Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kimetoa wito kwa Serikali kufuatia maandamano yaliyofanywa na mamia ya wananchi wa Ngorongoro tarehe 18 Agosti, 2024, wakidai kuheshimiwa kwa haki zao za...
Kama sasa hivi ngoma livyo ngumu mifumo ya kihasibuhuko hazina imefungwa unajikuta hata buku ya boda huna au hela ya bundle. Sasa kama ya boda huna si inabidi uprint na miguu safari yako. Sasa...
TAASISI ya Tiba ya Mifupa, Upasuaji wa Ubongo na Mishipa ya Fahamu Muhimbili (MOI) kwa kushirikiana na Chuo Kikuu cha Oxford cha Uingereza, imefanya upasuaji wa nyonga na magoti kwa wagonjwa 20...
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amemuelekeza Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Dkt. Charles Msonde kuhakikisha anazisimamia Taasisi za Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) na Wakala wa Majengo...
Wakati Tanzania ikiendelea kujipambanua kuwa Nchi yenye maendeleo na mazingira mazuri ya kuishi, na Jiji lake la Dar es Salaam likijiandaa kuwa Jiji kubwa zaidi (lenye zaidi ya Wakaazi Milioni 10)...
Wiki iliyopita kuna jamaa kapatwa na kamsala kadogo. Sasa Mimi nikawa namfariji, nikamweka karibu kuliko siku za awali kabla ya shida.
Jamaa akaniita nimsindikize alipopaki gari yake akafungua...
Awali ya yote, nipongeze juhudi zinazofanywa na serikali ya awamu ya sita chini ya kiongozi wake Raisi Samia Suluhu Hassan kwa kuhakikisha kuwa anatekeleza miradi yote iliyoachwa na mtangulizi...
Wananchi zaidi ya Laki moja wadaiwa kukosa haki yao ya msingi ya kupiga kura katika maeneo yao ndani ya Tarafa ya Ngorongoro Wilayani Ngorongoro badala yake inaelezwa kwamba wengine kwa mujibu wa...
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Felister Mdemu amekagua shughuli za kamati ya ulinzi wa watoto wanaoishi mazingira magumu/ mitaani iliyopo...
Huduma za afya kwa hospitali za Umma mara nyingi zimekuwa zikilalamikiwa na jamii kuanzia matibabu mpaka lugha kwa wagonjwa, lakini utofauti mkubwa umeonekana Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete...
Huduma hii imenisumbua tangu asubuhi mtandao upo chini sana kwenye laini yangu ya Tigo ikabidi niweke Airtel napo mtandao wa Internet upo chini sana.
Je, wakuu ni simu yangu tu ama na wengine...
Kuvuta n'ge ili kufikia ulevi au to get high ni tatizo linalo kua kwa kasi katika ukanda wa kusini mwa Asia. Mojawapo ya nchi iliyo na matumizi makubwa ya ulevi huu ni Pakistan.
Ulevi au high...
Habari,
kuna hii destruri ya madiwani kuvaa nguo aina ya majoho wawapo kwenye vikao vya halmashauri.
Binafsi sioni faida yao kuvaa hivyo kwasababu halmashauri zenyewe changamoto zipo vilevile...
Hali ya Barabara za Masaki. Sehemu yenye watalii wanaokuja kutembelea Tanzania, hotel za kimataifa, balozi mbali mbali.nk
Wengi wakija Tanzania na kuona aina ya hiz barabara wanaona Tanzania...
Magomeni, Mikumi, Kimamba, Rudewa na Kidodi. Ni miongoni mwa Kata zilizopo Wilayani Kilosa, mkoa wa Morogoro.
Mji wa Turiani, Dakawa na Mziha, ni miongoni mwa Kata zilizopo Wilayani Mvomero, Mkoa...
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameshtushwa na madai ya madereva wa Serikali kulogana ili wapate magari ya kufanyia kazi.
Kauli hiyo imetolewa na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Juma Mtanda kwenye kongamano...
Sitaki kujua nani yuko nyuma yake(kwasababu kama ni hivyo kwanini wewe asije nyuma yako huyo mtu?).
Ile kauli ya mwenye nacho uongezewa si lazima awe na hela aongezewe hela,unaweza ukawa na...
Habari
Nina kabiashara kangu ..ningependa nipate software ambayo itanisaidia biashara yangu kusambaza, kurecord kutrack ambao nowadai(madeni) kupiga haasara na Friday. Bajeti yangu ni 50k
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.