Niliyemuona ni Mimi peke yangu tu au? Sasa kama ana ya kuandika ADC wake na Wasaidizi wake wana Kazi gani?
ANGALIZO
Nimesema kuna Mtu na wala sijamtaja Jina, sasa Wewe jipendekeze au...
Habarini wakuu!
Nina App yangu nahitaji kuitangaza hivyo wale ambao wameshatumia ma influencer wa tz, nilikua naomba mnisanue bei zao nijipange. sihitaji wabashiriji🤣. Naanza mimi kusanua "Mr...
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Kwa kweli Kisa cha Yakobo na Esau nduguye ni Moja ya visa vibaya Kabisa, vyenye kusisimua na kusikitisha.
Kisa cha utapeli Mkubwa na umwagaji wa damu...
Usithubutu kuwambia msabato maneno haya, Basi, mtu asiwahukumu ninyi katika vyakula au vinywaji, au kwa sababu ya sikukuu au mwandamo wa mwezi, au sabato; mambo hayo ni kivuli cha mambo yajayo...
1.Unatambua kuwa unaweza kutofautiana na watu wengine bila kuwakosea heshima. Unatambua kuwa unaweza kutofautiana na watu wengine bila kuwapandishia sauti.
2. Unaanza kujitokeza na kuondoka...
ukitaka kujua raia wengi uelewa na utambuzi uko chini sana angalia mtu ana tatizo la kiafya lakini akifika hospital anamuita mtu wa utawala daktari yaani mtu yuko mapokezi ila anaitwa daktari au...
Wakulima kanda ya kaskazini wahofia njaa baada ya kupata mavuno hafifu kwa kile wanachodai mvua kukata mapema mwaka huu.
Baadhi ya wakulima kutoka katika mikoa ya kilimanjaro ,manyara wamesema...
Sijui ndoto zina maanisha nini, ila nikiwa mdogo Sana, nadhani darasa la tano au sita niliota ndoto mbaya sana kwenye maisha yangu. Nililia usiku kucha, asubuhi mama akanipa rosari na bibi akanipa...
Niajee wakuu,
Mazoezi ni muhimu sana.
Shauri yenu!!!
Mwanaume ata kupiga push ups 10 huwezi, kukimbia nayo huwezi, ata kutembea mdogo mdogo km ½ nayo huwezi.
Achaneni na chips yai wazee pigeni...
HUDUMA YA MAGARI YA MWENDOKASI (BRT) IANZE MBAGALA
KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa inayoongozwa na Makamu Mwenyekiti wake, Mhe Lazaro Nyamoga imefanya ziara ya...
Kuna usemi maarufu wa kilevi chenye kimea aina ya Safari laga. Maji rangi ya mende. Maji ya Ilala moja. Unasema SAFARI MOJA HUANZISHA NYINGINE. Sasa hapa ni tofauti hapa ni uzi mmoja huazisha...
Hii imekaaje kwamba SGR inapakia abiria wa kutoka Dar kushukia Pugu halafu kuna watu wanaolalamika kukosa nauli za Dar kwenda Morogoro na Dodoma! Dar Kwenda Pugu si kuna ile treni ya Mwakyembe na...
Wakuu hili inanishangaza Sana kumekuwepo na ongezeko kubwa kwa wadada pisi kali kutoboa pua na masikio matobo mengi. Hata Kama mnapendeza ila mimi gorogo nitakuchakata tu na kukuacha manake...
Hello, ladies and gentlemen wa jamii forum , Kama uzi unavojielezea hapo juu . Nina live example . Mimi ni mwanafunzi wa sheria, Jumatatu nilipeleka barua ya field katika mahakama ya wilaya X...
Dar Es Salaam– Tangu DP World ilipoanzishwa kubadilisha uendeshaji wa bandari ya Dar Es Salaam, tunafurahi kutangaza kuboreshwa kwa ufanisi wa bandari. Jitihada za DP World kuboresha na kuongeza...
Salamu kwenu nyote.
Tanzania ni miongoni mwa nchi zenye uwezo wa kuiga na kupanga mambo mazuri sana, ikiwemo sera na kuweka mikakati ya uwanzishwaji wa mambo ya kimaendeleo. Hali kadhalika ni...
Wakuu Kwema!
Usiku wa leo nimefadhaika Sana, nimesononeshwa mno, nimepatwa na uchungu usioelezeka mpaka usingizi ukakata nikaamka yapata saa saba na dakika ishirini na mbili Kwa saa ya ukutani...
Kila nikipita hapa soko la Karume huwa nashangaa sana jinsi kundi kubwa la wamachinga wanavyofanya biashara zao chini ya nyaya kubwa za umeme bila hofu yoyote, sehemu nyingi ambapo naona kuna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.