Hatimaye Leo nimegundua kulia Ni therapy nzuri Sana nlipatwa Na kipindi kigumu kilichoniumiza Sana nkawa najitahidi kukabiliana nashindwa.
Nikaingia room nikaangua kilio🤣🤣Kile kama cha mtoto...
Kashfa kwenye Jeshi la Polisi imekuwa ni Jambo la kawaida, na ukifanya utafiti utagundua ni chombo kisichoaminika na inatuhumiwa kwa rushwa, ubakaji na ulawiti. Kila baya polisi.
Je, sababu ni...
Jarida la Forbes ni jarida maarufu zaidi duniani kufuatilia watu mashuhuri hasa matajiri au vijana wanaotegemewa kuwa mashuhuri au wenye ushawashi mkubwa sana siku za mbeleni.
Kwa nini Watanzania...
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameeleza kuwa Serikali imeweka mazingira wezeshi kwa ajili ya kutoa fursa kwa Wahandisi Wanawake kushiriki kikamilifu utekelezaji wa miradi mbalimbali ya...
Wana jf, kwemaaaaa..?
Hapa niliponga kuna kero nyingi sana ambazo zinaweza epukika ila kutokana na utaratibu uliowekwa{nimeukuta} basi inabidi niendane nao hivyo hivyo kama wenzangu...
Hatua hii ya Kimakusudi imekuja ili kuyaondoa Makanisa ya Kipumbavu Kipumbavu ( ya Kitapeli tupu ) ambayo yamejaa sana katika nchi moja ( nimeisahau Jina kwa sasa ) yenye Raia Wabishi...
Ushirikiano kati ya China na Afrika, ambao masuala ya uchumi na biashara ndio kiini chake, utaendelea kuwa wa kina zaidi chini ya Pendekezo la Ukanda Mmoja, Njia Moja (BRI) la China, wakati pande...
Ushirikiano na uhusiano kati ya China nan chi za Afrika umedumu kwa miongo mingi sasa, na kuzinufaisha pande hizo mbili kidhahiri. China imekuwa mwenzi wa kutegemeka kwa nchi za Afrika, na...
Wakuu kwema?
Kampuni ya Ndege ya Tanzania inatarajiwa kupokea ndege mpya aina ya Boeing B787-8 Dreamliner, yenye uwezo wa kubeba abiria 262.
Tukio la mapokezi ya ndege hiyo mpya linatarajiwa...
Ripoti iliyotolewa mwezi Julai mwaka huu inaonesha kuwa kiwango cha joto duniani kati ya mwezi Julai 2023 na Juni 2024 kiliweka rekodi mpya na kuwa juu kwa nyuzi 1.64 sentrigredi, kuliko...
Katika miaka mingi iliyopita, Afrika ambayo mara nyingi ilionekana kama bara lisilo na tumaini, ilishindwa kabisa kuvutia washirika wake wa jadi ikiwemo Marekani na nchi za Ulaya. Kupitia...
Salaam Wakuu,
Unakuta mtu kila msimu unanunua miavuli miwili au Mitatu. Lakini yote huwezi jua hatima yake.
Watu gani wanaiba miamvuli Tanzania?
Wanaifanyia kazi gani?
Kila nikinunua Mwavuli...
Hivi ni kweli hatuna ndege za kufanya safari za ndani?
Nauliza hivyo kwa kuwa, kila wiki Ijumaa hadi Jumatatu huwezi kupata ndege ya Arusha au JRO to Dar labda ukimbizane na hivi vicaravan (C208)...
Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)Taifa , Freeman Mbowe anatarajiwa kufanya mkutano na waandishi wa habari leo Alhamis Agosti 22, 2024.
Taarifa hiyo imetolewa kwenye...
Huduma zinazotolewa na Taasisi,Idara,Mashirika,Wakala na kwingineko.
Mimi binafsi katika utafiti wangu mdogo idara ya maji inajitahidi sana kutuma bili kwa wakati.
Pamoja na watu wengi...
Katika hali isiyokuwa ya kawaida kwenye mazingira ya Jiji la New York nchini Marekani, Wanandoa Wawili (Nova na Reemo Styles) walijikuta na Wageni wachache harusini kutokana na kuweka Kiingilio...
juzi ilikuwa birthday yangu sikuwa na hela yoyote sikwenda beach wala photoshoot.kazi ikaanza jana hela sijui zimetokea wapi kile kimya kikaondoka jana watu nikashuhudia watu wakilewa na kufanya...
Hili jambo sikutaka kuliweka hapa lakini nimeona nitoe sumu.
Nimewadhamini kazi kwa wadau tunao heshimiana sana nikiamini kwamba nimewatoa kanisani mtakuwa waaminifu kwenye kazi za watu, lakini...
Katibu Mkuu BAKWATA alhaj Nuhu Jabir Mruma anaongoza kikao cha Bakwata mikoa sita kinachofanyika ukumbi wa maonyesho EPZ mjini Geita.
Kikao hiki kinashirikisha masheikh, makatibu, wenyeviti...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.