Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Usidanganywe na porojo zisizo na kichwa Wala miguu kuhusu kile kinachoitwa Haki za binadamu, sijui Serikali, sijui Sheria Kali, sijui uwèpo wa Mungu. Usije...
Wakuu mpo salama? Jana (August 19) tulishuhudia mengi back to back, huku RPC akahamishwa nkule watuhumiwa wakafikishwa mahakamani, lakini kwaini watuhumiwa wanne?
Walikuwa 6 ikiwemo na yule...
MTU AU KIONGOZI MWENYE KUILETEA KEJELI ELIMU, MTU HUYO ANAKUWA NA CHEMBE CHEMBE HAI ZA KISHETANI
MADHARA YAKUKOSA ELIMU SAHIHI YAMEPELEKEA WATU WENYE ROHO MBAYA KUISHI HAPA DUNIANI WAKIWA NA RAHA...
Kwa kawaida, kazi ya mwanzo na muhimu sana ya vyombo vya ulinzi na usalama ni kulinda amani na utulivu wa watu, mali na makazi yao, bila kutumia nguvu.
Vyombo vya ulinzi na usalama duniani kote...
Pumzika Kwa amani father A.
Sikuelewa maana ya usumbufu wa ijumaa jioni na jumamosi karibu masaa sita.
Ulikua unasema unatupatia basics za maisha kiukweli tulikua na miili iliyojengeka hadi leo...
Biashara ya mabasi ya abiria kwa Dunia ya leo si ya kushadadia ma mbio yasiyo na tija bali ni akili yenye wingi wa ubunifu ndaniye kwa mambo yatakayomvutia abiria taraji.
Mfano Sauli ni wazi...
Meshaki Daudi (20) mkazi wa Kitongoji cha Makanisani Kata ya Lamadi, wilayani Busega Mkoani Simiyu, amefariki kwa kudaiwa kupigwa risasi na Jeshi la Polisi, lililokuwa katika oparesheni ya...
Kuwapenda Adui Zetu Katika Maisha ya Kila Siku
Katika mahubiri yake, Yesu alisema, “endeleeni kuwapenda adui zenu” (Mathayo 5:43-44; Luka 6:27, 35). Maneno haya yanamaanisha tunapaswa kuwatendea...
Wakuu
Ni siku ya tatu leo niko iringa mjini..ebana huu mji una mbu wengi tofauti na nilivyodhania.
Hapa nilipo ni baridi lkn kuna mbu sio poa..
Nauliza ni sehemu zote hapa iringa mjini kuna mbu...
Yajuaee maandiko yatajuweka huru
Hata siku moja uongo auwezi kuuzidi ukweliui
Tumekombokewa kwa Damu ya Yesu tu
Hatujakombokewa na vitu vinavyoharibika
Usidanganywe na sadaka ya ukombozi hioo...
"Wakati nipo Form One nilianza biashara ya kuuza Big G pale shopaz ili nimsaidie mama kupata ada. Nilikutana na Jakaya Mrisho Kikwete wakati huo akiwa Waziri wa mambo ya Nje. Mimi nilikuwa mtu wa...
Akizungumzia maandamano yaliyotokea Lamadi, Mkuu wa Wilaya ya Busega Mkoani Simiyu, Faiza Salim amesema athari zilizotokea baadhi ya Viongozi kushambuliwa kwa kupigwa mawe akiwemo yeye (Faiza)...
Ilishawahi kukutokea kutuma ujumbe, picha au video au documenti yeyote kwa mtu usiyemkusudia kwa bahati mbaya kupitia programu ya WhatsApp? kama huwa unapatwa na matatizo hayo sahau kabisa kwani...
Ukimuangalia KFC anazeeka na ujasiliamali wake wa Migahawa, Ukimuangalia Warren Buffet anazeeka na ujasiliamali wake wa uwekezaji na alianza kutoboa akiwa mzee. Ukienda mjini Unakuta na vibabu na...
AMRI YA NNE: Ikumbuke siku ya Sabato uitakase, Siku sita fanya kazi, utende mambo yako yote; lakini siku ya saba ni Sabato ya Bwana, Mungu wako
Tusiingie sana kwenye hizi dini na sheria zao bali...
Nimeona hii interview ya huyu muhitimu inatrend mitandaoni imeniumiza sana kwa kweli
Hujafa hujaumbika! Kijana Noel Swai, mkazi wa Bunju A jijini Dar es Salaam amekuwa mtu wa kutoa machozi...
Habarini WanaJF
Natumaini hamjambo wote. Mimi nimesome Bachelor Degree in Biology lakini nimejaribu kutafuta kazi nakosa naambiwa coarse yangu ni general sana.
Nilikuwa naomba mwenye kujua kozi...
Familia ya Kamishna Msaidizi wa Polisi (SSP), Fatuma Kigondo imesema inafikiria kufungua mashtaka dhidi ya wote waliosambaza kwenye mitandao ya kijamii kuwa ndugu yao amehusika kutuma vijana...
Mahakama ya Wilaya ya Njombe imemhukumu Juma Msemwa (27) na Mkazi wa Njombe, kutumikia kifungo cha miaka 180 jela kwa Makosa 6 ya ulawiti na ubakaji, ambapo kila kosa anatakiwa kwa miaka 30...
Wasomi wengi sana tunakosa Fursa au Mawasiliano ya maana kwakuwa wengi Wetu hatuna muda wa hata tu Kuangalia / Kuchungulia kuna nini katika Emails zetu ( Inbox ), likiwa ni Suala muhimu sana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.