KAHABA ni mtu ambaye anafanya ukahaba.
UKAHABA ni kitendo cha mtu kufanya ngono ili apate malipo.
Wapenzi watapendana tu bila sababu yoyote , wapenzi watapeana pesa na vitu vingine.
Wapenzi hawapo...
Habari wana JF,
Nawapongeza wazazi, walezi, walimu na jamii kwa ujumla kwa jukumu kubwa la ulezi hakika kazi yenu ni kubwa.
Tukumbushane sasa: Baadhi ya wazazi na walezi mmepata watoto ambao...
Kwa takriban mwezi sasa Polisi bado wanahangaika na uchunguzi wa tukio la Binti aliyeonekana katika Video akifanyiwa vitendo vya Ukatili na Wanaume Watano na bado kumekuwa na kauli za kutia shaka...
Askari polisi wa Tanzania wamekuwa chanzo cha maumivu ya watu na familia nyingi sana hapo bongo , ni ajabu iliyoje kuona chombo cha dola ambacho ndio kilipaswa kuwa mstari wa mbele kulinda raia na...
Jana ilizuka taarifa za Masai wa Ngorongoro kuandamana kudai haki zao za kibinadamu kama haki ya kupiga kura, kupata huduma za kijamii kama shule, hospitals n.k.
Ardhi ya Masai Ngorongoro...
Mahakama ya Rufani ya Tanzania imebariki hukumu ya kunyongwa hadi kufa kwa washitakiwa watatu, Ibrahim Abubakar, Salima Abubakar, na Hadija Shio, ambao walikutwa na hatia ya kumuua kikatili...
Africa is a spiritual continent! Kuna mambo yanayotokea ila watu wanayachukulia poa, moja wapo ni matukio ya ajabu yanayowakuta wasanii na au watu maarufu.
Kwa jamii,.inaweza kuyachukulia poa...
Hizi kauli za kumuangalia mtu na kusema hata muonekano wake tu unaonyesha yule ni kahaba, mdangaji, mwizi shoga, muuaji, ana roho mbaya n.k ni kauli za hovyo sana. Yani mtu anaweza kumuangalia tu...
Kitendo cha Polisi kutoa tangazo kwamba kuanzia sasa mtu yeyote akishikwa na kosa la usalama barabarani lazima apelekwe mahabusu na kupelekwa Mahakamani kesho yake ni wazi kwamba lengo lake ni...
Hapa nchini kwetu Tanzania, kuna taasisi mbili za serikali ambazo nazichukia kwa moyo wangu wote. Yaani taasisi hizi zingekuwa ni wanadamu nikaona wanaelekea kutumbukia katika shimo hatari na...
Uhifadhi wa mazingira ndizo kelele za dunia yetu kwa nyakati hizi, ardhi haiongezeki, bali watu wanaongezeka na masai wameongezeka kwa idadi kubwa ya kutisha, no matter ni eneo waliloishi miaka...
Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi, Dkt. Pindi Hazara Chana (Mb) amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kumuamini na kumteua kusimamia kwa...
Wadau hamjamboni nyote?
Hizo ndizo sifa kuu za Muislamu
Uslamu ndiyo dini ya haki duniani kote
Ni wenye akili. Daima wapo makini, kwa sababu wana ufahamu wa ibada zao. Daima huwahudumia waumini...
Wafanyakazi wa Barrick wakifurahi baada ya kumaliza kushiriki mbio hizo
Wafanyakazi wa Barrick wakishiriki kukimbia mbio za CRDB Bank Marathon 2024
Wafanyakazi wa Barrick wakishiriki...
SHILINGI BILIONI 4.6 KUPELEKA UMEME MAENEO YA MIGODI RUVUMA - KAPINGA
📌 Asema Serikali itaendelea kupeleka umeme maeneo ya uwekezaji
📌 Serikali kuendelea kuweka mazingira wezeshi ya uwekezaji...
Kwa jinsi wanavyoshughulikia mambo na kuyapa uzito usio sawa, hii ni aibu na inatia mashaka sana.
kwa mfano, jinsi wanavyoliendesha suala la binti aliebakwa, je kama ingekua hakuna ushahidi hali...
Sitambui hii kesi ni jalida namba ngapi labda ningeweza kuikomalia ila nasisitiza kuwa kutenguliwa hiyo nyadhifa isiwe ndiyo mwisho wa kesi,kesi ya ubakaji sio kesi ndogo hata kama alobakwa ni...
Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), kimepokea kwa masikitiko makubwa taarifa zinazomsambaa kuhusu mwenendo wa tukio la kikatili lililotokea dhidi ya binti mmoja mkazi wa Dar es Salaam...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.