Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Mimi siyo mwanasheria, lakini nimeona msimamo wa TLS kulaani tukio la unyama uliofanywa na wabakaji na walawiti na TLS imetowa wito kuhakikisha haki inatendeka. Sasa napata tabu kidogo kusikia...
8 Reactions
49 Replies
2K Views
Mahakama ya wilaya ya Ruangwa imemhukumu Juma Saidi Selemani almaarufu kama Dj Mushizo (23) mkazi wa Kijiji cha Nandanga wilaya ya Ruangwa mkoani Lindi kwenda jela kifungo cha maisha kwa kosa la...
3 Reactions
15 Replies
755 Views
Andika msemo au kauli moja kutoka kwa raisi wetu kipenzi cha watanzania Pombe Magufuli ambao unaukumbuka. Andika msemo huo mpaka msomaji akisoma asisimke ausome msemo huo kwa sauti ya Magufuli...
6 Reactions
37 Replies
994 Views
Taifa hili kuna eneo muhimu linafumbiwa macho hasa taarifa za Mauzo ya Bidhaa Nje ya Nchi. Ni vema Serikali hasa Wizara ya viwanda na biashara na msemaji wa ikulu pamoja na yule wa Serikali...
0 Reactions
1 Replies
201 Views
Anonymous (aedd)
Mimi ni mkazi wa Nyasaka, kata ya kawekamo, wilaya ya Ilemela, Mkoa wa Mwanza. Kero yangu kubwa ni wimbi la kelele zilizopitiliza kwenye makazi ya watu zinatoka kwenye nyumba za ibada, sehemu za...
2 Reactions
9 Replies
745 Views
Kwanini ukiishi nchi za wenzetu zilizoendelea zenye ajira nyingi, maisha mazuri safi good hygiene medical care nzuri nk. Lakini stress miongoni mwa watu ziko high mpaka kusababisha high blood...
58 Reactions
253 Replies
9K Views
Hali iko vip pande hzo, hawali ilikuwa ni elf 2000 na Sasa inashuka kwa kaz kuna jamaa hapa kanitonya kuwa itashuka hadi kufikia Mia nane hadi wa tisa, mahind I ni mengi sna safari hii na mkulima...
4 Reactions
7 Replies
662 Views
Watu wanne wanaotuhumiwa ‘kutumwa na afande’ kumlawiti na kumbaka binti mkazi wa Yombo Dovya, jijini Dar es Salaam leo Jumatatu Agosti 19, 2024 wamefikishwa mahakamani na kusomewa mashktaka...
23 Reactions
258 Replies
12K Views
Nasikio sauti kama kengere na muwasho wa mara moja moja. Pia mvuto kama presha hivi masiikioni. Nisaidieni kupata kituo kizuri hapo Mwanza
0 Reactions
3 Replies
262 Views
uwezo wa wanyama kutambua pale majanga ya asili yanapokaribia kutokea ni wakushangaza sana... wengi tumewahi kusikia baadhi ya mambo kama vile tembo maeneo ya ufukweni walivyokimbilia kwenye...
15 Reactions
37 Replies
2K Views
Walioingilia mfumo wa matokeo chuoni UDSM na IFM kupandishwa kizimbani. Kazi kwenu mnaohusika.
8 Reactions
72 Replies
3K Views
Huyu pia ni miongoni mwa watu wenye bahati za juu duniani Frane Selak alizaliwa tar 14/6/1929 nchini Croatia kitaaluma ni mwalimu wa mziki .....kwanini ameingia kwenye orodha ya kuwa ni miongoni...
15 Reactions
26 Replies
1K Views
Maisha yangu yanaanzia mkoani Iringa katika mtaa wa Semtema A baada ya kuhitimu chuo 2019. Kodi ya geto ikawa imeisha kulingana msukumo wa mwenye nyumba nkaamua kuuza kilicho changu kama kitanda...
39 Reactions
22 Replies
2K Views
Salaam shalom!!! Mtu na asikudanganye, Kuna usawa kati ya Mwanaume na Mwanamke, Lakini hakuna usawa kati ya Mke na Mume. Kabla ya NDOA, mtoto wa kike atakuwa chini ya uangalizi wa familia, Baba...
1 Reactions
10 Replies
846 Views
Napata mashaka makubwa sana pale ninapoona viongozi wetu wanafanya maamuzi ya kuliangamiza taifa. Mbaya zaidi wale wanaofungua viywa vyao wanatishwa na kupotezwa .hivi heri ya viongozi ni ipi...
1 Reactions
5 Replies
529 Views
Jeshi la Polisi Nchini Tanzania limewaachia huru Mama Mzazi wa Hamza pamoja na Dadake Hata hivyo bado jeshi hilo linawashikilia watu wengine watano wa familia kwa mahojiano zaidi kufuatia...
0 Reactions
35 Replies
5K Views
Leo nimeangalia movie ya Time Travel, nikawa najiuliza hivi kwa hapa Bongo nikitime travel na kurudi miaka ya wakaloni si nitachapwa sana.
0 Reactions
0 Replies
136 Views
Ipo hivi wakuu wiki 3 zilizopita kuna mdada alikuwa anafanyia kazi karibu na ofisini kwangu yupo vizuri shepu safi halafu dem alionekana kunielewa sana. Basi tukaanza mahusiano nakumbuka...
30 Reactions
196 Replies
6K Views
Habari wakuu Mwisho wa mwezi huu Nina safari ya kwenda MPANDA, kwakua ni safari ya zaidi ya masaa 17 nikaona bora nipande ndege ili nisijichoshe na safari ndefu. Nikaamua nianze mchakato wa...
19 Reactions
90 Replies
6K Views
Vilio vya wananchi vimekuwa vingi sana mpaka wabunge wa CCM naona kama pale dodoma ni kujaza vyoo vya dodoma. wananchi ndio viongozi wao ila leo mpaka mawaziri wakiongea kwa kejeli kuwa...
2 Reactions
1 Replies
223 Views
Back
Top Bottom