Sisi Watumishi wa SGR ambao tupo chini ya Mkandarasi Mkuu wa mradi huo, Yapi Merkezi tunasikitishwa na kitendo cha Muajiri wetu kupunguza Wafanyakazi kwa gia ya kuwapa likizo ya lazima.
Uongozi...
Nashauri Kanisa Katoliki, wakiongozwa na Padri Kitima ambaye hujitanabaisha kutetea haki za aina mbali mbali, wajitokeze kutoa neno kuhusu jambo lililofanywa na waumini wao pamoja na mlinzi, tena...
Wameziba pote hadi mapitio ya asili yaliyounganisha watu wa pande zote kwa kuugawa mji katikati pasipo sababu za msingi bila kuwashirikisha wananchi husika.
Imewaathiri hata wao kwenye mapato...
Habari za muda huu wakuu,nahitaji msaada wenu juu ya kampuni mpya ya uwekezaji inayojiita Foland 01, kampuni hii inamtaka mtu afungue akaunti na kuwekeza kiasi cha pesa kuanzia Tsh. 10,000 mpaka...
MADANGURO YALIYOBORESHWA; BIASHARA INAYOKUA KWA KASI
Anaandika, Robert Heriel
Wanasema mjini mipango, hesabu akilini jasho peleka shambani.
Mjini kuna biashara nyingi Sana, biashara ya umalaya...
Ukaguzi wa magari (imported) Sasa unafanyika nchini tofauti na mwanzoni. Sasa Hawa ndugu zetu wameamua kucheza na beat ili kuvuna. Inspection tests (report) zinaandikwa"FAIL" ili ujiongeze...
Kwanza nianze kwa kusema kuwa ufreemason unaozungumzwa hapa si ule wa kwenye nguzo za umeme. Ni ule wa watu wenye fikra huru wanaokusanyika pamoja ili kuboresha maisha ya binadamu.
Kwa nini...
Wakuu, tujuzane huko ulipo hali ikoje kwa picha na video, na kama kuna sehemu ina changamoto toa taarifa haraka kwa mamlaka husika kuepusha athari kubwa.
Bila kusahau, tuchukue tahadhari kipindi...
Mnaona wana jamvi, Na team ya JamiiForum hebu angalieni hili swala la huyu bwana Toka 2010 amekuwa akiwapiga za uso baadhi ya Tanzania kwa kuwapiga na uhuni wa utaperi wa uwekezaji hali anaacha...
Huyu dogo sijui anafanya hvi kwa bahati mbaya au anafanya makusudi ili auchafue ukristo kwa maslahi ya waliomtuma.
Bahati mbaya sana hata jina lake sijakishika vizuri, sijui imani yake.
Lakini...
Salaam wakuu!
Bango hili lipo sehemu nimekutana nalo ni njia panda (Samahani nimezoom simu yangu haijatoa clear).
Naomba kuuliza swali, Je mmiliki wa hii sehemu pendwa kwa ukanda wa vingunguti...
Tangu zamani vitabu vya fasihi andishi vinavyotumika ni vilevile si kwenye somo la kiswahili wala English.
Vitabu kama 'The black hermit' na vyakina Ngoswe na kilio chetu ni vya zamani sana...
Countries.
Rank
Country/Region
IQ
1
Hong Kong *
106
2
Japan
106
3
Singapore
106
4
Taiwan *
106
5
China
104
6
South Korea
103
7
Netherlands
101
8
Finland...
Wakati nasoma O level nimeshuhudia kwa maandishi kuwa kunabiashara inaitwa Triangular Trade ni biashara inayohusisha mabara 3,moja ya bidhaa muhimu ni Watumwa kutoka Afrika siwezi kushangaa Taifa...
Wakazi wa Vikunai kata ya Toangoma, wilayani Temeke usafiri wetu umekuwa ni wa kubahatisa na nauli zake hazieleweki.
Kwa mfano kuna ruti za Vikunai - Stesheni via Kijichi na ruti ya Vikunai...
Jamani ukioiga Airtel kwenda matandao mwingien yeyote yaani hamuwezi kusilizana,sijui kwanini Airtel huduma zimaenza kuwa mbovu hivi?TCRA mmemchukua hatua zipi?
Nilikua nafanya muamala kutoa pesa kwenye account yangu CRDB kwenda M-PESA. Bahati mbaya hii App mpya ya CRDB sio user friendly kama ya mwanzo ikanichanganya badala ya kupeleka M-PESA nikapeleka...
Habari wanaJf!
Mimi sio mwandishi mzuri lakini naamini tutaelewana tu. Kipindi cha kubalekhe kina dalili nyingi ambazo tunazisikia na zaidi zinafundishwa mashuleni, dalili kama vile kuota matiti...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.