Mnamo tarehe 14/2/2024 wananchi wa mtaa wa Kalobe wanaotumia uwanja wa Kalobe walipeleka malalamiko kuhusiana na uwanja wao kuaribiwa na watu wanaotumia barabara ya Kalobe kuenda itende kupita...
Wakati Bajeti Kuu ya Serikali ikitarajiwa kuwasilishwa kesho, Menejimenti ya Tume ya Madini imetakiwa kufanya kazi kwa weledi, umoja na mshikamano ili kufikia lengo la Serikali la makusanyo ya...
Ndugu Hamis Kigwangala ni mmoja ya mawaziri ambao ukiwaona wakiwa katika mambo yao ndipo utaamini uchawi upo. Kuna mtu mmoja amekuwa akipinga sana humu JF kuwa hakuna uchawi.
Mimi namwambia kwa...
Nimeona mchakato toka reli inaanza kujengwa, Treni zenyewe kufika, na Tarehe ya uzinduzi. Hakuna mahali nimeona Tangazo la kazi mchakato wa kupata izi ajira kwenye treni pamoja na wahudumu?
Je...
Nabii BASHANDO atafanya Ibada ya kumwombea KIGWANGWALA arudi kwenye uwaziri wa maliasili na utalii.
Maombi haya yatafanyika Kwa siku tatu kuanzia tar 5 July Hadi tar 9 mkoani TABORA.
Mimi...
Ndugu DAWASA na Waziri wa maji,
Ninaandika kueleza hasira yangu kuhusu tatizo linaloendelea la ukosefu wa maji katika baadhi ya maeneo ya Tabata Kwa zaidi ya mwezi mmoja sasa hatujawa na maji, na...
HATARI YA MAGONJWA YA MILIPUKO TEGETA CHASIMBA
Wakazi wa Tegeta Chasimba wanaomba msaada wa kuondolewa takataka ili kuepukana na hatari ya magonjwa ya milipuko. Mkandarasi wa taka hajaonekana...
Mkutano wa 2024 wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika FOCAC utafanyika Beijing kuanzia Septemba 4 hadi 6. Hii itakuwa ni mara ya nne kwa Baraza hilo kufanya mkutano wake kuwa wa kilele...
Naomba niingie kwenye Mada moja kwa moja.
Kutokana na malalamiko ya wananchi kutendewa unyama na jeshi la polisi sehemu mbalimbali za nchi, kama vile raia kuuwawa vituo vya polisi, raia...
Makamu Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Antipas Lisu amesema ni hali iliyo Wazi kabisa kwamba Chaguzi za Ndani za Chadema zinatawaliwa na Rushwa
Lisu amesema inashangaza kuona Matumizi makubwa...
Wanafunzi wengi akiwemo mdogo wangu wa mwisho aliye form 1, Iliboru wamevamiwa na kuporwa vitu vyao wakati wakielekea stend kupanda magari baada ya kufunga shule.
Wengine wamevamiwa walipokuwa...
Habari zenu wanabodi.
Kumekuwa na wivu mkubwa sana ktk jamii. Mfano mtu akikutana na mtu aliyesomanaye kamzidi kimaisha hujitenga naye. Hata mwanafunzi aliyefaulu kwenda sekondari enzi zile shule...
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko (katikati), akiwa ameongozana na Waziri wa Michezo, Dkt. Damas Ndumbaro (watatu kulia), Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila...
Wakuu,
Kutokana na majibu ya uchunguzi wa kesi ya binti aliyelawitiwa na kubakwa kikatili kutolewa leo ni wazi kabsa kwamba hapa hakuna kesi wala hakuna atakaye fungwa kwa kesi hii
Wanaweza...
Huwa nacheka sana baadhi ya watu wakipinga kwa nguvu zote kuwa hakuna uchawi. Hawa hawajatembea wakajionea kwa macho yao na kushuhudia live kabisa, SIO KUSIMULIWA.
Last week kuna picha ilitrend...
Tumesikia tamko la kiongozi wa latra akipiga marufuku mahubiri kwenye mabasi lakini sisi wananchi nadhani tunayafahamu mengi ambayo ni kero lakini kutokana na kutendeka kwa muda mwingi tukaona...
Ndugu Wa Tanzania
Tumepokea malalamiko ya watu wa rika mbali mbali toka mwaka jana juu ya mashirika ya ndege hapo Dar es salaam wanavyo wasumbua watanzania wanao taka kusafiri kwenda nchi za nje...
Utakuta mhasibu kutwa nzima anashika pesa ofisini, pesa za kampuni mshahara kwa mwezi laki tano(500,000/=)
Hii inafanya wawe na tamaa ya kuiba fedha za kampuni,kwasiku unashika fedha milioni...
Hivi katika nchi yoyote Nani anamzudi mwenzake kwa kila kitu kulingana na nafasi zao Mkuu wa Majeshi na Gavana wa bank kuu.
Vipi kuhusu maslahi unyeti na ulinzi wa hawa watu?
Au la ukiambiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.