Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Waziri Dr Doroth Gwajima Kuna jambo linatusumbua, tumejitahidi kupiga kelele na hata kwenda kwenye Ofisi za serikali lakini hakuna msaada. Ninaamini wewe unaweza kutusaidia kuhusu hili jambo...
1 Reactions
3 Replies
257 Views
Habari wakuu. Ni matumaini kila mmoja ako buheri wa afya. Ninahitaji msaada wapendwa, naona hali inakuwa mbaya as days go. Scenario: Mara nyingi lakini sio zote, nikipigiwa simu nikiwa niko nayo...
8 Reactions
83 Replies
2K Views
A Tanzania national arrested at Bole Airport with 1.34 KG of cocaine on 18/04/2024 at 19:40 at Transit lounge At Bole International Airport In Addis Ababa Ethiopia Police have arrested a...
21 Reactions
274 Replies
10K Views
Kama serikali mmelifunga ziwa victoria kwa uvuvi haram na mkisubkri wazaliane tena basi siku mkilifungua hilo ziwa ni heri muwape tenda kampuni kubwa zenye vifaaa na meli za kisasa ondoeni hao...
3 Reactions
5 Replies
250 Views
Wakulima wa Kijiji cha Luganga Kata ya Ilolo Mpya Halmashauri ya Wilaya ya Iringa wameilalamikia serikali kwa kushindwa kuwaondoa wanyama pori, Viboko na Tembo ambao wanaingia katika eneo la mazao...
2 Reactions
4 Replies
309 Views
1. Arudishe ardhi yetu ya Ngorongoro. 2. Arudishe bandari zetu. 3. Arudishe KIA yetu. 4. Arudishe misitu yetu na kutimua wavamizi waliopewa maeneo nyeti. 5. Aliyetoa rasilimali zetu akabidhiwe kwa...
9 Reactions
13 Replies
404 Views
Habari ndugu zangu naomba ufafanuzi na mwenye kuwa na uelewa wa kazi za Sales Representatives katika makampuni mbalimbali Nimewahi kuona zikitangazwa kwa makampuni kama Tigo, Halotel, Airtel...
3 Reactions
19 Replies
714 Views
Kituo cha Skanska maeneo ya Barabara ya Bagamoyo kuanzia mtaa wa Mashimoni hadi kuelekea Mtongani, hali ya mazingira ni mbaya mno, na afya za wananchi ziko hatarini. Mifumo ya maji ni mibovu...
1 Reactions
2 Replies
343 Views
Huwa naona NMB wako mstari wa mbele je hizo pesa huwa wanatoa wapi maana ni nyingi sana kwa mwaka mzima?
5 Reactions
21 Replies
727 Views
Hatimaye Kampuni ya State Oil Tanzania Limited imekubali yaishe mahakamani kuhusu malipo ya mkopo wa Dola 18.64 milioni za Marekani (Sh47 bilioni) za Benki za Equity, Equity Bank Tanzania Limited...
2 Reactions
4 Replies
479 Views
Mke wangu ana changamoto ya kutofautiana majina kati ya kitambulisho cha NIDA na vyeti vyake vya kitaaluma. Nimejaribu kufuatilia vigezo vinavyohitajika Ili kufanya marekebisho, nikakuta pamoja...
2 Reactions
0 Replies
193 Views
Katika hali isiyokuwa ya kawaida wanafunzi wengi kuanzia kidato cha tano na Sita wanadhani Maisha ya Chuo ni ya Starehe sana bila kujua undani wake. Baadhi ya wanafunzi huenda Chuo wakiwa na...
11 Reactions
116 Replies
3K Views
Jiji la Dar es salaam limeshapita level ya mabasi ya mwendokasi kutokana na idadi ya watu kuwa kubwa hasa pembezoni mwa mji. Kwa sasa jiji la DSM linahitaji treni ili kuendana na kasi ya...
19 Reactions
51 Replies
1K Views
Anonymous (6486)
Magali (mini bus) yanayobeba abiria kutokea Machinga complex kuelekea Chanika, yamekuwa yakipandisha nauli kiholela, ambapo nauli halisi ni 1300Tsh wao wamekua wakitoza 1900 mpaka 2000 kwani...
6 Reactions
17 Replies
797 Views
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, Theopista Mallya amesema jalada la kesi ya vijana watano wanaotuhumiwa kutekeleza tukio la ubakaji na ulawiti wa binti anayedaiwa kuwa mkazi wa Yombo Dovya...
6 Reactions
13 Replies
719 Views
Asilimia kubwa nimekulia kijijini, elimu yangu primary, Olevel, A.level zote nimesoma vijijini. Kidogo chuo nikabadili mazingira ya mjini lakini napo ilikuwa nje ya mji. Kwahiyo mambo mengi...
0 Reactions
12 Replies
559 Views
USIRUHUSU mtu yeyote ambaye hajawahi kuvivaa viatu vyako akufundishe namna ya kufunga kamba! 👟 #NEVER
3 Reactions
2 Replies
99 Views
Kamati ya kudumu ya Bunge ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa – TAMISEMI ikiongozwa na Mwenyekiti wake Mhe. Justine Nyamoga imeipongeza Halmashauri ya wilaya ya Ilemela kwanamna ambavyo...
2 Reactions
0 Replies
203 Views
Za leo wakuu, Natumaini SGR kati ya Dodoma na Dar kupitia Morogoro. Hivyo basi tunahitaji kupunguza ajali za magari na pia kupunguza matumizi kwa kuhakikisha viongozi na wafanyakazi wanatumia...
0 Reactions
3 Replies
319 Views
Habari zenu wadau. Naomba kupata elimu ya Biashara ya kunenepesha mbuzi ili nije kuuza kwa faida. Nipo mkoa wa Mbeya. Kama kuna mtu anafanya iyo biashara Naomba connection.
3 Reactions
19 Replies
1K Views
Back
Top Bottom