Jeshi la Polisi limesema limeona taarifa na clip kwenye mitandao ya Kijamii ya Mwanamke anayebakwa na Wanaume Watatu kwa wakati mmoja
Jeshi la Polisi limesema linafuatilia tukio hilo la kinyama...
WAZIRI wa Madini, Anthony Mavunde ameweka wazi makusanyo ya maduhuli kwa Mwaka wa Fedha 2023/2024 ambayo ni Shilingi Bilioni 753 huku akipiga marufuku kwa wageni kuingia kwenye leseni za...
Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) inawatangazia taarifa ya maamuzi ya Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini kuhusu nauli za abiria wa daraja la kawaida kwa Treni ya...
Ndugu zangu Waislam someni huu uzi hii ya kuzika mtu mapema mnaweza kuzika watu walio hai wengi sana.
Na sio ajabu wanafufuka tena wakiwa kaburini halafu hufa kwa hofu na kukosa oxyjeni siajabu...
Wilfred Lucas Tarimo siyo jina geni kwa watu wa kaskazini hasa mkoa wa Kilimanjaro na Arusha kutokana na baba yao mzazi mzee Lucas Tarimo[Marehemu] kuwa na utajiri kumkaribia Reginald Mengi...
Kwa hekima na busara akae tu kimya na kujifunza kufuatilia kwa umakini maoni na mitazamo ya wengine, huenda akajifunza na kuongeza ufahamu na uelewa wa masula hayo muhimu yanayoweza kumsaidia huko...
JE NI SAWA WAKAZI WA NGORONGORO KUHAMISHWA..?
Na Thom munkondya.
Kwa mujibu wa sheria zetu za ardhi,mtu yoyote au mmiliki yoyote wa ardhi katika eneo lolote la nchi yetu awe na hati miliki au...
Naona ipo haja ya baadhi ya nyadhifa kutofunganishwa na siasa, binafsi ningependa rais, waziri na wabunge tu ndiyo wangefaa kuchaguliwa na watumishi waliobakia watokane na michakato ya uchaguzi wa...
Nimeomba mkopo tangu mwezi wa tatu na nikakamilisha process zote maana mimi ni mtumishi wilaya x cha ajabu mwezi wa nne wamenikata kwenye mshahara na tena mwezi wa tano wamenikata hela yangu cha...
Madeleka amendika katika ukurasa wake wa x;
Nataka nimwambie Mkurugenzi wa Mashitaka (DPP), ikiwa ndani ya SAA 24 kuanzia sasa, ATASHINDWA kuwapeleka MAHAKAMANI hao MASHETANI, kwa KISINGIZIO...
mangekimambi80 BREAKING NEWS: Samia ame double mishahara ya diplomats. Kwa mfano hapa Marekani diplomats kutoka TZ walikuwa wanalipwa $6,000 per month, hiyo ni nje ya marupurupu na pia wanalipiwa...
Kuna nchi Afisa Habari ana muhimu zaidi kuliko hata Madaktari wanaookoa maisha ya Mama zetu Vijijini. Waandishi/ Maafisa Habari, wanapewa posho kila kikao, audience kibao.
Hivi ni lini...
Akili yangu inaniambia kuwa Mkuu wa Nchi hayupo vyema kwa sasa hali hiyo inafatia kutokana na vuguvugu la uchaguzi wa mwaka 2025,inaonekana kuwa anawaza kugombea Urais ila kuna mgomo wa chini...
Kama aliye turoga kajificha mahala,, tafaadhali, ajitokeze aje atugangue uchawi wake,, maana huo uchawi ni hatali sana... waafrika tumekuwa kama mazuzu na mafisi yanayo mfatilia mwadamu nyuma...
Hakika nyama inaenda kuwa anasa kubwa Sana Kwa mtanzania wa kawaida,nyama ya ngombe haishikiki Tena Kwa nchi nzima hata vijijini!! Kwa Sasa kilo ni 10,000/ mpka 12,000/ Hali ni mbaya sana!! Sijui...
2018 kuna binti aliajiriwa kazini kwetu, ile first appointment.
Binti alikuwa anakuja kazini kwa daladala na kurudi kwa daladala.
Mshahara wake ulikuwa 700k ukiweka na posho ilikuwa kama 900k...
USHUHUDA WA THEOFLIDA WA YESU : NILIMLISHA MUME WA MTU, LIMBWATA LA NYAMA YA BUNDI.
Nawasalimu wa jina la YESU, jina kuu kupita majina yote. Jina langu ninaitwa Theoflida...
Yesu alitaja mara nyingi amri za Musa na kuziangazia katika mafundisho yake. Alisisitiza umuhimu wa sheria za Musa huku akieleza jinsi zilivyo msingi wa sheria kuu zaidi za upendo. Katika kitabu...
Nawasalimu,
Wote mmesikia kuwa tuliwakilishwa na wachezaji kadhaa kwenye Olympic huko Paris France.
Hakika hatukufanya vizuri na hawakurudi na medali hata moja.
Nimejaribj kufuatilia nchi za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.