NAIBU Waziri wa Viwanda na Biashara, Exaud Kigahe, amesema kupanda kwa bei ya nondo na misumari kumetokana na uhaba wa chuma ghafi na chakavu ambavyo ndio malighafi inayotumika kutengenezea bidhaa...
Partial booking ipo hivi: Mfano tuchukulie vituo vichache (vinne) vya treni Dar, Pugu, Moro, Dom.
Abiria akikata tiketi ya Dar-Pugu, seat husika baada ya kuchaguliwa na abiria wa Dar-Pugu...
Waziri wa Madini, Anthony Mavunde ataka fedha zinazotolewa kama sehemu ya gawio la mrabaha kutoka katika mgodi zitumike katika miradi iliyoibuliwa na Wananchi katika sehemu husika kwa ajili ya...
Habari zenu wanaJF
Naomba msaada hapa.
Kuna rafiki yangu ana ofisi ya kutoa huduma za wakala wa fedha, kama m-pesa, halopesa na tigopesa.
Sasa anabinti amemuajili pale, jana Binti katapeliwa...
TCB KUENDELEA KUUNGA MKONO JUHUDI ZA SERIKALI KUWAWEZESHA WAKULIMA WADOGO NA WA KATI KUPATA MIKOPO
Benki ya Biashara ya Tanzania (TCB) imesema itaendelea kuunga mkono juhudi za serikali ya awamu...
Nini kipo behind mbao maana hata Yesu stori yake ya kufa ilibidi msalaba uwe ni wa mbao hata baba yake wa kufikia alikuwa seremala fani ya kuchonga miti. Hata Yuda na ye alijinyonga mtini. Hata...
Haiwezekani hata mwezi haujapita watu washaanza kulalamikia SGR, yaani uhamasishaji wote wa kwanini hii ni reli ya kisasa. Kumbe bado ina watu wa kizamani!! Wanafikra za kizamani.
Imenikumbisha...
Wakati Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kikidai kukamatwa na Jeshi la Polisi na kuendelea kushikiliwa kusikojulikana watu watatu wakiwamo viongozi wa wawili wa chama hicho wilayani...
ajali za barabarani zimekuwa zikiongezeka huku nguvu kazi kubwa ya taifa ikipotea kwa uzembe au uchovu wa madereva hivyo binafsi kama mdau naomba kutoa ushauri kwa serikali ili kukomnesha hili...
Licha ya Serikali kupitia Waziri wa Michezo, Damas Ndumbaro kutangaza kusitishwa kwa Mradi ambao kibao cha ujenzi wake kimeandikwa 'Mama Samia Primary School', Mradi huo umesimama lakini hali ya...
Luhaga Mpina anaunguruma muda huu Sakasaka Jimbo kwake Kisesa
Updates......
Mbunge wa Jimbo la Kisesa Luhaga Mpina amendelea kufanya ziara katika jimbo lake hilo kusikiliza kero za wananchi leo...
Habari!
Tulipopinga suala la mahari kwa kusema kuwa mahari ni biashara ya kitumwa watetezi mkasema mahari ni heshima, ni zawadi kwa wazazi kwa kumtunza binti yao. Kumtunza sawa, lakini ametunzwa...
Baadhi ya wananchi wa kijiji cha Msangano wilaya ya Momba mkoani Songwe wameiomba serikali kuwasaidia kutatua changamoto ya upatikanaji wa maji wakidai kuwa wamekuwa wakitumia maji pamoja na...
https://youtu.be/m9WGFYVzCvU
Fuatilia yatakayojiri kwenye mkutano wa Rais wa TLS, Boniface Mwabukusi kwenye mkutano wake na waandishi wa habari, leo saa 4:00 asubuhi.
Mwabukusi anazunguzia suala...
Bila wizi hii mishahara tusingeweza kufanya jambo lolote
Ndo maana walimu wanalia Sana ni kwa sababu hawana sehemu ya kuokota .
Hakuna MTU ambaye haibi wala kupiga dili .
Habarini waungwana
Nimebadili mtindo wa mavazi lakini bado napewa salamu na wadogo zangu mtaani.
Uzi wangu wa kwanza hapa JF nilisema kwamba wengi wanakosea kutafsiri umri wangu mitaani...
Ameandika Dkt. Gwajima D katika Mtandao wa X.
Ndugu Wananchi, nimepokea 'Tags' nyingi za maoni na maswali kuhusu taarifa iliyotolewa na RPC mkoa wa Dodoma juu ya mwenendo wa shauri la 'Binti wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.