Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Kwa nini watu wengi huwa wanaizungumzia Roman Empire kama himaya kubwa zaidi kuwahi kutokea duniani au iliwahi hata kuitawala dunia wakati uhalisia ni tofauti kabisa? Roman Empire kwa kipimo...
6 Reactions
46 Replies
1K Views
Katika mkutano wa Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe alipokuwa anazungumza na Waandishi wa Habari kuhusu sakata la wimbi kubwa la Viongozi wa CHADEMA, Watanzania wengine wasio na Vyama...
2 Reactions
2 Replies
291 Views
Hapa town kwa sasa kila kona hawa jamaa wapo, wanapika chapati nzuri na napenda sana namna wanavyo pika na kugeuza chapati kwa madoido. Wanatuokoa sana sisi mabachelor, kwa 500/= tu unachukua...
23 Reactions
81 Replies
2K Views
Inakuwaje, Kuna jambo huwa linanishangaza kwa baadhi ya sisi sisi wanaume. Kwanza principle ambayo ipo by nature wanaume wenyew huwa tunapeana priority katika mambo mengi over females ( hasa hawa...
3 Reactions
6 Replies
296 Views
Sisi wakazi wa Kijiji cha Kemakorere, Kata ya Nyarero Wilayani Tarime tuna changamoto ya kukosekana kwa huduma ya maji kwa muda wa zaidi ya miezi miwili sasa. Wanaohusika wangeweza kusingizia...
2 Reactions
3 Replies
570 Views
Habari wadau, Wakati jana tumepokea ndege nyingine mpya ya ATC,Boeing 787 Dreamliner, mamlaka ya anga ya America,US FAA, wameitaka kampuni ya Boeing kuzirudisha (recall) ndege zote aina hiyo...
1 Reactions
14 Replies
926 Views
Wadau wote tumepata msiba mzito kwa kuondokewa na Shehe maarufu nchini aendaye Kwa jina la Salim Mubaaraka (Daruwesh Mtu Mkavu) ambaye amefariki Dunia alfajiri ya Jumatano tarehe 21 / 08/ 2024...
2 Reactions
21 Replies
883 Views
Habr za muda, wataalam mlioko hap naomb ufafanuzi. Kuna rafki yangu kila akienda kushughulikiwa swala la nyota, kutoa vifungo nuksi mikosi, kutoa jini mahaba ila hafanikishi, au akifunguka...
4 Reactions
34 Replies
2K Views
Hellow JF. Kumekuwa na mfululizo wa matukio yanayoonesha mambo sio shwari CHADEMA. Tukianza na kauli za makamu mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu aliwahi kusema CHADEMA kuna pesa chafu. Kwa...
0 Reactions
1 Replies
256 Views
Na hapa nazungumzia hasa vijana wa chini ya miaka 30 ambao ni umri uliozoeleka kwa kijana kuoa na kupata mtoto ndani ya ndoa. Nikiangalia niliohitimu nao chuo degree, rika letu kwa sasa ni miaka...
30 Reactions
408 Replies
20K Views
Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Bukoba imelikubali ombi la Mkurugenzi wa Mashitaka (DPP) la kuzuia kutumika kwa majina na taarifa za mashahidi katika kesi ya mauaji ya moto mwenye albino...
0 Reactions
0 Replies
449 Views
Bodi ya mkopo kuna changamoto katika mfumo wake wa maombi ya mkopo(OLAMS) haufunguki kabsa. Sasa sijui watu husika wameshaiona changamoto hii maana muda ni mali na deadline ikifika wanapita...
2 Reactions
6 Replies
804 Views
Kwenye magari ukikaa ukaanza ku falling a sleep lazima shingo iende upande wa kulia sijawahi kujikuta nimesinzia Kwa upande wa kushoto. Tafiti zinahitajika ili tujue haswa sababu ya hili jambo.
3 Reactions
11 Replies
935 Views
My Take Yule RC wenu wa Taifa anaejiita mtetezi wa Wanyonge Ajitokeze kusimamaia Haki ya huyu mnyonge anaedai kutendewa unyama na kigogo wa Polisi huko Mkoani kwake Arusha. Kipimo sahihi Kwa hao...
4 Reactions
52 Replies
2K Views
Na Mwandishi Wetu. Wakati zoezi la uhakiki, usasishaji na usajili wa Anwani za Makazi likiendelea katika Halmashauri sita za Mkoa wa Arusha, Halmashauri ya Monduli imefanikiwa kufikia asilimia...
0 Reactions
0 Replies
139 Views
World giving index imeiorodhesha Kenya kama mojawapo ya nchi inayojitolea zaidi kusaidia nchi zenye uhitaji lakini sio nchi TU hata watu wake wameorodheshwa kama watu wanaojitolea zaidi kusaidia...
1 Reactions
0 Replies
132 Views
Wiki nzima wako wanasikiliza hotuba mara Obama mara Oprah Michele Hilary n.k wiki nzima wako Chicago wanangoja Kamala aje kusema nimekubali kuwa mgombea wa urais nimegundua ccm wako serious kuliko...
1 Reactions
0 Replies
122 Views
Kwenu wataalumu na wajuaji wa Jamiiforums hili swala kwakweli linanitatiza sana na kuna muda unajiona kama ni ulemavu fulani hivi.Naombeni majibu hii inatokana na nini? Iko hivi mwaka 2022...
6 Reactions
21 Replies
862 Views
Sasa imekuwa too much yani mivumo na sauti za kengele , muda mwingine masikio yanawasha muda mwingine una hisi masikio kama yamejaa. Uliwahi kupata hii hali? Tusaidiane namna uliyoweza kujinasua.
0 Reactions
1 Replies
166 Views
Back
Top Bottom