Nilifika mpakani mwa Tanzania na Rwanda - Rusumo, Jana Usiku!
Baada ya kuzunguka kidogo kwa ajili ya kutafuta pa kulala, niliamua kumwuliza mtu mmoja anioneshe gesti iliyopo karibu...
Nilikuwa napitia Hukumu ya Afande Zombe katika ile Kesi ya Muuza Madini aliyeuawa Mabwepande
Jaji alisema Zombe hana hatia Kwa Sababu Siyo yeye aliyefyatua risasi iliyomuuwa Muuza Madini
Pia...
Habar wakuu nataka kusafiri na ndege kwa mara ya kwanza ktk maisha yangu ..safar yangu nikutoka dar-bukoba..nin kinatakiwa kuwa nacho na kipi hakitakiwi na pia nin chakuzingatia ili kufanikisha...
Habari JamiiForums, naleta kwenu malalamiko yangu labda wakiyaona kutokea hapa ni
Mimi ni mpiga picha, nimejiajiri kwenye kizi hii na ndio inayoniingizia kipato. Sasa nilikuwa nimeweka camera...
WAJANJA WA KIDUNIA LEO AMBAO NDIYO WAKAZI WA MOTONI KESHO HUTUMIA UJINGA WA WATU WALIO WENGI
KUJITENGENEZEA PEPO YA KIDUNIA
Tusome katiba ya CCM 1977 toleo 2022 ibara 5(4) ndipo twende sasa...
SIASA;
1. Mfumo wa upigaji kura wa elektroniki,
Kuwe na mfumo wa kupiga kura na kuzihesabu kwa njia ya kielektroniki badala ya kutegemea vituo na karatasi za kupigia kura, Wananchi wanaweza...
Serikali ya Mpito imemfutia Hati za Kidiplomasia za Kusafiria, Sheikh Hasina, Waziri Mkuu aliyeikimbia Nchi kutokana na Machafuko yaliyotokana na Maandamano ya kupinga Utawala wake
>...
"Najua wadhamini au washika vilabu vile wanafanya jitihada kubwa sana, lakini pamoja nao nimeongea na wadau wawekezaji wetu wakubwa hapa, mmoja nimempa Yanga mmoja nimempa Simba awasaidie, kwahiyo...
Jopo la wachungaji na viongozi wa dini mbalimbali wamekutana na madereva bodaboda zaidi ya 200 wa kijiwe cha Kilimanjaro ndani ya Halmshauri ya Mji Tunduma kwa lengo la kufanya maombi na kuondoa...
GENTAMYCINE nikiwa Balozi wa Kujiteua wa Kipindi Kizuri cha Mazungumzo ya Familia cha Radio One cha kila Jumapili kwa alivyobadilika ghafla Mtangazaji Mwenza wa Kipindi hicho Haji Kibwana kwa...
Ni jambo ambalo nimelishuhudia na sijui kama watu wengine wanaliona, kwamba katika awamu hii ya utawala wa Raisi Samia kumekuwa na masuala mengi sana yanayohusu wanasheria hawa mawakili wetu...
Ni kuhusu swala la Polisi wetu kukamata watu kihuni. Mara nyingi tume shuhudia Polisi wakikamata watu kihuni, hapa sizumgumzii mambo ya utekaji nyala, isipokuwa ule ukamataji wa kawaida labda mtu...
Kongamano la Wafanyabiashara wa Tanzania na Comoro wa Sekta za Mifugo, Kilimo na Usafirishaji limefanyika kwa mafanikio katika mji wa Moroni.
Katika kongamano hilo lililofunguliwa rasmi na Gavana...
Hii ni talent nyingine iliyopo Tanzania. Tuisupport kwa hali na mali. Huu ni mfano tu wa talents nyingi zinazopatikana katika nchi yetu.
All the best.
Nionyeshe Njia...
Inashangaza na kusikitisha jeshi la Polisi kuacha majukumu yake ya msingi na kuhangaika na Chadema wanaofanya kazi zao za kikatiba za kufanya siasa.
Tunalitaka jeshi la Polisi hili siyo ombi wala...
Kwa experience yangu nimegundua kuwa kuna dhambi mtu akifanya tu kama hajatubu automatically anakuwa ameanza kufa ndani hivyo maisha yake yanapunguzwa au kukatwa kabisa. Siwezi kukuorodheshea aina...
Habari njema Matajiri Wawekezaji,
Karibuni kwenye mfululizo wa masomo yetu ya programu ya NGUVU YA BUKU, ambapo tunajifunza na kufanya uwekezaji kwa hatua ndogo ndogo na kujenga utajiri kwa...
Watanzania tumekuwa makatili sana hapa naona dada mmoja anaitwa esta anaohojiwa UTV akiwa haoni baada ya mumewe kumtoboa macho yote mawili bado haoni .
Mume baada ya tukio hilo amepotea...
Za sahizi binadamu wenzangu.
Nipo Dar es Salaam Nilikuwa nauliza ni restaurant au hotel gani ninaweza kupata WIFI yenye kasi sana na ambayo ina GB nyingi nina ma file ninayotakiwa ku download...
Uzi uwe mfipi kabisa.
Nimefuatilia miamala yangu 6 ya kununua umeme ya mwishoni mwezi huu nimeona kuna tozo ya kununua umeme kwa njia ya simu (airtel money) ila haitajwi ni salio linakatwa tu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.