Mahakama ya Hakimu mkazi Kisutu, imeiamuru kampuni ya Azam Media Group Ltd kumlipa kiasi cha shilingi milioni 100 mpishi maarufu nchini Master Chef Fred Uisso maarufu kama ‘Mzee wa Maspatasapta’...
Yaani Tuzo zote za Categories za Radio, Television na Print zimeenda kwa Waandishi wa Habari wanaojua nini wanakifanya na wasio Wapumbavu, Wanafiki na Waongo wa nchi za Angola, Lesotho, Namibia...
Hawa Akina Lissu, na wenzake na wapinzani wengine wote tuwaunge mkono,
Tusikubali wanyanyaswe, tupaze sauti ya haki Kwa watu wetu,
Tubadilike tuwe kizazi cha kuhoji mara Kwa mara, tuhoji mapato...
Kwa siku za hivi karibuni kumeibuka hali ya kizungumkuti katika eneo la Tegeta-Wazo kufuatia eneo lililokuwa la uwanja wa mpira Panga ambalo ni la umma kuchimbwa msingi ikidaiwa kuwa Serikali...
Kampuni ya Azam Media inashtakiwa Mahamani na Kampuni ya 'Hall of Fame Boxing and Promotion' ambayo inajihusisha na uandaaji wa mapambano ya ngumi za kulipwa wakiitaka iwalipe kiasi cha pesa Tsh...
Video hii inaonesha Msafara wa Magari ya Serikali tena ya Kiongozi Mkuu! yakiendeshwa kwa speed kubwa na bila tahadhari ya alama za Barabarani huko Morogoro.
Nilikuona kwenye kituo kimoja cha runinga nchini ukisema eti TAKUKURU Imegundua uwepo wa abiria wanaokata tiketi ya shilingi elfu moja kwenda Luvu(Ruvu) lakini wanaitumia kwenda Morogoro!
Swali...
Mchango wenu wakuu, ukiacha mavyeti na passport sina chengine cha maana kama vile pesa ya kujikimu uko ughaibuni, je nauliza nikipata full funded scholarship naweza kuingia nchi za ulaya? au ndo...
Mfuatano wa matukio kama tarakimu mnyumbuliko
Nambari 1
Mwana jangwa anatua mwituni kimya kimya kisha wahandisi wanamfyatua mafoto akiwa na wapendwa.. Wahandisi kupitia nukuu ya wapendwa wanasema...
Jambo jipya kutokea haimaanishi lile la kale lazima liwe limepotea au limekufa, hivyo naamini nitaeleweka kuwa huu uzi haujamaanisha kuwa Simbana Yanga zimekuwa mbadala(replacement) wa dini na...
Sikua nnafahamu hili, meanzo nlijua NBC wanawasogeza wateja wao na huduma kedekede ili wasisumbuke kwenda ATM
Ila leo nmefahamu kua ni huzuni
Sikuwa napenda,hitaji kutumia hizi apps za mkononi...
Wakuu
Habari niliyoipata kuhusu utitiri wa apps za mikopo mtandaoni kuwa nyingi na zenye riba kausha damu huku zikiwa na kero kubwa kwa mkopaji ndugu na jamaa ni kwamba zinamilikiwa na boss...
Inakera sana yaani wengine tukienda huko katika Mabaa ( tena na Mademu ) ambao tunataka Kuwatongozea huko huwa tunakuwa tayari tumeshakariri Mistari / Maneno yote kiasi kwamba tukiwa hayo maeneo...
Mheshimiwa Waziri Dkt. Gwajima D tafadhali tafadhali huyu mtu anavuka mipaka. Hata kama ni mtu wenu Serikalini lakini amekuwa akidhalilisha Wanawake mara nyingi na hakuna hatua yoyote mnachukua...
Habari wadau poleni na utekelezaji wa majukumu ya Kila siku katika harakati za kulijenga taifa
Kero yangu ya leo inatoka kwa mamlaka inayohusika na usajili wa vizazi na vifo Tanzania RITA
RITA...
Ni solicitor general. awali aliteuliwa akavuruga ofisi, akawa anahamisha alioona wanamzidi uwezo na uzoefu kazini, Magufuli akajajua alilishwa tango pori, akatumbua. Ofisi kama hizo kinachomatter...
Long time nimekuwa mbali kidogo na nyumbani, sasa nimeamua kuja kupumzika kidogo nyumbani, aisee watanzania ni wafupi mno utadhani vitoto vidogo, kila ninaemuangalia nakaona kama katoto, vimwili...
Habari wakuu,
Kwa mfano tupo kati kati ya mjadala fulani wa michezo nikaamua kuingia google nikaenda kwenye website ya mwanasport ni mfano tu lakini nikascreenshoot picha kama hii hapo chini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.