Wadau, mambo vipi je ni kwema,
Natumaini nyote wazima, natanguliza shukrani zangu za dhati kwenu, Mimi kijana wenu/mdogowenu/ naomba mnisaidie angalau Nyumba ya kuangalizia wakati mmiliki...
NAHII SIO KWENYE NDOA TU
HATA WEWE UNAETESEKA NA MAGONJWA MAISHA MAGUMU
NENDA KAANGALIE CHUNGUZA WAZAZI WAKO BABU ZAKO WALIISHI MAISHA GANI WAPI WALIWAHI KUKOSEA TUBU KWA AJILI YAOOOO
KUNA...
Shirika la Mafuta la Uganda (UNOC) limetangaza kuanza kutumia Bandari ya Dar es Salaam katika kupakia bidhaa hiyo kwa ajili ya kupeleka nchini kwao.
Awali UNOC ilikuwa ikitumia bandari ya Mombasa...
Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo na Msemaji Mkuu wa Serikali, Thobias Makoba ametembelea ofisi za Mwananchi Communications Limited (MCL) zilizopo Relini Jijini Dar es Salaam, leo Agosti 16...
Kama unajijua kuwa huwa unapandwa na pressure unapoona Sandakalawe basi huu uzi unakuhusu kwa asilimia 100.
FACT - Ewe Matonya! Usipende vya bure tambua kuwa wenzako hizo vocha wamezitafuta kwa...
Maonyesho ya Biashara na Utalii Nyanda za Juu Kusini
📍 Matema beach, Kyela, Mbeya, Tanzania 🇹🇿
Kusini International Trade Fair & Festival 2024
Ni maonyesho ya kimataifa yaliyoundwa ili kukuza...
Sababu ni ini hasa? Ambapo ulipuuzwa awali kwa kutoonekana umuhimu wala mchango wake, kwa mkoloni, na tawala za Uhuru wa Bendera zilizofuata baada yake, Nyerere aliua uchifu wa makabila yote...
Hoja.
Hiyo sio hoja ya msingi bwana RC yaani huyo Mke wa mtalii ni mpumbavu kiasi gani Hadi aone beach Boys ni WA Maana kuliko mumewe?
Mambo Private Serikali haitakiwi kuingilia ,yaachwe kama...
Nyakati zimebadilika sana, wanawake single mothers , talaka kwa Wakristo na ndoa kwa watu wa makabila tofauti sio mwiko(taboo) tena, katika mazingira haya je kuna haja ya kuwasikiliza na kuwatilia...
Katika shule za secondary nilizosoma nyama na wali vilikuwa vyakula adimu sana hivyo siku vikipikwa ilikuwa ni harakati kubwa mithili ya "survival for the fittest". Nyama ilikuwa inapikwa mara...
Sijawahi kuona mantiki ya hizi harakati za kinachoitwa rushwa ya ngono, huu ni kama ubabaishaji, ujanja wa kujipatia kipato kwa harakati uchwara na kuipoteza muda tu jamii.
Hii nchi hatuwezi ku focus kwenye masuala ya msingi kabisa. Tunayumbishwa na vitu vya hovyo sana ndio maana tunatakiwa kuitwa 'Gen Hovyo'
Watu wanapotea bila taarifa, wanatekwa hovyo hovyo...
Foleni ya Mbagala Rangi 3 ni kero kubwa sana kwa watumiaji wa barabara ya Kilwa Road. Sababu za kuleta foleni zinajulikana kuwa ni daladala.
Tafadhali uongozi wa Mkoa tafuteni suluhisho la tatizo...
VERSION 1
Nikiangalia maamuzi ya viongozi wetu yanavyotughalimu, yanavyoighalimu nchi; matumizi mabaya ya hela za walipa kodi ambazo zingepelekwa kenye kuboresha maisha yao, mikataba mibaya...
TANZANIA IPO TAYARI KUTUMIA FURSA YA SOKO LA PAMOJA KUUZIANA UMEME - DKT. BITEKO
📌Ni kufuatia uwepo wa fursa hiyo kwa nchi 13 wanachama wa EAPP
📌Mawaziri waridhia uwepo wa kitengo huru cha...
Habarini wadau.
Katika jambo ambalo huwa naliona ni changamoto kwangu ni kutumia Ving'amuzi vya startimes, Azam, ting, sijui na vinginevyo ambavyo sijui majina yake vema. Hivi vingamuzi vinanipa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.