Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Bado masaa kidogo Hazina watajaza mzigo. Lakini balaa ni kuwa mzigo wote utaishia kwenye madeni. Kwa kweli walimu tuna wakati mgumu sana.
4 Reactions
14 Replies
513 Views
Kwa mazingira yetu yalivyo ni vitu gani vya kunoga ambavyo havimalizi hela yaani cost yake almost equal to zero. 1.kuogelea bahari ya hindi 2.kufuga bata lengo uwe unakula pilau na bata...
4 Reactions
21 Replies
618 Views
Mambo sio kama zamani tena katika jamuhuri ya watu wa Giningi, wanaginingi wanajiuliza maswali mengi yasio kua na majibu, mwanzo jamuhuri ya Giningi ilijipatia sifa tele pande zote za dunia hii...
1 Reactions
2 Replies
242 Views
The do’s and don’ts of working with 4 different types of communicators Whether dealing with aggressive, passive, passive-aggressive, or assertive communicators, tailoring your approach to each...
0 Reactions
0 Replies
305 Views
Taarifa nyeti za ndanindani ni,izopewa mchana wa leondio kama hivyo navyowaambia TTCL wapo mbioni kushusha bei za vifurushi sababu za uwepo wa waziri mpya bwana Jerry Silaa pamoja na uwepo wa...
5 Reactions
9 Replies
359 Views
Nilipokea SMS kuwa nifike posta nikachukue mzigo wangu na pia kuna malipo ya 3000/-. Mzigo wenyewe hata gram 10 haufiki na hiyo 3000 inakaribia nusu ya gharama ya kununulia bidhaa, pamoja na...
1 Reactions
2 Replies
254 Views
TAARIFA KWA UMMA Wizara ya Habari, Sayansi na Teknolojia inapenda kuujulisha umma wa wanafunzi wa chuo kikuu cha Dar es Salaam mambo yafuatayo; 1. Wizara inapenda kuwatahadharisha wanafunzi wa...
0 Reactions
8 Replies
758 Views
Licha ya kutambulika wazi kwamba Kariakoo ni sehemu muhimu ya kibiashara ambayo inajumuisha shughuli mbalimbali ambazo zinafanya kuwa chanzo nyeti cha mapato nchini, lakini nashangazwa na mamlaka...
3 Reactions
11 Replies
669 Views
Naomba tuwape heshima waalimu walioacha legacy inayodumu kwa wanafunzi wao. Mimi naanza na huyu. Mwalimu Mnzava - Mbeya secondary (Mbeya Day) Huyu mama alihamia hii shule miaka ya mwisho ya...
33 Reactions
245 Replies
17K Views
Ukiwa Kiongozi wa Taasisi yeyote kubwa,lazima uwe na HIGH EMOTIONAL INTELLIGENCE, ukiwa Kiongozi na unaongozwa na hisia unajichimbia shimo mwenyewe... Zaidi ya Mara moja tumeona Mkuu Kadhiirisha...
1 Reactions
10 Replies
424 Views
HAKUNA TAJIRI ASIYEKOPA! Umewahi kuwasikia watu wakisema hawakopi au kujisifia kwamba hawakopi kwenye biashara zao? Ukweli ni kwamba matajiri wote unaowajua wanakopa, ELON MUSK, alikopa kuinunua...
5 Reactions
87 Replies
4K Views
Mratibu wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Wakili Onesmo Olengurumwa, amesema Sheria za Uchaguzi ni mwiba kwa waandishi wa habari ambapo amedai kuwa zinawanyima uhuru wa kutekeleza...
0 Reactions
1 Replies
306 Views
Dotto anaongea ukweli wasomi lazima wabadilike tena sana. Zaidi ya vyeti na ajira ni kitu gani kikubwa msomi ana miliki wakuu? VYETI: Msomi akifa watoto hawawezi kurithi vyeti. Akifa tu vyeti...
7 Reactions
32 Replies
706 Views
Hello! Leo katika pita zangu mtaani kwetu makuburi nikamkuta bwana afya wa kata ya makuburi kibangu wanakoromeana na mmiliki wa banda la chips huku mmiliki wa banda hilo akimnyooshea kidole...
0 Reactions
9 Replies
347 Views
Kuna jambo moja hatulifahamu sisi Waafrika nalo si jengine bali ni kulinda tamaduni zetu za Kiafrika,tumeshindwa kabisa kulinda tamaduni za kiafrika kutokana na changamoto za kimazingira ambapo...
0 Reactions
0 Replies
247 Views
Umejinyima Sana Tangu Utotoni Elimu ilikugharimu: Umepitia changamoto nyingi katika masomo yako, ukikabiliana na vikwazo vingi ili kupata elimu bora. Ulitafuta Utajiri Kwa Jasho: Umetumia muda...
2 Reactions
6 Replies
512 Views
Habari wana JF. Niende moja kwa moja kwenye kelo yangu juu ya Dawasco. Kumekuwa na changamoto ya kukatiwa maji mara kwa mara na baada ya kukata huyu kijana hatoi maelezo kwa mhusika. Akishakata...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Washtakiwa tisa wa mauaji ya Mtoto Asimwe Novart aliyekuwa na ualbino ambaye alichukuliwa nyumbani kwao Kamachumu May 30,2024 na June 17,2024 na mwili wake kukutwa kwenye kalavati akiwa ameuawa na...
0 Reactions
2 Replies
404 Views
Mwenyewe ukurasa wowote wa mtandao wa kijamii wa nguri wa Dunia wa utajiri namba 1 wa huyu mwamba anisaidie. Kuna vitu vya kujifunza kwa huyu jamaa asanteni.
2 Reactions
13 Replies
364 Views
Kwamba, kwa kuwa Dr. Sulle kagundua kuwa Wamasai walioandamana Ngorongoro si Watanzania bali ni Wakenya wenye nia mbaya dhidi ya Tanganyika, inaonesha ya kwamba yeye yupo makini zaidi kuzidi...
2 Reactions
7 Replies
461 Views
Back
Top Bottom