Niliwahi laani sana hawa mapapa wanaopiga viwanja vya watu
Mbaya zaidi ukifwatilia utakuta wizaran kuna wahuni kadhaa wameshiriki kugawa mara ya pili kiwanja kimoja
Leo EATV waziri kafikishiwa...
Wakuu Naomba mnisaidie kupaza sauti kwa Serikali ifanye marekebisho kwenye reli ya Tabora-Mpanda hali ni mbaya mno, Yaani treni imekuwa na huduma za Hovyo Mno, unaandikiwa kwenye ticket treni...
Salaam wakuu!
Najua huwa anafanya ki utani utani tu na huwa hamaanishi ila sijajua tunajenga kizazi cha namna gani, Amekuwa akipata endorsement kubwa nyingi kutoka makampuni mengi sana na kupata...
Kwenye ukoo wetu ukivuta bangi unakuwa kichaa au niseme unadata.
Kuna jamaa zetu wengi tu wamedata je kuna ukoo ambao haupatani na bangi na pombe?
Mimi kwa kulijua hili jambo nimebaki kukaa...
TFRA tfr Nyanda za juu imekamata mbolea za ruzuku zikotoroshwa. Mbolea hizi zilikuwa kwenye hiace 3 na bajaji 2 na pickup moja.
Shehena kubwa ilipakuliwa tokea katika magari hayoooo
Meneja wa...
Wakuu bwana Yesu asifiwe.
Tunamkumbuka sote aliyewahi kuwa mkuu wa mkoa Mwanza,Dar na Mbeya. Je, kwa sasa yupo wapi?
Abasi Kandoro apumzishwe ukuu wa mkoa.
Ethiopia
Serikali ya Ethiopia bado haijapona.
Wakati imetoka kumaliza vita kutokana na mgogoro wa Tigray uliodumu miaka miwili 2020-2022🪙
Imejikuta ikiingia kwene migogoro mingine ikiwemo huu wa...
“As we are celebrating the life of the late Benjamin Mkapa, I would like to also mention that the National Health Insurance Fund is also a legacy of His Excellency Mkapa who started the initiative...
Je, hujasambaza uvumi kuhusu mimi ukidhani ya kwamba unanijua vizuri sana lakini huwezi kuthibitisha ukweli wowote kuhusu madai yako?
Nimesikia sifa za uongo unazosema juu yangu bila ya huruma...
Tatizo hamfanyii kazi
Andaa sufulia napesa za sarafu kama picha hiyo tumia sufulia kubwa au ndoo kubwa kunavitu vitatu vyakuchanganyia humo
Kwanza weka dawa nyeusi yazindiko iliochanganywa na...
Nimekuwa nikisikia simulizi mbalimbali zinazohusu watu wanaotumia Mkono na hata Mguu wa Kushoto kuwa na akili nyingi na kipaji pia.
Na inaelezwa kuwa ni watu wenye bahati sana.
Na hii ni...
Habari za humu wandugu, natumai wengi wenu hamjambo,
Mimi ni yule yule ndugu yenu niliyekimbia umande kusoma sikuona dili,
Kuna Uzi niliuletaga humu nikijisifia kuwa nimeweza kumlea mwanangu au...
Ni mara 10 Putin angeshtuka mapema asingejiingiza kwenye hii vita angetulia zake ajiimarishe kiulinzi maana aliivamia Ukraine kuizuia isijiunge na Nato pia hakutaka silaha za nato zisogee mlangoni...
Kama Kuna vijana wanapitia hali ngumu ya kimaisha basi ni pamoja na vijana wa kitanzania.
Just imagine kijana hanakwambia hana mpango wa kuoa kama ni upwiru atachukua buku Tano anakwenda...
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Deogratius Ndejembi amemwelekeza Katibu Mkuu wa Wizara hiyo kumchukulia hatua kali za kinidhamu Afisa Ardhi Mwandamizi Gaudence Mtalo kwa...
Mkuu wa Mkoa wa Njombe ndugu Anthony Mtaka anafaa kuwa mfano wa viongozi wenye kujenga jamii bora kupitia hotuba zake.
Tanzania ya sasa sio CCM wala vyama mbadala wenye hulka ya kutoa hotuba...
Za sahizi ndugu zanguni... Nina rafiki yangu kamaliza masters ya sheria (LLM) na kaisha pita law school in short ni advocate kwa sasa ana miaka 29 Anahitaji kujiunga na jeshi la polisi either...
Rais Samia
Shikamooo
Ikikupendexa tunaomba ubafikishe viongozi kadhaa wa juu wa nhif
Wakitangulizwa na bodi yao
Wananchi wanateseka sana na hizi huduma za nhif sjui kama washakufikishia
Kadi...
Katika jitihada za kuimarisha ushirikiano baina ya taasisi za kifedha na mihimili ya Serikali, Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Biashara Tanzania (TCB), Bw. Adam Mihayo, amemtembelea na kuzungumza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.