Hello great thinkers,
Kuna mwenye anajua utaratibu wa kusafirisha mizigo kwa kutumia treni, kutokea Dodoma hadi Dar?
Nmejaribu kupitia kwenye website yao sijapata majibu
Naomba mwenye maelekezo...
Wapendwa katika Bwana.amani itawale.ndugu zangu naamini katika Dunia hii hatupo sawa kabisa.na sisi sote ni waja wa mwenyezi Mungu.naamini pia Kuna watu Wana hela kiasi kwamba wao wanachotumia kwa...
Ule mwangwi wa kile kishindo haujajibu bado. ili uwe mwangwi lazima kuwe na mshindo nyuma
Kaya imeshurutishwa kukaa kimya kwa lazima lakini sio tulivu. Mafikara yanawasokota ndani kwa ndani na...
Utotoni tulifurahia sana tulipokuwa tunaenda mapangoni kusikiliza sauti zetu kupitia mwangwi mapangoni. Yaani Ilikuwa ni kama vile mapango yanatugeza sauti zetu na kutusikilizisha kwa sauti ya juu...
Mimi binafsi naona ni ubabe wa usiofaa wa baadhi ya wanajeshi, mtu anakuja ofisini kwako kavaa kiraia.
Mnafanya biashara vizuri, Ikitokea biashara imeenda kinyume siku akija kueleza matatizo...
Navuta picha miaka ya nyuma kidogo jinsi mahusiano ya mtu mmoja mmoja bila kujuana dini wala kabila kwenye vyombo vya usafiri hasa hasa safari za mikoani yalikua hayana kutiliana shaka kamwe.
Cha...
Wakuu,
Nimekusanya mahitaji yangu na kwend sehemu ya malipo na kufanya malipo kwa njia ya TIGOPESA MASTERCARDS.
Nikapokea msg ya kukatwa kwa malipo niliyofanya na nikawa najiandaa kuondoka na...
TUYAONDOE MAJAMBAZI YA KISIASA KWENYE VYEO YALIKOJIPENYEZA KWA RUSHWA YAKAPATA VYEO ILI TUBAKI NA WATU WAAMINIFU NA WAADILIFU WENYE UCHUNGU WA KUWAINUA MAFUKARA
Nilisikika nikiunguruma katika...
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawataarifu wateja wake kuhusu zoezi la maboresho ya mfumo wa mita za Luku ambapo sasa ni zamu ya mikoa ya Morogoro, Dodoma, Singida, Manyara, Arusha...
QnA btn Sheep and Pastor.
Sheep : Who is God?
Pastor : Jesus
Sheep : Is Jesus the son of Mary?
Postor : Yes
Sheep : Who created Mary?
Paster : God.
Sheep : Who is God?
Postor: Jesus
Sheep ...
Kuwahamisha wananchi wa jamii ya Kimasai katika Hifadhi ya Taifa ya Ngorongoro ni suala lenye uzito wake kwa taifa linaloweka maslahi mapana ya utunzaji wa mazingira. Baadhi ya sababu ni kama...
Hii sio taarifa ya tukio bali ni tathmini ya utendaji wa jeshi letu la Polisi katika kukiuka haki za wananchi wa Tanzania, binadamu walioapa kuwalinda.
Hivi karibuni huko Kibaha kumetokea tukio...
Kwanza nitoe pongezi kwa chombo cha habari cha Wasafi media kipindi kinachoendeshwa na Zembwela, Maulid kitenge (mshambuliaji) na Gerald Hando, kwa kweli kila nikifungulia redio kwenye hiki...
Jeshi la Polisi ningependa kutoa taarifa ya uchunguzi wa tukio ambalo lilisambazwa katika mitandao ya kijamii kupitia picha mjongeo (video clip) kuanzia Agosti 2, 2024 ikimwonyesha binti mmoja...
Nina bicon ambayo niliipata katika mlima.Ikiwa katika mdomo wa chupa ya wine na kugundishwa kwa cementi Kali.
Mwonekano wake
Ni shaba
Imechongwa
Ia ngazi
Nini nimefanya -nimejaribu kupata watu...
Kampuni ya KEDA (T) Ceramics Co. Ltd imefanya uzinduzi wa awali wa kuwasha mitambo ya kiwanda hicho kilichopo Mkuranga Mkoani Pwani, leo Agosti 19, 2024.
Uzinduzi huo umefanywa na baadhi ya...
Toka saa 12 asubuhi,tigopesa haifanyi kazi,huduma kwa wateja kuongea na mhudumu simu inakatwa.
Ni kama wamegoma leo tusifanye harajati zetu za malipo maana wao ndio wanaamua namna ya kufanya kazi.
kwa mfano,
Mtandao wa Tigo unasumbua hata kutuma pesa zinakwama, wao hawajatoa taarifa kwa wateja kuwajuza kuna tatizo, wana act kama kila kitu kiko sawa, kinachotokea ni watu wanazidi kufanya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.