Na ripota wetu toka Pwani ya kiwengwa kitongoji cha hasira za mkizi
Mnyambuliko wa habari kuu ni mrejesho wa kutoka huko bush kwa msukuma gangwe
Hasira za mkizi Vs Msukuma gangwe
Mambo ni mengi...
Peter Salasya ni mbunge wa Mumias, Kenya, ambaye alingia madarakani akiwa na miaka 32. Kabla ya kuingia kwenye siasa, maisha yake yalikuwa na changamoto nyingi na alipitia vipindi tofauti...
Mwami Yesu asingizwe
Habari wakuu I hope mnaendelea vema na mapumziko ya mwisho wa wiki, naomba kupata ufafanuzi wa swali langu kama lilivyo hapo juu kwenye heading.
Nimeambatanisha na vifungu...
Habari wanajukwaa
Nimekua napatwa na Hali ya kutopata ndoto usiku wa ijumamosi kuamkia jumapili hii imekaaje wakuu
Mwanzoni nilichukulia kawaida ila Hali hii imejitokeza tena usiku wa kuamkia...
Linapokuja suala la dini Kagame ndiye kiongozi 'sensible' zaidi katika bara la Africa.
Sasa hivi anafikiria makanisa yaanze kulipa kodi!
Pia soma: Rwanda yafunga makanisa 4,000 na misikiti 100...
Hakika zile sherehe zilifaana sana kuanzia maandalizi, muonekano, mpangilio na protoko isee hawa wenzetu wameweza na wanajua kweli. wenzetu si wakispot spot wanania kweli ya jambo na inaonekana...
Wakuu,
TAARIFA KWA UMMA KUHUSU TISHIO LA UGONJWA WA MPOX
Agosti 17, 2024, Dodoma.
Ndugu wananchi, Itakumbukwa kwamba, Wizara ya Afya ilitoa tadhadhari kwa umma kuhusu ugonjwa wa Mpox mnamo...
Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com aliyejitambulisha kuwa Mfanyakazi wa Mradi wa Ujenzi wa Reli ya SGR kulalamikia kuhusu Mkandarasi Mkuu wa Mradi, Yapi Merkezi, kuwa anawaondoa watu kazini...
Habari Wakuu,
Binafsi na declare interest kuwa najihusisha na biashara za miamala ya mtamdao ya simu
Nimegundua, Mapema January baada ya Kamisheni Kushuka kwa ghafla.
Nilichogundua ni...
Takwimu za Human Rights Watch zinaonesha kuwa, nchi 23 katika bara la Afrika zimehalalisha ushoga. Baadhi kati ya hizo, ushoga haukuwahi kuwa kosa la jinai tokea mwanzo.
Mwaka 1998, South Africa...
Huyu mtoto amekuwa wakwanza darasani kuanzia la kwanza hadi sasa yuko la nne ila anaishi maisha ya shida hadi uniform na viatu ni changamoto. Napendekeza afadhiliwe ada ahamishiwe shule ya bweni...
Miaka ya nyuma ziliibuka vi microfinance vingi ila miaka 2000 kwenda mbele zilipata faida ya mikopo wanayotumia kukopesha watu mpaka nyengine zikijiweka kama benki.
Kutokana na mdororo wa uchumi...
Huwa natamani kukaa na vijana Kama hawa na kuwajenga KIAKILI na kuwarudisha Katika jamii ili waweze kuwa na tija katika familia zao na jamii kwa ujumla.
Nawaza kuja kufanya project Kama hii kwa...
Injili ya sasa ni tofauti kabisa na zamani makuhani walitufundisha neno la Mungu lenye kutujenga kiroho zaidi na kutukumbusha tuache dhambi tuishi maisha ya kumpendeza Mungu
Injili hii kwa sasa...
Assalamu alyekum
Kichwa Hapo juu cha husika. Kûna mdogo wàngu anataka kusoma degree ya sheria lakini yupo kazini. Sasa ameona atumie Open University. Nauliza hicho chuo kinatoa hiyo programme...
Treni hizi za mwendo kazi siyo za kwanza kuwepo duniani. For many years if not centuries, these kinds of passenger trains have been operating in Europe, particularly Western Europe and North...
Naomba kuuziwa kit ya marathon time hii kwa ambaye hutaweza kushiriki kwa namna yoyote na ulijiandaa,
Mods msifute hii thread sababu watu hushindwa kwa namna mbalimbali ikiwemo msiba na safari...
Vijana wamemaliza vyuo lakini ukiwangalia ni kama wameingia chuo kujifunza.
Nina kijana kasomea IT mtoto wa ndugu yangu yani hakuna lolote kama kazubaa.
Mwengine jirani yangu kasomea uhasibu...
Nitasema tena na tena kuwa serikali yetu haijawahi kuwa adui kwa raia wake. Haijawahi kuwa na nia ovu kwa raia wake hata siku moja.
Watanzania wenzenu ndio wanageuka kuwa adui wa maisha yenu kisha...
Kuna mambo unaona yakiondolewa ccm wanaweza kukosa madaraka.
Mfano swala la bima za afya zilitakiwa kuwa bure hivi kuna mtu anashindwa kulipa bima kwa mwezi shilingi 4000.
Tupo wangapi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.