Mwaka 2019 chuo chetu kilipata janga la kuungua moto na Vyeti vyetu wanafunzi wahitimu 43 vikaungua, Tangu wakati huo tumepata usumbufu wa kutopata vyeti vyetu kutoka Chuo na NACTVET huku wote...
Imeandikwa katika ukurasa wa Instagram Wasafi FM
Uwekezaji bandarini chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan, umeanza kuonyesha matunda makubwa baada ya serikali ya Tanzania kuokoa kiasi cha...
Kama mnavyofahamu wadau, kwamba ulimwengu wa sasa hivi umeghubikwa na maendeleo ya kiteknolojia yanayofanya maisha yawe rahisi. Nami kama mdau nikaamua kutumia njia ya simu kulipia parking fees...
Kwa siku ya jana August 20, 2024 kulibuka taharuki katika eneo la Upanga karibia na Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, ambapo familia moja ilidaiwa kuondolewa kwenye makazi chini ya uangalizi wa...
Habari , Kwa aliyepoteza Kitambulisho cha NIDA akifanya malipo ya 20,000 anakaa siku ngapi mpaka akipate , Niko Dodoma
MREJESHO
Nimefika NIDA , Dodoma nikapewa Form yaani nianze kujaza Upya ...
Wakuu habari za majukumu,
Huwa ninafanya mazoezi, na kila baada ya mazoezi nakaa kitako, nafumba macho nikivuta hisia. Wakati huu napaswa kufikiria jambo gani?
Update.
Nashukuru nimepata link...
Kuna utapeli unaoendelea mitandaoni, unaohusisha baadhi ya watu fungua kurasa/pages/Accounts za Instagram kwa kutumia picha za watu wengine (innocent) huku pages hizo zikiwa na maudhui ya...
Kaimu Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uhusiano kwa Umma wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) Bi. Irene Gowelle akizungumza na waandishi wa habari kwa niaba ya Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO Mha...
Wale wote wenye nia njema na wanaochukia uonevu na unyanyasaji wanaofanyiwa wenzetu jamii ya wamasai tuwaunge mkono kwa kuvaa mavazi yao ya asili.
Uhamasishaji mkubwa utafanyika kuhakikisha nguo...
Wee mzazi utambue kuwa uwezo wa kumudu maisha ni matokeo ya malezi uliyopitia! Kwanini unataka kumuharibu mtoto wako? Au na wewe ujielewi unataka uzo wako ufanane na wewe?
Complex na Vivian walikuwa wasanii maarufu wa muziki wa kizazi kipya nchini Tanzania. Kifo chao kilikuwa na athari kubwa katika tasnia ya muziki nchini. Walifariki kwa ajali ya gari tarehe 21...
Sio mjuzi sana wa masuala ya kimataifa ila jamaa anapiga kazi sana hasa kwenye suala la mgogoro wa Gaza nadhani angefaa kupewa urais ili aendelee kufanya hiki anachofanya badala yake kapewa nafasi...
Naamini huu uongo ulitia fora:
"Hata sabato ilipokwisha,ikipambazuka siku ya kwanza ya juma, Mariamu Magdalene, na Mariamu yule wa pili, walikwenda kulitazama kaburi. Na Tanzania, palikuwa na...
Kwema wakuu! Niende moja kwa moja kwenye mada.
Nimekuwa nikitafakari sana juu ya hatima ya maisha yangu na hasa ukizingatia hali ya sasa kwa hapa Tanzania ni mbaya, kwani watu wanaishi maisha...
Nadhani niliacha historia mbaya na sikurudi tena kwenye ile familia, nimemaliza form six naenda chuo, ikabidi mzee afanye mawasiliano na rafiki yake nipate pakufikia ili kesho yake nikaanze...
Hayo ma castle lite serengeti lite kinachowasaidia ni promosheni utakuta unaambiwa elfu 10 bia nane
Safari haitegemei promo wala kushusha bei ni big brand
Canal+ yenye makao makuu nchini ufaransa mwanzoni mwa mwaka huu ilituma maombi ya kununua hisa zilizabaki za Multichoice (DSTV na ShowMax) kwa Dollar billion 1.9 na kuwa mmiliki kamili wa kampuni...
Jana baada ya kuangalia BBC SWAHILI DIRA YA DUNIA wakaja hao wajamaa wanaitwa FUTUHI kwa English Comedy hapo kuna jamaa anaitwa Sharobaro wa Kihaya kuja a mmoja kujikomboa ngozi kama mkongo vile...
Kwa muda miezi kadhaa sasa mfufulizo nimeona nyuzi nyingi sana zinazoonekana ni za vijana wadogo wakitaka kupata uzoefu mbalimbali kuhusu mapenzi, mahusian au ndoa, wakiulizia watu sahihi wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.