Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Kwa upande wangu madeni yamenifanya niwe na discipline ya hali ya juu, yaani extremely discipline kwenye pesa. Pia yamenifanya akili iwe active kwenye kufikiri mipango na yamezidi kunipa courage...
10 Reactions
18 Replies
1K Views
Kama kichwa cha mada kinavyojieleza, Mimi ni mwenyeji wa Mbeya mjini, kwa muda mrefu lakini mi ukweli sioni sababu za msingi za kuipatia Mbeya hadhi ya jiji yaani mji upoupo tu labda wajuvi...
12 Reactions
230 Replies
27K Views
Nabii mmoja yule alikuwa anasema Dar itasombwa na bahari. Ninekaa mikoani muda mrefu sana naogopa kuja Dar. Kumbe yule Nabii hajaona kitu chochote anasema,"Bwana kanionesha hivi usiku wa jana."...
9 Reactions
7 Replies
533 Views
Twende kazi. Mustakabali mzima wa maisha ya mwanadamu ni kupambana na mazingira yanayomzunguka na mwisho kufa. Ukiacha vitabu vya dini na ustahilishwaji kwa kutumia mema na mabaya ya nadharia ya...
1 Reactions
0 Replies
331 Views
Ninakumbuka siku moja nilikuwa nipo nipo tu wala sina kampani, ghafla wazo likanijia nikanunue fegi nijaribu mara moja tu nione ikoje. Kuanzia hapo mdogo mdogo nikaanza kupiga paf kila jioni na...
24 Reactions
137 Replies
6K Views
Pamoja na mabaya mengi yanayotajwa kutoka kwa Magufuli lakini kuna mahali tunafikishwa na viongozi wetu tunadhubutu kusema yule bwana alikua zaidi ya kiongozi. Kinachoendela sasa Amri ya serikali...
2 Reactions
4 Replies
236 Views
MWANAMKE INITIATIVE FOUNDATION (MIF) KATIKA KILELE CHA KIZIMKAZI FESTIVAL 2024, ZANZIBAR KIZIMKAZI FESTIVAL 2024, KIZIMKAZI IMEITIKA, AGOSTI 18-25, 2024 Taasisi ya Mwanamke Initiatives...
0 Reactions
3 Replies
382 Views
TAARIFA KWA WATEJA KANDA YA KATI NA KANDA YA KASIKAZINI MABORESHO YA MITA ZIMEBAKI SIKU Kwa Mikoa ya Morogoro, Dodoma, Singida, Manyara, Arusha, Kilimanjaro na Tanga Zifuatazo ni hatua za...
1 Reactions
3 Replies
586 Views
Mtu huyu alihukumiwa kifungo cha miaka 13 jela, lakini walimsahau kumkamata. Mnamo mwaka 1999, Cornealious Anderson alihukumiwa kwa kosa la ujambazi akiwa na silaha huko St. Charles, Missouri, na...
4 Reactions
9 Replies
779 Views
Licha ya huu mkoa kupakana na jiji la Dar es salaam ambalo ndo jiji kubwa Tanzania na Africa Mashariki Kwa ujumla, lakini mkoa wa Pwani unatishia, Mkoa wa Pwani una Mapori mazito yamefunga Giza na...
13 Reactions
72 Replies
3K Views
Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) leo, tarehe 20 Agosti 2024, kimezindua Ripoti yake ya Taarifa ya utoaji msaada wa kisheria kwa mwaka 2023. Wakili Msomi Fulgence Masawe ameeleza Umri...
0 Reactions
1 Replies
204 Views
Niseme tu kilichopo kuna mradi wa barabara unafanyika huku sisi vijana wa hapa ndio tuliwapokea wachina wakatuajiri kama vibarua, tunalipwa 5000 kwa masaa 10 tumejenga kempu imeisha. Sasa...
0 Reactions
0 Replies
189 Views
Huyu jamaa Serikali iingilie kati. Hayupo sawa. Its either anataka sana attention au ana tatizo kubwa la kisaikolojia. Hayupo sawa. Hakuna Taifa au Jamii inaweza ishi kwa huu Ujinga anao usema...
27 Reactions
194 Replies
6K Views
YAH: MADAI MBALIMBALI YAKIWEMO POSHO YA KUJIKIMU WATUMISHI AJIRA MPYA, MALIPO YA LIKIZO NA MALIPO YA SAFARI ZA KIKAZI KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA NGARA Mhe Waziri wa TAMISEMI, kumekuwa na...
0 Reactions
0 Replies
340 Views
Aisee hapa Lindi mvua mwaka huu imeamua inanyesha kila siku yaani kila kunapokucha tuko nayo ukifua nguo kwenye mvua hizi za kusi basi zitakauka Kwa siku tatu.
1 Reactions
22 Replies
888 Views
Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) Boniface Mwabukusi amesema Baraza la Uongozi la chama hicho limeunda kamati maalum kufuatilia suala la Ngorongoro ili kujua ukweli wake Mwabukusi...
0 Reactions
0 Replies
199 Views
Leo nimesoma taarifa kuwa waziri wa Kilimo Dr. Tizeba anapinga waziwazi taarifa ya polisi juu ya ajali iliyoua wafanyakazi watano wa wizara yake, na kuwataka Polisi wakajiridhishe upya badala ya...
6 Reactions
35 Replies
4K Views
Mtanisamehe kwa nitachosimulia hapa lengo vijana mjifunze. Kuna jamaa yangu alikuwa mpambanaji sana na ni mtu wa malengo ya kufikia utajiri na lengo lake alitaka utajiri wa kishirikina. Kahangaika...
3 Reactions
6 Replies
675 Views
Wakuu, Tusaidiane kidogo ,Leo wakati nimekusanya vihela vyangu nikasema nipite shoppers ya MASAKI, ninunue vitu kidogo kwaajili ya mahitaji ya nyumbani. Basi nimeshafanya machaguzi ya vitu...
7 Reactions
34 Replies
1K Views
Ripoti mpya kuhusu hali ya uhalifu nchini Tanzania imebaini ongezeko kubwa la kesi za ubakaji na ulawiti, ambapo mikoa ya Zanzibar, Arusha, na Morogoro inaongoza kwa kiwango kikubwa. Ripoti hiyo...
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Back
Top Bottom