Kuna kipindi ule upepo wa kesi za uhujumu uchumi Na utakatishaji fedha ulizidi kiwango chake , hasa kile kipindi cha mwendazake...sidhani kama ule upepo ungemuacha huyu jamaa yangu mwenye tabia za...
Aliyekuwa mjumbe wa magroup ya whasap ya globify na dj maarufu mbeya amefariki jana jijini mbeya ndugu Mozart Mbena Mwenyezi Mungu ampe pumziko la milele poleni sana wana Mbeya. Kwaheri rafiki ...
Afisa Mwandamizi wa Benki ya NMB Tawi la Clock Tower idara ya Mikopo Jijini Arusha,George Kifaruka{43} mkazi wa Kijenge kata ya Kimandolu Jijini Arusha amepandishwa kizimbani na kusomewa shitaka...
Pepo (Jannah) ni sehemu ya maisha ya akhera katika imani ya Kiislamu, inayotambuliwa kama malipo ya mwisho kwa wale waliotenda mema na kumcha Mwenyezi Mungu katika maisha yao ya dunia.
Nani...
Takwenyaaaa!!!!?
Ndugu zangu napenda sana kupiga mazoezi malaini asubuhi sio kwa ajili ya kupunguza mwili au kukata tumbo hapana,ni kwa ajili tu ya kuwa fit asubuhi kabla ya kwenda kusaka doo na...
Mungu alipomaliza kuiumba dunia na kisha kumuumba mwanadamu ambaye alipewa milki yote ya duniani ili aitunze na kuitawala aligawa majukumu kabla hatujauona uso wa Dunia. Sisi wanadamu...
Mchungaji Anthony Lusekelo maarufu kama ‘mzee wa upako’ amefunguka kuhusu tuhuma za yeye kunywa pombe, na kuweka wazi kuwa hanywi pombe bali anakunywa ‘wine’ isiyo na kilevi, huku akisema kuwa...
Nipongeze awamu zote zilizojikita kwenye wazo na hatimaye kumamilika kwa train ya mwendo kasi ya SGR.
Kiukweli ni mapinduzi hasa kwenye nyanja ya usafiri katika maeneo yanayopitiwa na kufukiwa na...
Nimeangalia clip ya huyu Simba aliyepewa jina la Tundu Lissu anavyoahangaika kwenye "cage" nikasitika sana, maelezo yametolewa kwamba akiona binadamu ndio huwa anahangaika hivyo! Hiyo ni stress...
Nawasalumia As-salamu Alaykum, tumsifu Yesu kristu. Habari zenu kwa lugha ya Nyumbani.
Dunia inatuajibisha tunajikuta tunakuwepo mahali ambapo hatupendi kuwa,tupo si kwamaamuzi yetu.
Leo...
Leo asubuhi katika makazi yangu mapya Dar es Salaam walikuja wadada wawili kudai kilichoitwa hela ya taka na mazungumzo yetu yalikua kama ifuatavyo;
Wadada: Kaka mambo
Mimi: poa
Mdada 1: Kaka hela...
Wakuu salam,
Kila ikifika kipindi cha mvua ndio serikali huwa inashtuka kuanza kukarabati mitaro na njia na hapo ni baada ya kuwa mvua iliyoshinda siku mmoja imefanya mitaro ifurike na baadhi ya...
Wakuu nilikua nauliza je kuna sehemu apa dar wanakodisha pikipiki kwa watu binafsi kwa shughuri mbali mbali kama ndio naomba mnijuze ilo chimbo kwa maana nimepata mchongo mmoja nataka niwe...
Kuna makundi hayatumiki sawa sawa katika nchi yetu*
Nimekuwa najitafakalisha juu ya makundi na taasisi za serikali kadhaa kama kweli zinashiriki kikamilifu kuijenga nchi nikagundua kuna sehemu...
Mgomo wa wafanyabiashara katika Soko Kuu la Mafinga lililopo Wilaya ya Mufindi mkoani Iringa wa kufunga maduka, umeingia siku ya pili leo Agosti 24, 2024 ukisababisha adha kwa wananchi kukosa...
Waziri wa Ujenzi na Mbunge wa Jimbo la Karagwe, Innocent Bashungwa ametoa wito kwa wazazi na walezi kuunga mkono juhudi za Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu...
Wakuu salam,
Kesi ya watuhumiwa wa kesi ya Yombo imeanza kuunguruma Jumatattu baada ya watuhumiwa hao kufikishwa mahakamani. Kimtaani mtaani tunajua kilichowapeleka pale ni kumlawiti na kumbaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.