Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Kila siku katika maisha yako kama una computer au kazi au biashara kwa siku ukawa unaweka 10000,au 5000,au 500 kwa mwaka unapata hela chapu chapu. Wekeza kwa utuli ila Benki tunatumia tu hela...
2 Reactions
16 Replies
620 Views
Kuna kipindi nilikuwa ninahisi maumivu kwenye jino la mwisho, nikaenda hospitalini kupiga xray ikaonekana nina jino chini ya fizi, inabidi litolewe. Nikaweka appointment ili niende kesho yake...
7 Reactions
4 Replies
551 Views
Wasalaam,leo weekend nikawa na appoint ment na mwenyeji wangu kijiji xxxx. Nilipofika pale nikapaki boda pembeni nimjuze mwenyeji wangu nimefika. Wakaja watu wakanizunguka wa hicho kijiji...
4 Reactions
18 Replies
590 Views
Watanzania tuko zaidi ya ml 60 Wa makabila,Imani na itikadi tofauti Tunaunganishwa kwa pamoja na utaifa wetu unaotambulishwa katika katiba ya JMT.Kuna dhana ya wanasiasa kutaka kudhani kuwa wao...
1 Reactions
2 Replies
175 Views
Maandamano ni "false flag" tu. Tawala zinaangushwa na HAYO maandamano ya KILIBERALI. MISRI Maandamano yakamwaga damu za wasio na hatia na KUUSIMIKA utawala "wautakao" leo wamerudi kulekule kwa...
0 Reactions
5 Replies
598 Views
Si tu "ordinary persons" hata profesa wa masuala mtambuka anaweza kunipinga [emoji1787] Adam (A.S) binadamu wa kwanza alishushiwa Ngorongoro Crater....baadaye sana vizazi vyake vikasambaa na...
3 Reactions
23 Replies
1K Views
Wataalam nataka nijue matumizi ya jiko la umeme na gesi kipi kina bei nafuu! Maana tumekalilishwa umeme una bei ghali ndio maana sijawazaga hata kununua jiko la umeme. Sasa juzi nimetumia rice...
4 Reactions
101 Replies
8K Views
Shalom wanajf , Nina swali hapa yesu alipojibu hili swali la mafarisayo nilikuwa naomba ufafanuzi wa kina . KWAMBA NI KIVIPI UFALME WA MUNGU UPO NDANI YETU? LUKA 17, 20-21 "Na alipoulizwa na...
2 Reactions
51 Replies
806 Views
Jana usiku niliweka kifuruahi cha siku 7 cha net, sma na dakika ambapo nilipara MB 400 na nilitumia zaidi ku-browse ila nashangaa muda huu net imeanza kususua na kuangalia salio naona zimebaki MB...
10 Reactions
49 Replies
1K Views
Naibu Waziri Nishati, Judith Kapinga amesema Serikali imetenga takribani shilingi bilioni 4.6 kupeleka umeme kwenye maeneo ya migodi mkoani Ruvuma. Kapinga ameyasema hayo Agosti 18, 2024 wakati...
0 Reactions
0 Replies
117 Views
Ili jambo lipo afrika na linaigizwa kwa mtindo wa kudanganywa kuwa kifaa chako sasa kina 4g au 5g. Ghalama za kuendana na hiyo mifumo nikubadilisha vifaa vyote kwa wakati ili kumudu vifaa hivyo...
1 Reactions
7 Replies
513 Views
Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi imetoa semina kwa Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya TAMISEMI kuhusu Mradi wa Kupanga, Kupima na Kumilikisha (KKK) unaotekelezwa katika halmashauri...
1 Reactions
1 Replies
244 Views
Anahitaji ushauri, soma kisa chake hapo 👇 My wife is pregnant with another man's baby and now she wants to leave me. For some background, I got married years ago and my wife and I were happy...
1 Reactions
8 Replies
746 Views
Mungu akinijaalia afya njema mwakani na mimi nitashiriki ...niko hapa viwanja vya farasi naona watu wakiinjoy sana...,nitaanza kujifua rasmi nikimbie km42...nichukue zawadi ya 10mil..
2 Reactions
10 Replies
399 Views
Kujazana kiasi hiki kunaonyesha hawa wahindi ni masikini au ndo nini? Maana kwa kujazana huku, hiyo Train lazima iende mwendo wa kinyonga kwa usalama wa abiria! Sasa maana halisi ya kupanda chombo...
7 Reactions
26 Replies
859 Views
Salam ndugu zangu! Haya ni maoni yangu binafsi ni ruksa kuwaza tofauti. Food industry -Hakuna biashara kubwa duniani kama biashara ya chakula,chakula ikiwa Katika mawanda yote kwa maana ya...
5 Reactions
10 Replies
538 Views
Magwiji wa tiba radiolojia duniani ambao hutumia vifaa kama vile CT-Scan, MRI, Xray, Angiography system, Utrasound n.k kufanya uchunguzi na kutibu magonjwa mbalimbali kupitia matundu madogo...
1 Reactions
0 Replies
223 Views
Usipende wapenzi nusu Usifurahishe marafiki nusu Usiishi nusu ya maisha wala usife nusu kifo Ukichagua ukimya, kaa kimya Unapozungumza, fanya hivyo hadi umalize Usinyamaze kusema kitu Wala...
6 Reactions
30 Replies
1K Views
DODOMA: Bajeti ya Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi imewasilisha Bungeni Bajeti ya Tsh. Bilioni 171,372,508,000 kwaajili ya Matumizi yake kwa mwaka wa Fedha 2024/25 ambapo zaidi ya...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
MAMLAKA ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) imetoa taarifa kwa Umma juu ya shughuli za utalii katika eneo la Hifadhi ya Ngorongoro kwamba zinaendelea vizuri pamoja na uwepo wa baadhi ya wananchi...
0 Reactions
0 Replies
287 Views
Back
Top Bottom