KAA TAYARI: Ni zoezi la Maboresho ya Mfumo wa LUKU kwa wateja wa Mikoa ya
Morogoro, Dodoma, Singida, Manyara, Arusha, Kilimanjaro na Tanga
Sasa ni zamu yenu, tunawafikia hivi karibuni..!
USIBAKI...
Aghalabu kwa watu ambao wamebahatika kupata taaluma fulani chuoni, darasani au mtaani, huwa wanapendelea kufanyia kazi na kufanikiwa kupitia taaluma hizo walizopata. Hii huwapa watu hao amani ya...
Maisha hayako sawa hilo lazima tukubali na usipolikubali basi utashindwa kupambana kulingana na mwanzo wako ulivyo , Kwa mfano kuna kuna ambao wanarithishwa mali waendeleze na kuna wanaorithishwa...
Juzi usiku ulifanyika uteuzi wa viongozi mbalimbali wa taasisi na tawala zingine. Upande wa shirika la mawasiliano TTCL ameteuliwa bwana MOREMO CHACHA kutoka shirika la uzalishaji mali.
Je, huyu...
Mtoto wa miaka 4 avunja kioo cha Shabiby kwa manati
Basi la Shabiby Line lililokuwa likitokea Mbeya kwenda Dodoma lilichelewa kwa takriban saa moja na nusu Agosti 14, 2024, baada ya mtoto wa...
DART wajiulize kwa ninini abiria Wako tayari kutumia daladala za kawaida wakati bus zao zinapita pale. Mfano
1. Kwa nini kuna Bajaji toka Manzeshe kwenda Mbezi?
2. Kwa nini abiria shekilango...
Huu ugonjwa wa home ya nyani ni kama vile unakuja na vibe la Corona, taarifa za kusambaa wagonjwa zinaongezeka kidogo kidogo kila siku, mamlaka zote duniani inabidi zichukue hatua za haraka na kwa...
Leo nimekumbuka kipindi nipo mdogo nilikua na ndoto ya kuja kua Miss Tanzania.
Akili yangu yote ilikua inajua Miss Tanzania ni kazi kama daktari, mwanasheria, mwalimu au kazi zingine...
Leo Mjanja M1 nimechukizwa sana, tena sana. Hivi nyie wasimamizi vya vyombo vya habari kazi yenu kubwa ni nini?
Mnaacha watu wanalishwa matango pori na watu wenye media kubwa na hamchukui hatua...
Imagine in late 90s au early 2000s unamwambia mama yako kuwa unataka kuwa msanii wa muziki au filamu. Ungekaliwa kikao cha ukoo mzima. Ila siku hizi unaruhusiwa kama kawaida na vijana...
Tendo la Kutoa sadaka limefungamanishwa katika Kila selihai ya mwanadamu bila kujali anamuamini au haamini Mungu.
Watu wote hutoa sadaka. Tofauti ni mahali wanapotoa na Nia nyuma ya utoaji huo...
Vijana waendesha boda boda na bajaj wana matatizo gani hawa watoto?
Matukio wanayo fanya na kuwatukia barabarani ni ya kusikitisha sana.
Hawa watoto wanafanya michezo ya hatari barabarani na...
Waziri wa Afya, Jenista Mhagama amewataka wafanyakazi wa wizara hiyo kuhakikisha huduma za kibingwa za matibabu ya magonjwa mbalimbali zinawafikia wananchi wa hali ya chini bila ya kuwa na vikwazo...
Kabla ya mapendekezo haya sheria ilikuwa inasema atakayekutwa na hatia ya kuomba rushwa ya ngono atakuwa ametenda kosa ambapo adhabu yake ni faini isiyopungua milioni 2 na isiyozidi milioni 10...
Kila nikikuangalia ulivyo, nilivyokuzoea, taaluma yako na mienendo yako ( hasa katika Utendaji wako Serikakini ) sioni kabisa Competency yako katika hiyo Docket uliyoko sasa na najua hata uombe...
Nyumba zaidi ya 500 zinadaiwa kubomolewa kwenye Kijiji cha Tondoroni Kata ya Kiluvya Wilaya ya Kisarawe mkoani Pwani na maafisa wa Jeshi la Wananchi kufuatia uwepo wa mgogoro wa aridhi baina ya...
Madereva wa Bolt na Uber wanaongoza kuharibu biashara hii ya usafiri na endapo kampuni hizi hazitachukua hatua basi zitakufa hivi karibuni
-Madereva hawa huwa wanachelewa sana kumfwata mteja...
Asubuhi mpya ni nafasi mpya ya kuandika ukurasa mwingine wa maisha yako. Jipe moyo, ongeza bidii, na uamini uwezo wako.
Hakuna kinachoweza kusimama mbele yako ikiwa una nia thabiti na moyo wa...
Nimuda sasa umepita na niwakati wa kuamua na kuifata ndoto yangu ya kuikomboa tanzania kutoka kwenye matatizo zungu nzima
Sasa nimeamua rasmi nitatafuta kadi ya CHADEMA na kuanza kupaza sauti si...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.