Duniani kuna mamboz,wakazi wa kata ya Zuzu iliyopo Manispaa ya Dodoma wanakusudia kuandamana kumshinimiza waziri wa TAMISEMI abadiil jina la kata yao.
Hii si mara ya kwanza kuomba kubadilishiwa...
Naombeni tu nijue nini kitatokea kwa mfano nimekopea nyumba ambayo wanakaa wapangaji halafu nikalipa kidogo tuseme nusu halafu nikajifanya nimekufa nikajizika na kujiwekea kaburi..kisha nikasafiri...
Ni muda sahihi wa kujongea vitandani mwetu, nyumbani chumbani ama ugenini kwa ndugu jamaa na marafiki ama nyumba za wageni.
Usiku huu kama ilivyo siku nyingine zozote ama mchana wake kuna mambo...
wadau nimeona sehemu nyingi katika dunia hii tambalale wanakuwa ni watu wenye kufanya sala na ibada za kiasili/matambiko hususani asia,afrika na amerika ,je wenzetu wa reasoning/ulaya wanayo haya...
Na cha Kushangaza zaidi karibia 85% ya Bidhaa zao hizo za Electronics ni Original kabisa lakini bado wanaziuza / zinauzwa kwa Gharama nafuu sana wakati huko Tanzania ( Nyumbani ) bidhaa nyingi...
HATUWEZI KUHUBIRI
HAKI NA USAWA
HUKU TUKIWA WENYEWE
HATUFANYI
HAKI NA USAWA WENYEWE
TUKILAZIMISHA MUONEKANO TUSIO NAO TUTAKUWA WANAFIKI
Nilisikika katika Ulimwengu wa kiroho huko Ndotoni nikitoa...
Unaweza kuona kama nafasi hizo ni nafasi ndogo na hazina nafasi katika maamuzi ya mambo mengi ila amini usiamini makazini kwingi sekta za Umma na Sekta binafsi fitina na majungu chanzo chake ni...
Nimejikuta najiuliza tu swali hivi mbwa wa huko ushuani kama njiro,capripoint,osterbay nao wanabweka sana kama wa huku kwetu uswahilini maana huko ushuani nasikia wana majina eti mara german...
Amesimuliwa wife akiniomba ushauri nikaona nami nililete humu nipate msaada wa MAWAZO Kwan JF ni kisima cha maarifa HATUSHINDWII
Wife anafanya Kaz kwenye taasisi moja inayoshughulika na watoto...
Wakuu, heshima kwenu!
Moja kwa moja kwenye hoja yangu.
Hivi karibuni 'Tume huru ya Taifa ya uchaguzi', ilitangaza kuanza kuandikisha/kuboresha/kurekebisha daftari la kudumu la wapiga kura, kwa...
Inakuaje wakubwa ...poleni na mihangaiko ya hapa na pale niende kwenye mada moja kwa moja
Kuna aina fulani hivi za marafiki wao apo muda kidogo walikuwa ni marfiki zetu kindaki ndaki lakini baada...
Msinihukumu kwa uandishi mimi sio mwandishi mzuri
azama 1kwa1 kwenye maada yangu.....
azam tv mwaka huu mmejipanga vyema sana kwenye upande wa kuonyesha mpra ya nnje nawapongeza na nmekua...
Wakuu kuanzia mwaka jana jana nilikuwa na changamoto kubwa ya kipato, kufikia mwezi wa nne nilipata dili ambayo ilihitaji hela ndefu kidogo, ikabidi niuze gari yangu!
Sasa toka hiyo April naona...
Walianza kuhamishwa wanyama wa mwituni kwenda jangwani.. Kisha ikafuatia likizo ya mchongo ya kimyakimya na coumaflage ya kifo.. Ili kutoa nafasi kutengeneza mambo vizuri mezani
Kila kitu...
Salaam, shalom!!
Zamani tuliaminishwa kuwa wajeda ni wazalendo, wenye Maadili, wapenda Nchi, Na haikuwa Rahisi mjeda kuhongwa Ili kupotoa HAKI.
Sasa tukio la uswahilini hapo Nchi Jirani...
Wakati umefika mwaka 1999, Wanasayansi wakaibuka na kudai kwamba mwaka 2000 ungekuwa mwisho wa dunia. Baadhi ya wachungaji wakaungana na wanasayansi hao na kuendelea kusema kwamba mwaka huo Yesu...
Timu ya mpira wa miguu ya Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi imechuana vikali na wenzao wa Ofisi ya Rais Ikulu ikiwa ni maandalizi ya michuano ya Shirikisho la Michezo ya Wizara na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.