Ni kawaida siku hizi kuona askari wa usalama barabarani wakiwa na magari yao wemeyaweka vichakani wakisimamia sheria za barabarani au wakifanya kazi ya kukamatakamata.
Magari haya unaweza...
Samahani hiyo ndio hali halisi ya vyoo vya hospitali ya kituo cha Afya cha Mapera Kata ya Mapera, Wilayani Mbinga mkoa wa Ruvuma na watu huwa wanatumia
Nipige calls kwa kutumia internet halafu data charges ziwe upande mmoja?
Kama haipo can it be useful pale ambapo service provider anaruhusu uchati na mwingine huku data costs zote akichajiwa mmoja?
Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Stergomena L. Tax amesema Migogoro ya ardhi inayohusisha maeneo ya Jeshi inapaswa kutatuliwa kwa mashauriano kwa kufuata Sheria zilizopo na si...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango ameitaka Wizara ya Madini kuhakisha inasimamia vyema uvunaji wa madini ya kimkakati ili nchi iweze kunufaika nayo.
Mh. Dkt...
Sisi wakazi wa Mbezi Luis, Njia panda Makabe mpaka kwa Robert tunakaribia wiki sasa hatuna maji na hakuna taarifa rasmi yoyote toka kwa mamlaka husika. Tumekuwa tukinunua maji kwenye magari na...
=======
Geita. Ni maajabu ya kweli. Unaweza kusema hivyo. Ni kutokana na uwezo wa kipekee wa Athuman Masimba (30), mzaliwa wa Muheza mkoani Tanga anayeishi Geita, wa kukamata kundi la nyuki kwa...
#UCHUMI: Kwa mujibu wa chapisho la #YahooFinance kutoka katika Ripoti ya 'Economics in The Year 2100', ya Mtando wa #FathomConsulting, Tanzania imetajwa kuwa kati ya Nchi 4 kutoka #Afrika...
Habarini!
Hongereni kwa michango yenu kabambe inayoendelea humu ingawa mingi yenu, haswa siku hizi, imeathirika mno kwa itikadi za kisiasa na dini. Nimeona hii iwe mada yangu ya kwanza kabisa...
Wakuu Salam! Poleni na majukumu ya kulijenga taifa.
Kama kichwa Cha habari kinavyojieleza, Mimi ni kijana niliyeajiriwa katika shule X (private school) iliyopo mkoa wa Kagera.
Kutokana na...
Na MWANDISHI WETU, Zanzibar.
Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF), Bw. Masha Mshomba, amesema Maonesho ya Tamasha la Kizimkazi 2024 kwa upande wa NSSF ni fursa kwa sababu...
Baada ya Mdau wa JamiiForums.com kueleza kuwa Serikali ya Mtaa ya Muheza pamoja na Halmashauri ziliwatoza Wananchi wa maeneo hayo kiasi cha Tsh. 150,000 kwa ajili ya kupimiwa ardhi kuanzia Mwaka...
'Application' and 'Device Update' ni kuruhusu toleo jipya la mfumo wa uendeshaji wa kifaa chako kuweza kuendesha programu au 'drivers'.
1. Kuongeza Ulinzi
Wadukuzi hutafuta njia mpya za kudukua...
Nilipata ajali ya gari Morocco bodaboda walikimbia kuja waliivamia wakaniibia kila kitu, pamoja jeki, tairi la gari, hela na kila kitu.
Juzi tu kuna mtu amepata ajali akagongwa na alikuwa na...
Jumuiya ya wafanyabiashara Kariakoo kwa kushirikiana na wadau mbalimbali wanatarajia kufanya tamasha walilolipa jina la 'Kariakoo Festival ' kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja Jijini Dar es salaam...
Mimi ni Mkazi wa Kibaha Maili Moja, Mtaa unaoitwa Muheza, tangu Mwaka 2020 sisi Wakazi wa huku tulilipishwa kiasi cha Shilingi 150,000 kwa ajii ya kupimiwa viwanja vyetu lakini hadi sasa Agosti...
Mimi ni Mkazi wa Kibaha Maili Moja, Mtaa unaoitwa Muheza, tangu Mwaka 2020 sisi Wakazi wa huku tulilipishwa kiasi cha Shilingi 150,000 kwa ajii ya kupimiwa viwanja vyetu lakini hadi sasa Agosti...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.