Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Wasaalam, Tafadhali ikikupendeza soma maelekezo ya kiambatisho hapa chini SEHEMU YA PILI (b). Kisha tafadhali tenga muda wako usome utoe maoni yako kama ilivyoelekezwa kwenye tangazo...
11 Reactions
36 Replies
1K Views
Mwanafunzi wa kidato cha tano, katika Shule ya Wavulana ya Umbwe, iliyopo Kata ya Umbwe Onana, Wilaya ya Moshi, mkoani Kilimanjaro, Thomas Edward Kogal (19) amefariki dunia wakati akifanya mazoezi...
7 Reactions
23 Replies
2K Views
JF salaam, Ni miaka takribani 17 tangu kituko hiki nikifanye nikiwa O Level kweli bangi inawenyewe. Nikiwa na marafiki zangu watano mi nikiwa 6 kati yao wa3 walikuwa wanakula bangi na darasani...
15 Reactions
26 Replies
2K Views
Nyota wa muziki Nicki Minaj amekamatwa kwenye uwanja wa ndege nchini Uholanzi saa chache kabla ya kutumbuiza katika ukumbi wa Co-op Live jijini Manchester. Rapa huyo wa Marekani, 41, alizuiliwa...
0 Reactions
7 Replies
937 Views
Ndivyo unaweza kusema kuwa sasa Chadema wageuka vibweka wa kudeka na kuropoka uongo acha tuwasikilize. Nchi hii Ina wenyewe mtake mistake CCM ndio baba la baba na CCM ndio mama la mama...
2 Reactions
14 Replies
498 Views
Jeshi la Polisi linamshikilia mwanamume kwa tuhuma za kumuua kwa kumnyonga mkazi wa Mtaa wa Maselele, Kata ya Cheyo B Manispaa ya Tabora, Juliana Mbogo (40) kisha mwili wake kuuficha uvunguni mwa...
7 Reactions
56 Replies
2K Views
IJUE BANGI NA KUIHESHIMU KAMA MTI MTAKATIFU Kutoka kwa kutazama wingu hadi kutafakari hadi kuangaza nguvu za ubunifu, watu wanafurahiya faida nyingi za bangi kwa akili, mwili na roho. Matumizi...
6 Reactions
10 Replies
1K Views
Yaani kuna kitu huwa nashangaa sana utakuta humu mtu anasema vijana wanashinda kuzungumzia mpira hawalipambanii Taifa yaani mtu anaongea kama mwenyewe sio Mtanzania, yaani anamlaumu wenzake wakati...
9 Reactions
58 Replies
997 Views
Licha taarifa ya baadhi ya viongozi wa Serikali ngazi za juu kusisitiza Wanafunzi wa Shule za Serikali wasirejeshwe nyumbani kutokana na kukosa kuchangia michango, hali ni tofauti kwenye ya Shule...
1 Reactions
1 Replies
736 Views
Huu ni ushauri kabisa maana nimevumilia nimechoka kabisa ndugu zangu yaani vituko ambavyo wake zenu akiwa nyie hampo vinatia shaka kiukweli wakuu Wanawake wanajirahisisha huku mahospital kwa...
17 Reactions
77 Replies
3K Views
Kuishi kijijini - ukikaa kijijini kufanikiwa maisha kiasi cha kummiliki mali ni ngumu Sana hii ni kwasababu zifuatazo. -Uzinzi -Pombe -Ukosefu wa maarifa. -Kukaa na watu wenye mawazo duni...
5 Reactions
13 Replies
735 Views
Kila tukio likitokea ambalo liko ndivyo sivyo, TLS inajitokeza kulaani. Latest ilikuwa ya Chadema huko Mbeya. Wakati Mwambukusi akiomba kura alionekana akituaminisha kama TLS ni bonge ya chombo...
4 Reactions
14 Replies
588 Views
Ndugu Watanzania, ikimbukwe kuwa mwezi July serikali ilitangaza kununua Mahindi kwa wakulima kupitia wakala wa hifadhi ya chakula "NFRA" ila kitu kinachoshangaza na kustaajabisha ni kuwa malipo...
1 Reactions
0 Replies
388 Views
I) Leo kwangu kesho kwake ii) Aliyempa yeye ndo aliyeninyima mimi iii) Kama ipo ipo tu Ongezea na wewe
8 Reactions
77 Replies
2K Views
Maombi 2648 ya utafutaji wa madini yafutwa katika kipindi cha kuanzia mwezi Oktoba 2023 hadi Julai 2024 kutokana na kutokidhi vigezo vilivyowekwa kwa mujibu wa Sheria ya Madini Sura 123. Hayo...
1 Reactions
7 Replies
365 Views
Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) unawajulisha wanachama wake na wananchi kuwa huduma za matibabu katika hospitali ya Aga Khan zitaendelea kutolewa kama kawaida hadi hapo itakapotangazwa...
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Katika mitandao ya kijamii kuna hili la The Aga Khan Hospital linatajwa ila watu wanasahau mapema sana. Tukumbushane kidogo tarehe Machi 13, 2023 kutokea Dodoma, tulipata ujumbe huu kupitia...
2 Reactions
1 Replies
330 Views
Naomba nielekezwe ofisi za mkuu wa wilaya ya chalinze Sio za HalmashaurI ya wilaya,bali mkuu wa wilaya
0 Reactions
0 Replies
169 Views
Ukija na drama zako kulalaleki sisi tuna tunakutizama kisha tuna gonga ile kitu yetu. Tunakupotezea Halafu hao machalii wanaotoka huko dasa laama ndio wanakuja kutuharibia mkoa wetu, maana wana...
5 Reactions
13 Replies
823 Views
Habar Wana jamvi, Wiki iliyopita nilipata wasaa wakutembelea kwetu Kijijini nikiwa kule Kijijini nilipata nafasi yakuzungumza na watu wa makundi mbalimbali, Wazee, Vijana ndugu na marafiki...
4 Reactions
4 Replies
713 Views
Back
Top Bottom