Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Nimshukuru Mungu kwa kulinda leo 🙏🏾🙏🏾🙏🏾 Leo hii saa 4 usiku nipo siti ya mwisho kabisa kwenye daladala ya kutokaea Kongowe kwenda Mbagala Rangi 3 kwenye kilima kile baada ya mto kufika Rangi 3...
25 Reactions
51 Replies
2K Views
STORY FUPI Kuna dogo langu moja amekuja home hapa kama wiki nipo naye leo akasema nifundishe kubeti nikamfundisha aka download Betwinner aka deposit akaandaa odds zake 30 direct win tupu humo...
11 Reactions
26 Replies
1K Views
Kuna Mwanazuoni mmoja anaitwa F.G.Riggs yeye aliefafanua maana ya Maendeleo(Development) kwa Dhana ya Development is Autonomous in which society are able to shape their Social,Economic and...
0 Reactions
1 Replies
75 Views
Yaani chumvi za siku hizi hazikolei kiasi ukinunua pakti inaisha week tuu..zamani wakati nakuwa chumvi ilikuwa inanunuliwa kwa nadra sana sababu ilikuwa haiishi.. halafu hazina madini joto Sukari...
9 Reactions
56 Replies
1K Views
Siku moja baada ya taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa Tanzania (TAKUKURU) Mkoa wa Morogoro kutoa ripoti inayoonyesha kuwepo kwa abiria wenye lengo la kuhujumu Shirika Hilo hatimaye Leo...
5 Reactions
26 Replies
2K Views
Kwenye maisha usifurahie kila msaada unaopewa na mtu kwa nini kwa sababu hakuna kitu cha bure, kila msaada nyuma yake huwa na kusudi maalumu kwa anaesaidiwa sasa usifurahi kisa umepata kazi...
1 Reactions
10 Replies
773 Views
Mfumo ni muundo unaotumika kutofautisha, kutekeleza au kuonesha majukumu ya kikazi au majukumu, mfumo ni Mchakato wa Mda mrefu ambao huendesha taasisi fulani ni kwamba bila ya Mfumo hakuna...
1 Reactions
2 Replies
222 Views
Wakuu huku kitaa kuna vpn nyingi ambazo wadau wanadai zinapunguza data kuisha au kutumika zingine wanasema ukiwa nayo unatumia data bure
3 Reactions
21 Replies
1K Views
My Take WaKenya wasipojilinganisha na Tanzania Huwa wanaona hawajashinda Bado. Ila nimeelewa hapo chini kwamba kila Kila Nchi ijikite kwenye kile ambacho inafanya vizuri zaidi. Kwa Tanzania ni...
2 Reactions
29 Replies
679 Views
Baraza la wafamasia wamekuwa wakitoa mtihani wa leseni kwa wahitimu wa vyuo vya kada ya ufamasia. Hata hivyo mitihani hiyo imekuwa migumu na utoaji wa leseni kugubikwa na sintofahamu nyingi...
3 Reactions
4 Replies
419 Views
Kwa ajili ya shughuli zangu mbalimbali nimekuwa naweka 10,000/= na kupata kifurushi cha dakika 1,200 kwa mitandao yote na kwa mwezi mzima. Leo nashangaa nilipokuwa nimejiandaa kujiunga kwa...
0 Reactions
1 Replies
216 Views
1. Duniani Kuna mambo. Nipo hapa Melbourne, Australia. Nimekutana na kitu cha ajabu kiasi. 2. Wenzetu hawa wamefikia kuwa na GENDER NEUTRAL TOILETS yaani humo anaingia yeyote tu bila kujali...
1 Reactions
8 Replies
686 Views
Swali can an ugly parents have beautiful babies? Nipeni Siri nimepitia bulling sana kuhusu muonekano wangu so naogopa usije wakuta watoto wangu.
16 Reactions
62 Replies
2K Views
Habari JF, ni katika kukumbushana tu mambo ambayo unaweza fanya baada ya muda ukaja jilaumu sana . Kufunga kizazi (Tubal ligation kwa kina mama au vasectomies kwa wanaume ) ambako mara nyingi...
3 Reactions
3 Replies
359 Views
Habari. Naomba msaada kwa anayejua kwa Dar ni wapi naweza kupata CLINIQUE 3 STEPS SET isio fake. Kuna niliyonunua somewhere,sitataja duka ila nahisi ni fake sbb nimepaka siku moja tu asubuhi...
2 Reactions
153 Replies
3K Views
Mkuu wa Mkoa wa Manyara Mh Queen sendiga akiwa amevalia uniform za wanafunzi wa shule ya wasichana ya Manyara alipoenda kuwatembelea mapema leo.
21 Reactions
56 Replies
3K Views
Anonymous (50bd)
Hospitali ya Massana ambayo ipo mitaa ya Mbezi Beach Jijini Dar es Salaam ipo mbioni kufilisika au kufa kabisa kutokana na zoezi la Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kuchukua fedha kwenye Akaunti...
1 Reactions
21 Replies
991 Views
Novena ya Bikira Maria mfungua mafundo mwenye soft copy naomba anisaidie tafadhali
5 Reactions
23 Replies
2K Views
Aliyekuwa Waziri wa Afya ambaye ni Mbunge wa Jimbo la Tanga, Ummy Mwalimu, amemshukuru Rais Dkt Samia Suluhu Hassan, kwa kumuamini na kumpa heshima kubwa ya kuwa, Waziri wake kwa kipindi cha...
4 Reactions
4 Replies
747 Views
Hivi kwa nini hospital ya Taifa ya muhimbili hakuna huduma ya Wi-fi ?
1 Reactions
1 Replies
135 Views
Back
Top Bottom