1. DAR - ES - SALAAM
Majiji Mengine ....
2. MWANZA - Ni jiji tangu enzi za Tanzania yenye majiji mawili
3. MBEYA - ni likijiji likubwa lakini kuna fursa nyingi, vyakula, unafuu wa huduma ya...
Serikali inatumia pesa nyingi kusomesha watanzania ila wasomi wenyewe wanashindwa kutumia elimu yao.
Mimi darasa la saba B nilisoma shule ya Msingi Miburani pamoja na Mzee Magoma kuna kitu...
Mashirika yanayotetea haki za binadamu Nchini takribani 50, wamekemea vitendo vya propaganda ikiwemo kuwaita wananchi wa Ngorongoro ni wakenya, wamedai kuwa vitendo hivyo vinazidi kuchochea hasira...
Wakuu habari za mda huu.
Natumai wote wazima na tunaendelea vizuri na majukumu yetu.
Hata hivyo mi mzima japo jana mida ya saa 4 usiku nilikutana na changamoto ambayo imenifanya nije hapa kuwapa...
Wizara ya Maendeleo ya Jamii kwa kushirikiana na Baraza la Taifa la Mashirika Yasiyo ya Kiserikali (NaCoNGO) inaandaa Jukwaa la Mwaka la Mashirika Yasiyo ya Kiserikali litakalofanyika tarehe 04 -...
Kesi ya jinai iliyofunguliwa na wakili Paul Kisabo dhidi ya afisa wa polisi ASP. Fatma Kigondo anayetajwa kama "afande Kesi ya jinai ilifunguliwa na Wakilin Paul Kisabo dhidi ya Afisa wa polisi...
Moja kwa moja swaaaaah kwenye mada
Niko uwanja sahihi unashangaa baiskeli kuingia kituo chakujazia mafuta
Au unashangaa kiwanja cha mpira wamiguu nimeingia na kama mchezaji wa gofu basiii ata...
CHAMWINO
Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Geophrey Pinda amesema jumla ya vijiji 63 kati ya vijiji 73 vilivyokuwa katika mpango kwenye wilaya ya Chamwino mkoa wa Dodoma...
Nimeshikwa na mshangao muhitimu wa chuo hajui Misri, Tunisia, Angola hizi nchi zipo bara gani na hajui Uingereza hipo bara gani na yeye anacho jua Wazungu wote wanajua kuongea kiingeraza na lugha...
Simu ni Kifaa muhimu cha mawasiliano kwa binadamu yeyote lakini haitakiwi kuwa sehemu ya mwili wako kiasi cha kukufanya uwe kama mtumwa kifaa hicho.
Wataalaamu wa Saikolojia wanasema, ukitaka...
Wakuu embu tujuzeni ulipitiaje kipindi ukiwa huna hela maisha yamekupiga total knock out and huna kula kulala ya uhakika?
Mie nimejaribu mishe za udalali ila hailipi kabisaa na ni majanga bin...
Baadhi ya Wananchi wameandamana na kuvamia Kituo cha Polisi cha Lamadi wakidai askari Polisi wa eneo hilo wameshindwa kuwajibika wakidai kuna muendelezo wa matukio ya Watoto kupotea Mkoani hapo...
DODOMA: Kesi iliyofunguliwa na Wakili Paul Kisabo dhidi ya Afisa wa Polisi ASP Fatma Kigondo anayetajwa kama 'Afande', inasubiri wito wa kupangiwa tarehe ya kusikilizwa ambapo tayari imepangwa...
RC CHALAMILA AKUTANA NA WATAALAM KUTOKA TIRA
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila leo Agosti 22, 2024 amekutana na timu ya wataalam kutoka Mamlaka ya Usimamizi wa Bima Tanzania...
Kutumia fursa ni elimu, kipaji au hulka ya mtu?. Wazungu wote sasa hivi wanapingana wenyewe kwa wenyewe hali inayopungaza uzalishaji na masoko yao kiuchumi. Lakini Ni ajabu kubwa kuona waafrika...
"Sisi waislamu wa Tanzania tunashukuru sana Allah kwa sababu sasa mufti tuliyenaye anakubalika sana. Taasisi za kitaifa na kimataifa na serikali za nchi mbalimbali duniani kote huko Mufti wetu...
Nimepiga hesabu za haraka haraka, na kugundua kwamba makampuni ya Bima hukusanya wastani wa Trilioni 3.5 kila mwaka kama malipo ya bima za aina mbali mbali, na pia malipo kwa ajili ya bima (hasa...
Benki ya Biashara Tanzania (TCB) imeungana na wananchi wa kizimkazi Zanzibar kwenye siku ya utalii kusherehekea ufahari wa utamaduni wa Kitanzania, vivutio vya utalii, umoja na mshikamano katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.