Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Ni bahati mbaya sana kwa vyuo vya nchi zetu hizi kuangalia zaidi wanasiasa na matajiri wakubwa na kuwagawia heshma hii kuliko kuangalia watu wenyemchango mkubwa mahususi katika jamii pana. Kwa...
18 Reactions
57 Replies
4K Views
Hili jambo limeanza kunishtua sana baada ya kumsikia Professa Janabi kuhusu wanaotoa figo wanaishi miaka mingi. Hii tafiti sijasikia kokote duniani kuwa inakupa guarantee utaishi muda mrefu. Cha...
3 Reactions
5 Replies
175 Views
Huyu Kikongwe ni kama amechanganyikiwa na akili imeanza kurudi mserereko utotoni Kwa sababu za umri mkubwa. Amekuwa anatumia Kila aina ya Mipasho kujipamba ila haijamsaidia sana Toka Babu mwenzie...
3 Reactions
4 Replies
280 Views
Kwema kuna mtu anatumika hii huduma ya Halotel fibre??
0 Reactions
0 Replies
256 Views
Nichukue nafasi hii kukupongeza Raisi Samia kwa kumuondoa huyu mjivuni na mwenye amri za kibabe msonde,nadhani unatufatilia vyema hapa jamii forum. Kwa upande wa elimu bado kuna changamoto ya...
1 Reactions
0 Replies
241 Views
Hello! Jana saa moja usiku kuelekea saa 2 nilikuwa nawatoa madogo out. Nimefika njia panda kuna huduma nilikuwa naipata kwa wakala wa pesa. Mara jamaa wawili wanafika wakaweka pozi fupi. Wakaanza...
11 Reactions
39 Replies
2K Views
Meli zinazopeperusha bendera za China na Ufilipino zimegongana leo Jumatatu, Agosti 19, 2024 karibu na mwamba unaogombaniwa katika Bahari ya Kusini ya China. Kulingana na vyombo vya habari vya...
3 Reactions
2 Replies
365 Views
Katika wilaya 5 za Mkoa wa Dar Es Salaam ni Wilaya ya Ubungo pekee ndio haina Kiwanja cha Mpira wa miguu, hivyo naishauri Serikali ya Mkoa na Wilaya ya Ubungo kufanya mchakato wa kujengewa Kiwanja...
1 Reactions
8 Replies
298 Views
Wakuu nimerudi tena Habari za muda Nilifanya application za vyuo vya afya kama mlivyoniambia niliweka radiology, optometry, dentistry na physiotherapy Ila nimechaguliwa hii kozi ya dentistry chuo...
0 Reactions
1 Replies
222 Views
Ikulu imesafishwa kwa 97% Mhe Rais malizia 3% iliyobaki. Mhe. Rais umeamua kusafisha nyumba yako nyeupe yaani mahali patakatifu Ikulu ni bora usafishe yoote, Mhe. Rais Dr. Samia tumeona umeondoa...
1 Reactions
1 Replies
443 Views
Naona kuna tatizo la kiufundi kuhusu kupatikana kwa huduma za TIGOPESA, tupeni hata taarifa ni kwa muda gani tatizo litarekebishwa.Wahusika tupeni taarifa.
2 Reactions
2 Replies
229 Views
Kuna Mwenzenu mmoja kafanywa vibaya ( narudia tena kusema kafanywa vibaya ) na Dophin ( Pomboo ) baada ya Kuthubutu kwenda Kuogolea Baharini huku akiwa katika Siku zake ( Hedhini ) na kakipata...
20 Reactions
81 Replies
3K Views
Anonymous (2d5f)
NI takribani wiki mbili sasa kituo cha Tiba Upanga hakitoi huduma za Bima ya afya kwa sababu zisizoeleweka. Wagonjwa tunafika na hatupewi huduma. Tukipiga NHIF 199 tunaambiwa twende vituo vingine...
0 Reactions
5 Replies
280 Views
Ushauri huu nautoa mara ya pili baada ya kuzungumzia suala hili miaka kama 3 huku nyuma. Kikawaida mali za Shirika la uma kama TRC zimekuwa zikitunzwa kwa ufanisi mkubwa na kati ya mashirika...
4 Reactions
10 Replies
444 Views
NEW KING https://youtu.be/w1hgqFRsoZ8
2 Reactions
10 Replies
544 Views
Anonymous (21be)
Ni jambo la kusikitisha kwa reli ya kimataifa kama hii ambayo inadaiwa kutumia viwango vya kimataifa kuziba njia za wakazi wa Makulu na kusababisha watu kuhama kwa muda kwani hakuna njia ya...
0 Reactions
4 Replies
334 Views
Sheikh machachari Kundecha Akizungumza na chombo kimoja cha habari amemsifia mkuu wa wilaya ya Ubungo kwa kutekeleza maagizo ya dini katika opeareshi yake ya kupambana na madanguro na madada poa...
0 Reactions
9 Replies
292 Views
Habari zenu wana jamvi, Katika pitapita huko mtandaoni nimeona taarifa ya operesheni anayoiendesha Mkuu wa wilaya ya Ubungo,Mh Hassan Bomboko ya kutokomeza biashara ya ukahaba. Takribani miezi...
12 Reactions
108 Replies
5K Views
Ni picha imepigwa mitaa ya Sinza, baadhi ya wanawake wamekuwa wapo radhi kutoka nje almost uchi kabisa kwenda kujiuza Ukikutana na mdada anayejielewa na anayefanya kazi atakuambia watu hawa...
14 Reactions
99 Replies
4K Views
Jamaa kaongea yote hapa!
0 Reactions
0 Replies
124 Views
Back
Top Bottom