Kutoa na Kupokea
Biblia inasema nini kuhusu kutoa
Biblia inatutia moyo kutoa kwa hiari na kwa nia nzuri. Inaonesha kwamba kutoa kwa njia hiyo kunamnufaisha anayepokea na anayetoa pia. (Methali...
Nimeona panga panga ya baraza la Mawaziri
Kwa kairuki kutenguliwa na kupelekwa kuwa mshauri wa rais ikulu
Sasa nauliz a nafsi yake ya ubunge wa kuteuliwa itakuwa pia umepoteza
Lucas...
Bangi ni zao jema.
Cha kushangaza hapa kwetu inapigwa vita na Dola kwenye matumizi na uzalishaji wake.
Rwanda jirani yetu ameingiza $3.7 billion Kwa mwaka kutokana na zao hili.
Inashangaza...
Hii habari nimeiona wasafi.
Takukuru wameibua hujuma za wateja wanaokata ticket za masafa mafupi kisha wanasafiri masafa marefu!!
Kwanza ncheke😂😂😂😂
Ni kweli tumefikia huku yaani kaishu kadogo...
Vijana wa kata ya kalobe wamejikuta katika hali ya mshangao baada ya uwanja wao wa mazoezi kufanywa njia mbadala ya kupitia magari na vyombo vingine. Hali hii imewafanya vijana awa kushindwa...
Waafrika wa leo wamekuwa dhaifu kiasi cha kushukuru na kuthamini viumbe wa mawinguni, ambao hawajawahi hata kuwaona, bali wamesikia tu kupitia watu wengine. Wengi wa watu hao ni wakoloni, wazungu...
Mtoto Ashfaki Abimu (5) mkazi wa Mbagala Kizuiani jijini Dar es Salaam, amekutwa amefariki dunia katika eneo ya Mbagala Kibonde Maji ndani ya jumba bovu, baada ya kupotea kwa takribani siku tatu...
Karibia week nzima kila nikituma pesa mara inakubali mara inakataa mara huku inaonyesha muamala umeshindikana, ukituma tena unajikuta umetuma mara mbili.
Huu ujinga unakera Sana saaana Tigo...
Afya ya akili inaonekana kuwa tatzio ndio maana imekuwa tatizo kubwa duniani tena kwa nchi ambazo mfano Tanzania wakisingiziwa na CCM kuwa nchi yao ni wapole na wapenda amani.
Wanaokumbuka Y2K...
Wakuu habari,
Kwanini watu waliowahi kufanya makubwa hawakufanikisha hayo kupitia kusoma vitabu.
Unakuta mtu anasoma kitabu cha How to influence people lakini hadi anakimaliza hana influence...
Kuna mambo naona hata wenye mama tunaona kama ukiwa mtoto wa kiume basi mama hukupa majukumu akifikiri unamuongoza.
Tumeona Bangladesh huko waziri wa huko kumbe ni mambo ya mtoto wake mpaka...
Mwili wa mtoto anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka mitano umekutwa umetupwa kwenye pagala lililo Mbagala Kichemchem, Dar es Salaam.
Kwa mujibu wa watu walioushuhudia mwili huo kwenye pagala hilo...
Kuna kipindi niliwahi kuwa na biashara nzuri na wafanyakazi pamoja na usafiri wa kutembelea ulionipa heshima kila niendapo, ikatokea biashara ikayumba mambo yangu yakaharibika ikapelekea...
➡️ Kmc Fc na Simba Sc zimefikia makubaliano ya uhamisho wa kiungo Awesu Awesu kwa ada ambayo haijawekwa wazi.
✅ Rasmi Awesu Awesu ataitumikia Simba Sc kwa miaka miwil.
Klabu ya KMC FC...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma linamshikilia Mtu mmoja aliyetambulishwa kwa jina la Raphael Keneth Ndamahnwa mlinzi wa kanisa Katoliki parokia ya watakatifu wote lililopo Nzuguni B kwaajili ya...
Kikubwa ni kuwa Jasiri tu katika lolote unalopitia Muda huu.
Kuna wakati mtu unaweza kupita kwenye changamoto kubwa sana na ukawa huoni wapi utatokea.
Lakini nakuhakikishia kuwa hakuna lenye...
Aisee tangu niko shule ya msingi Juhudi iliyopo ukonga magereza nasoma mpaka nimemaliza elimu uchwara za Bongo na kuingia mtaani hadi sasa nikiwa na miaka 27 hawa watu majina yao ni mheshimiwa...
Taarifa za kiwanda cha kusafishia mafuta cha Dangote kilichoajiri Wahindi 11,000 kwa sasa zinavuma kwenye mitandao ya kijamii huku Wanigeria wengi wakieleza kusikitishwa kwao na jambo hilo.Kwa...
Habari JF,
Kwa wenye uzoefu wa hili jambo naomba mnisaidie ni ishara ya nini?
Siku tatu nyuma nilienda kijijini kwetu kusalimia,sasa kama mjuavyo ndugu kijijini huwa ni wengi na ukifika huko...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.