Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Nina uzoefu binafsi na hawa watu.. Sio wakuwaendekeza hata kidogo. Ni wabinafsi, ni wachoyo, ni ombaomba hawaridhiki na hawana shukrani.. Ni waongo sana pia na huwa wanajiona ni wajanja kukuzidi...
1 Reactions
2 Replies
288 Views
Hii ni moja ya taarifa sahihi ambayo unapaswa kuitumia kwenye maisha.. Ukipenda kuigiza unakufakufa, au mchawi au kufanya drama za mizaha ubongo wako hauwezi kutofautisha na pale unapokuwa...
2 Reactions
6 Replies
360 Views
Wizara yenu ni sensitive sana , jana mmepost za kipindupindu mkafuta hope walikuwa wanamaanisha Mpox Ndani ya week mmefuta posts zaidi ya 10 ,kabla hamjaweka kitu mjiridhishe kwanza Moja ya...
0 Reactions
3 Replies
139 Views
Mtu akikuzidi maarifa au mafanikio fanya nae kazi usitake kushindana nae,moja ya kosa ambalo watu wengi wanafanya ni kuwachukia watu ambao wapo juu kuliko wao jambo ambalo linapelekea kuendelea...
2 Reactions
0 Replies
126 Views
Siyo wote ila kuna baadhi ya wazazi\walezi wanaishi vizuri na watoto ambao siyo wao kiasi kwamba usipoambiwa siyo wazazi wao huwezi kamwe kujua. Nimewahi kushuhudia kisa cha mtoto wa yatima...
3 Reactions
18 Replies
570 Views
tutahamisha wanyama au tunaendelea kuwapa wamasai hifadhi ili tuendeleze utamaduni wao?hifadhi zetu zitakuwa salama kiasi gani?kuna namna nyengine ya kulinda maliasili zetu dhidi ya ongezeko la...
2 Reactions
15 Replies
336 Views
Nitaangazia upande wa chuma pekee: hardware nyingi sana huku Arusha zinauza nondo na bidhaa nyingi za chuma ambazo hazina ubora na kiwango. Pia hazina urefu wa futi 17-17.5 kama zamani. Hii hali...
0 Reactions
2 Replies
155 Views
tunafahamu kuwa ujamaa ni mfumo bora ambao ndani yake kuna baraka kubwa kutoka kwa mungu,kawaida mungu hutaka watu wake wajumuike ili kumuabudu na kumsifu kwa pamoja,kuishi,kumiliki na hata kufa...
0 Reactions
0 Replies
129 Views
Wasalaam Askari polisi aliyeenda chuo akasoma akaelewa ukakamavu anawezaje kufyatua risasi ya moto na kumpiga mwandamanaji Mtanzania aliyebeba bango? Askari ameapa kulinda raia na mali zao, Je...
0 Reactions
0 Replies
161 Views
Wenye hekima wanasema usitoe ahadi usiyokuwa na uhakika nayo. Mkurugenzi Mkuu tunaomba ikikupendeza huyu Injinia wa Wilaya ya Ubungo na Kibamba MUHAMISHIE NACHINGWEA , tunaona muda wote yupo...
0 Reactions
1 Replies
154 Views
Wanaweza Wanaweza walemavu, tubadili dhana zetu. Wanaweza tuwape nguvu, tusiwadharau katu Kawapa mola werevu, tuwaache wathubutu. Wanaweza kisiasa, kuongoza nchi yetu. Wanaweza kwa hamasa...
0 Reactions
0 Replies
114 Views
NI A au B, LEO ni Ijumaa weekend tulivu ishaanza karibuni, mje mpige kura picha iwaongoze 😂binafsi nitakuja kupiga kura NANI ZAIDI?
6 Reactions
57 Replies
859 Views
Katika hali isiyo ya kawaida kutoka ya Wilaya ya Arumeru mkoa wa Arusha Mwanamke mmoja amelalamika kuvunjiwa nyumba aliyokuwa akiishi yeye pamoja na mtoto wake nyumba hiyo imevunjwa na aliyekuwa...
4 Reactions
33 Replies
1K Views
nimeliona hili baada ya kuteuliwa hawa jamaa na je,hii presidency decree itakaa kwa muda gani?huwenda ni kwa mwaka mmoja but after election wamasai wanarudi kwenye maandamano. but all in all,CCM...
1 Reactions
1 Replies
187 Views
N:B: Baba wa familia anaehudumia sio aliekimbia au kukwepa majukumu Kwa tamaduni za waafrika wengi baba ndie injini ya familia, ndio maana familia nyingi sana baba akiondoka mambo yanayumba hata...
13 Reactions
22 Replies
575 Views
Kwa tuliobahatika kuoa wanawake wanaojua majukumu yao ya asili tunasema asante ila tunasikitika kwa wanaume wenzetu waliooa wanawake pro haki sawa, tunahofia pia watoto wetu kusombwa na hili...
7 Reactions
18 Replies
495 Views
TANZANIA TUITAKAYO - UNUNUZI WA UMMA. Manunuzi, ni kitendo cha kununua au kuuza hifaamike tu kuwa nibidhaa au huduma kutoka katika chanzo cha msambazaji au mtoa huduma lakini chanzo hiko kiwe...
2 Reactions
10 Replies
392 Views
Habari, Naombeni mnielekeze nikitaa kwenda Woodberry Cafe, iliyopo Haile road Masaki, kwa daladala za masaki nashukia kitu kipi? Google map hata silewi kitu.
2 Reactions
87 Replies
8K Views
Kwani arusha hii imejaa kiasi cha kuwapeleka wamasai huko msomera, Au wangetenga tu eneo huko huko ngorongoro kama kijiji maana nyumba za huko zipo mbali mbali na wakatumia mbinu ambayo...
1 Reactions
5 Replies
200 Views
Habari wana JF. Kwanza kabisa niharakishe kutamka hapa kwamba sipingi viboko mashuleni.Viboko 'huamsha' wazembe,halikadhalika husaidia kurekebisha nidhamu'kwa kiasi fulani'. Lakini adhabu ya...
0 Reactions
34 Replies
833 Views
Back
Top Bottom