujenzi ukiendelea
Wiki mbili iliyopita niliandika kuhusu Shule ya Kamama iliyopo Kata ya Goweko, Kijiji cha Kamama, Wilayani Uyui kuwa ni hatarishi hasa Vyoo na madarasa, hatua zimeanza...
Koma sava wanajukwa, siku ya alhamisi wakati watuhumiwa wa kesi ya binti wa yombo wakitoka mahakamani vyombo mbalimbali vya habari vilionyesha namna watuhimiwa wanavyorudishwa mahabusu.
Mtuhumiwa...
Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga, Wakili Julius Mtatiro, amelifunga Kanisa la ‘Church of God’ lililopo kijiji cha Mendo, Tarafa ya Itwangi, Wilaya ya Shinyanga ili kupisha uchunguzi maalum huku...
Mamlaka ya Jiji la Dar es Salaam hailipi mishahara kwa waajiriwa wake kwa wakati, kwa mfano mshahara wa mwezi May ulilipwa tar 06.0.6.24,Wa Mwezi June ulilipwa tar 02.08.24 mwezi July haujalipwa...
Nimefika kwa wakala kwa lengo la kutoa pesa kutoka mtandao wa simu, anasema hana salio la kutosha. Wakati huo naona watu wengine wanatoa na wanaondoka.
Aliniuliza unatoa kiasi gani nikamwambia...
Mbunge wa Jimbo la Buchosa Erick Shigongo amesema kwa kipindi cha miaka mitatu watu 36 wamepoteza maisha kwa kuliwa na mamba katika Ziwa Victoria ni idadi kubwa ya watu kuwapoteza.
Aidha...
Nina experience ya muda mrefu wa kutumia Infinix, Tecno na Itel Kuna kitu nimenotice baada ya kuachana na matumizi ya simu hizo kimsingi ukweli usemwe hizo simu ziletengenezwa kuminimize cost...
Inashangaza sana serikali ,viongozi wa dini na sisi watu wa kawaida kuendelea kuvumilia mambo ya huyu anayejiita Nabiu Titto.
Nashangaa media kupost mambo ya huyu jamaa ,hata kama serikali haina...
Ndio hivyo,
Ndio maana nikasema nchi hii bado hatujapata mtu serious mwenye uchungu wa maendeleo
Kama kuna wafanyakazi nchi hii wameachwa nyuma basi ni Maticha..
Yaani kwenye huo mshahara wao...
Hii barabara imeanza kujengwa zaidi ya miaka kumi iliyopita lakini hadi leo hata haijafikia asilimia 30. Tangu ianze ina kandarasi zaidi ya ya 4, ni nini hasa kinafanya hii barabara isimalizike...
KAMA KIPATO CHAKO NI CHINI YA MILIONI MBILI USITHUBUTU KUOA MWANAMKE ASIYE NA KAZI(MAMA WA NYUMBANI)
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Kwa sisi Watibeli hata úwe tajiri Namba Moja Duniani lazima...
Nina shida ya haraka Kuna kitu nahitaji kuuliza kabla sijaja huko, please kama wapo nawahitaji either tuongee public au private yote Sawa tu
Kama upo au umewahi kufika Mauritius please naomba...
Dah! kwakweli nlijawa na mawazo mengi sana hadi nikashndwa kumjbu kabsa nkabeba barua yangu nikasepa, yani mtu ufundshe mwezi mzma uspewe hata hela ya kununua kiwi, shati suruali na hata kiatu cha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.