Kwa miaka zaidi ya minne mfululizo wale vijana walioko makambini hamuwachukui wenye degree kwa ajili ya ajira
Na kama mkiwachukua huwa mnadonoa tu
Ila wa form 4 na form 6 ndo mnawa pendelea
Hivi...
Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) leo, tarehe 20 Agosti 2024, kimezindua Ripoti yake ya Taarifa ya utoaji msaada wa kisheria kwa mwaka 2023.
Uzinduzi wa Ripoti hiyo itaambatana na...
Hapo jana tarehe 19/08/2024 kuna mwanafunzi amekuja akiwa na shida ya kufunguliwa account hapo kwenye Tawi lenu, mmemkatalia.
Eti kwa sababu hana kitambulisho cha NIDA, wakati ambapo...
Hili tukio limetokea jana, ambapo Wamasai wamepigana na Walinzi na kujeruhi.
Nini kifanyike kuepusha matukio kama haya kwenye jamii yetu?
Written by Mjanja M1 ✍️
Kwanza niweke wazi mimi bado sijaoa. Nipo kwenye early 30s na sina mpango wa kuoa kwa sasa. Na hata ikitokea naoa sitaki mchango wa mtu.
Kuna jambo limenikuta. Yani nina classmates na washkaji...
Ukisikia kimeumana basi ndiyo huku .
Mmasaai kuvaa lubega na kuchukua sime na rungu ndiyo utamaduni wao.
Leo hii umkataze Masaai kubeba rungu na sime basi inabidi utumie busara kubwa sana ya...
Hapa mtaani Kuna tukio limenisikitisha mno kijana etu mdogo miaka 19 anaenda jela miaka 30 kosa la kubaka niliwaonea huruma san wazazi wake.
Hivi haya matukio ya ulawiti, ubakaji pamoja na...
Naibu Waziri, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Ridhiwani Kikwete amesema mfumo wa usaili kwa njia ya kidigitali utapunguza gharama kwa kiasi kikubwa kwa wasailiwa...
Habari wanajf,
Kula ugali kuna faida kadhaa za kiafya zaidi ya zile nilizozitaja awali:
1. Kontrola ya Uzito: Ugali unaweza kusaidia katika kudhibiti uzito kwa sababu ya ukamilifu wake na uwezo...
Salaam kwenu, Jana nilienda kwenye kituo flani Cha afya(private) nikiwa na kesi ya vipele kwenye ngozi.
Baada ya maelezo yangu daktari aliniandikia dawa za aina 3 ila akasema hawezi kunipa za...
Mwandishi wa EFM, Gerald Hando ameshangazwa na majibu ya sukari yaliyotolewa na Prof. Janabi yaliyoungwa mkono na mkuu wa mkoa wa Dar.
Hando amesema ni mtazamo finyu kuwaza sukari ni chai pekee...
Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili Profesa Mohamed Janabi amesema utumiaji wa sukari kupita kiasi haufai kwa afya ya mwanadamu.
“Ukinywa glass moja asubuhi machungwa matano...
Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Moyo na Mkurugenzi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili, Prof. Mohamed Janabi amesema Wajawazito wanaojifungua Watoto Wanene wasidhani Watoto wao wana Afya njema.
Amesema...
Nafikiri kuna haja ya Mahakama kuweka taratibu fulani za kuhakikisha mavazi wanayovaa watuhumiwa na washitakiwa wakiwa mahakamani hayana maandiko, picha au nembo yoyote.
Nimeona kuna mtuhumiwa wa...
Napenda kujua kwa nini staff wa TANESCO wananunua umeme ofisini?
Mimi nilikwenda pale TANESCO Ilala mkoani kuna dirisha la Teller ambapo Wafanyakazi wote wananunua umeme pale Jumatatu na Jumatano...
Yanayoendelea katika sakata la ubakaji na ulawiti la clip iliyosambaa mitandaoni yanatafakarisha inawezekanaje haya kutokea katika nchi ambayo kiongozi ni mwanamke, Waziri wa ulinzi mwanamke...
Habari za muda huu.
Watumishi walioajiriwa 2009 wamesahaulika katika taratibu za upandishwaji vyeo.Hebu angalia mfululizo huu wa upandaji katika vyeo kwa kada ya ualimu.
Mtumishi kaajiriwa...
Wanajamvi habari za muda huu, poleni na majukumu ya kutafuta ridhiki. Niende kwenye mada moja kwa moja.
Nimepangisha fremu kwenye NYUMBA moja mjini kwa lengo la kufungua biashara ya pombe Kali...
Tangazo la coca cola kwenye kombe la dunia la mwaka 2010 (sina hakika sana)
Jamaa (mchepuko) yuko ndani na mke wa mtu, mwenye mke karudi ghafla, akajificha kwenye kabati la nguo, mwenye mke...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.