Habari wana JF
Mimi ni jobless wa muda mrefu na nimeona nitafute njia za kupata mtaji nifanye project niliyonayo kichwani. Kuna mtandao unaitwa UFANDAO kwaajili ya ufadhili kutoka kwa watu...
Habari wana jf.
Nimejiuliza labda nimechelewa kupata ufahamu wa hili jambo. Je, inawezekana kwa Mtanzania (Mtanganyika). Kuomba uraia wa Zanzibar na kuwa Mzanzibar katika taifa la Tanzania...
Kumeibuka kwa Wimbi la watu wenye kiburi cha uzima wanajiita "atheist" na kujizolea umaarufu! Ukweli ni kwamba kama hujui kuwa kuna Mungu na hujawahi kumuona maishani mwako wewe ni mpumbavu na...
Taarifa ya TRC imesema kwasasa treni ya mwendokasi inabeba wastani wa abiria 4000 kwa siku, hizi ni sawa na trip 70 za mabasi yenye uwezo wa kubeba abiria 57 kwa wakati mmoja.
Kituo kinachofata...
Ujenzi wa kiwanda cha kuzalisha bangi katika Mji wa Musanze uliopo Kaskazini mwa Rwanda unatarajiwa kukamilika katika wiki ya kwanza ya mwezi Septemba, mwaka huu .
Kituo hicho kinajengwa na...
Basi leo mchana saa nane nikasema niende nikapate msosi kwenye hoteli moja kubwa na mpya hapa jiji la masamaki. Naingia tu nakutana na wahudumu wanne wamekaa, mteja alikuwa mmoja. Mahojiano...
Kulikoni? Swala Solution, Barrick Gold Corporation na Rostam Aziz huko Kwenye Migodi Yetu?
Kwa nini Kuna asili ya watu Fulani wenye asili Fulani ndo wanapewa Nguvu na Barrick Gold Kwenye...
Nchi za Kusini mwa Africa zimeendelea kukumbwa na Ukame mkali unaotishia kutokea Kwa janga kubwa la kibinadamu la njaa hususani kwenye Nchi maskini kama Lesotho na Malawi.
Nchi zingine walau...
Mkurugenzi wa TRC Kadogosa amesema nauli ya Treni ya Mchongoko( Mjusi) itakuwa Kati ya tsh 100,000 - 120,000
Source: Swahili Times
Mlale Unono 😃😃
=========
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Reli...
Naandika haya Ili kuonesha utofauti uliopo baina ya mwenzetu na Tanzania.
Maana nakumbuka mtu aliibuka from no where na kutamka ooh kuanzia Leo Dodoma ni Jiji.
Akaja tena Ili kufurahisha...
uwajibikaji ni kitendo cha kutekeleza sera,sheria na utaratibu kwa uadilifu na uwazi,kuna faida kadhaa za kuwepo uwajibikaji naelezea kama zifuatavyo kujenga misingi imara ya...
Baada ya kustaafu, mzee huyu kwasasa anaishi mkoani Morogoro. Moja ya madoido yake katika uzee wake ni kuchomoa hadharani silaha yake ya moto (bastola) kila anapokerwa na mtu.
Miongoni mwa...
Serikali imesema Rasimu ya Sera ya Elimu na Mafunzo ya Mwaka 2014 Toleo la 2023 na mabadiliko ya Mitaala ya Elimu ya Awali, Msingi, Sekondari na Ualimu itakapopitishwa itakutana na Wadau wote wa...
Naunga mkono findings za Huu utafiti.
-Mtanzania anatumia Miaka 18 kukamilisha ujenzi wa nyumba yake ya kuishi.
-Asilimia 70% ya Watanzania wote wanaishi kwenye nyumba za kupanga
-Vipato vya...
Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja, Ayoub Mohammed Mahamoud amekasirishwa na kukemea tabia zilizokithiri kwenye fukwe za Bahari za Zanzibar kwa baadhi ya Ma- Beach Boys kuwalaghai Wake wa Watalii...
Dar es Salaam. Hakuna ajuaye siku wala saa. Ndivyo unavyoweza kusema baada ya meneja mawasiliano wa Wakala wa Huduma za Misitu (TFS), Glory Mziray kufariki dunia leo mchana Jumanne Februari 19...
Its all about the grants, misaada na finances kutoka wa wafadhili and other fees kutoka kwa ndugu wa muathirika ndio hamasa ya hawa jamaa.
Hizi nyumba zimeishia tu kuwa sehemu ya kutunza watu...
Ukistaajabu ya Musa,
Katika hali ya kushangaza sana kuna kituo kipya cha mafuta kinajengwa kando ya barabara maeneo ya Stop over Kimara. Hii imekuja baada ya vituo vingine vyote kufungwa kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.