Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Tarehe 13.08.2024 majira ya 12:20hrs huko katika Mahakama ya Wilaya ya Kisarawe, Mkoa wa Pwani, Seleman Mzirai Kibiki, Miaka 49, Fundi magari na Mkazi wa Kiluvya, Kisarawe alijinyonga akiwa...
1 Reactions
5 Replies
828 Views
Muonekano wa milango ya kituo cha afya Bulige baada ya kung'olewa na mafundi ambao wanadai haki zao kwa muda mrefu ambapo mafundi hao wanataka kuuziwa nyumba kutokana na mikopo waliochukua kwa...
11 Reactions
65 Replies
2K Views
Chama cha Figo nchini kimejiandaa kupeleka mapendekezo Serikalini kuanzisha uchukuaji wa Figo kwa marehemu, ili kuongeza idadi ya wapandikiziwaji kwani wengi wanashindwa kumudu kutokana na uchache...
33 Reactions
152 Replies
4K Views
1. MWANAMUME HAPENDI KUFOKEWA Hata Kama amekosea; jaribu kumuonyesha kosa lake pasipo kumfokea au kumvunjia heshima. 2. MWANAMUME HAPENDI KUULIZWA MASWALI MENGI KWA WAKATI MMOJA Ukimuuliza swali...
10 Reactions
25 Replies
2K Views
Habari ya majukumu, Mimi niliomba cheti cha kifo cha mzazi, majibu yametoka ‘fika ofisi za RITA Bukoba Kagera uchukue cheti chako’, nami kwasasa niko Arusha Naweza kufanyeje Ili nipate nakala ya...
1 Reactions
15 Replies
609 Views
Hivi wakuu kutokana na changamoto ya ajira ambazo vijana wetu wanapitia nashangaa eti dokta au nesi haruhusiwi kufungua duka la dawa muhimu 🤣. Hivi alieturoga nani? Tuwahaurumie vijana wetu jaman...
0 Reactions
0 Replies
163 Views
Moderaror ningewaomba msiuunganishe uzi huu nna ujumbe Direct kwa mama Tafadhali Mama habari za leo na pole na majukum ya kuliongoza Taifa Mama kwa kipindi cha miaka yako mitano ya uongozi wako...
0 Reactions
1 Replies
233 Views
Leo ukipelekwa Bugando umevunjika mfupa utapigwa ganzi na kufungwa mawe halafu unamsubiri daktari saa nyingine inazidi hata mwezi kumpata daktari kufanya operation. Japo ajali haina kinga lakini...
2 Reactions
4 Replies
270 Views
Kuweka akiba ya fedha kumeongezeka umaarufu katika miaka ya hivi karibuni, kutokana na sababu kama ongezeko la gharama za maisha, maendeleo ya huduma za kifedha, elimu ya fedha, upatikanaji wa...
2 Reactions
5 Replies
469 Views
Fundi magari na Mkazi wa Kiluvya, Kisarawe, Seleman Mirai Kibiki (49), amejinyonga akiwa mahabusu ya Mahakama ya Wilaya ya Kisarawe, Mkoani Pwani akisubiri kupelekwa gerezani mara baada ya kutiwa...
3 Reactions
7 Replies
599 Views
Jeshi la Polisi limekuwa likilaumiwa kuendesha baadhi ya oparasheni zake "kitekaji". Unakuta mtuhumiwa kakamatwa eneo fulani na kutokujulikana aliko kwa siku kadhaa. Kama hiyo haitoshi, hata...
0 Reactions
0 Replies
210 Views
Je, na Sisi 'Team Tanzania Njema' akina GENTAMYCINE tutaanza kurudishwa lini ili tusaidie Tanzania yetu ambayo tunaanza kuiona ikizama kwa mambo mengi japo 'Team Tanzania tupo tupo tu' hawajui...
1 Reactions
4 Replies
427 Views
Sielewi imetokeaje hii kitu ni mara ya pili hii kwenye parking ipo hivi. Nimetokaa zangu uko na gari ya watu premio toyota nimepaki vuzuri tu nimemaliza mambo yangu nataka kupeleka mzigo sehemu...
6 Reactions
5 Replies
345 Views
Tafadhali hatutaki sasa Kuwaona mkiwa Bungeni hadi pale Kijiwe Majungu chenu Mbezi Beach ( eneo nalihifadhi ) mnaanza kumpiga Majungu Mtu ambaye Kutwa mlikuwa mnamsifu na kumpamba kwa Nguvu zenu...
1 Reactions
1 Replies
232 Views
Nimeingia kwene TRA online siiioni ! Wenye uzoefu nisaidieni
1 Reactions
0 Replies
258 Views
Nini hatima ya kilio cha askari wa Jeshi la Polisi kuhusu kikokotoo? Hili ndilo swali linaloumiza vichwa vya askari polisi wengi hususan wale wanaotarajia kustaafu kuanzia mwakani. Kikokotoo kwa...
9 Reactions
38 Replies
4K Views
Baada ya comments zangu kadhaa mitandaoni kuhusu michezo ya olimpiki nimepokea messages nyingi sana zikinisihi niandike uzi kuhusu mchezo wa riadha na nini kifanyike ili twende mbele. Baada ya...
3 Reactions
12 Replies
385 Views
Nawasalimu kupitia jina kuu lipitalo majina yote. Moja Kwa moja, mimi sio mwanaharakati na sitaki kujihusisha. Pamoja na hayo nikipata nafasi ya kuwasikiliza Hawa jamaa ni kama hawana mwelekeo...
5 Reactions
20 Replies
535 Views
Mwanaume aliyeanza kupata hedhi akiwa mvulana mdogo Chanzo cha picha, Iryna Kuzemko Katika umri wa miaka 22, niligundua kuwa mimi ni mtu mwenye jinsia mbili. Tangu wakati huo maisha yangu...
1 Reactions
2 Replies
523 Views
IF YOU WANT TO SELL YOUR FREEDOM GET MARRIED Je ni kweli kuna uhuru unapungua ukioa au kuolewa ? Ni uhuru upi huo ? Kuna wengine husema "no matter how boring life gets, never get married" Kuna...
7 Reactions
31 Replies
671 Views
Back
Top Bottom