Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Media za Tanzania zimepitia mabadiliko kadhaa yanayotokana na maendeleo ya sayansi na teknolojia. Hivi ni vipindi vya habari ambavyo vinanivutia kwenye media za Tanzania. 1. TBC 1 Aridhio 2. TBC 1...
2 Reactions
5 Replies
366 Views
CDC italeta Afrika dozi milioni 10 ya MPOX na kupelekea moja kwa moja nchini Congo (DR) huku mipaka ya Tanzania ikianza ukaguzi kwa mujibu wa waziri wa afya mhagama . Iwapo Marekani itaongeza...
1 Reactions
9 Replies
357 Views
Kuna habari gani kutoka Wizara ya Afya Tanzania juu ya hili swala la watu wengi kuugua Mafua na Kifua kiholela holela na mfululizo. Pia soma: Uganda: Wizara ya Afya yatoa taarifa Juu ya Wimbi la...
4 Reactions
29 Replies
1K Views
Ndugu zangu naombeni msaada wakiushauri kwa maana nahisi kuelemewa.
4 Reactions
24 Replies
519 Views
Nimefikiria sana mpaka nimekosea majibu, tulizaliwa watoto saba nyumbani, na ndugu waliokuja kuishi nyumbani kipindi tunakua wanafika 6, hao waliosomeshwa na mzee, japo wengine walikua wanakuja na...
22 Reactions
70 Replies
2K Views
Kuna Apps nyingi tu za ku track, kushika simu ya mtu sishiki. Hata ya Lamomy hushiki?
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Habari wana bodi. Mimi ni mdau wa sekta ya usafirishaji na katika observations zangu nimegundua tatizo na nashauri watajwa hapo juu katika mkoa wa Morogoro kama ifuatavyo. Manispaa ya Morogoro...
0 Reactions
0 Replies
313 Views
Barabara imejengwa kwa Kodi za Wananchi, mmeifunga kusudi ilihali hakuna gari yoyote ya Mwendokasi inayopita! Tunateseka na foleni huku pembeni tunaona Barabara Iko tupu. Not fair! Huku kwetu...
6 Reactions
41 Replies
1K Views
Viongozi wa vijiji vilivyopata gawio la mrahaba wakiwa katika picha ya pamoja na Waziri Mavunde na viongozi wa Barrick na Serikali mkoani Mara. Kampuni ya Barrick nchini yenye ubia na Serikali...
1 Reactions
1 Replies
258 Views
Ugenini Jamani kuna mambo Mengi sana. Na si ajabu unapoenda ugenini ukakutana na majanga tofauti tofauti. Ugenini kuna watoto waliokosa adabu, ugenini kuna watu wasiopenda wageni anaweza kuwa mume...
19 Reactions
205 Replies
7K Views
Watanzania wengi wanapohamasishwa kuzaa watoto wachache kwa uzazi wa mpango huwa wabishi sana na mojawapo ya hoja yao kubwa ni kwamba Tanzania bado ina ardhi kubwa sana na inahitaji watu wengi...
3 Reactions
19 Replies
375 Views
Kamati ya Kudumu ya Ardhi Maliasili na Utalii imeitaka wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi kuendelea kusimamia maazimio ya Bunge ili kutoa huduma bora kwa Watanzania. Hayo yameelezwa na...
1 Reactions
1 Replies
176 Views
Salaam ,Shalom!! Umeshawahi kujiuliza nini kinaweza kukutokea ikiwa utajifunga kitambaa cheusi machoni na kutembea barabara ya mwendokasi? Katika nyakati hizi tunazoishi, simu ya mikononi...
6 Reactions
42 Replies
924 Views
"70% ya mzigo unaoshuka bandari ya Dar-es-Salaam kwenda nchi za jirani unatoka Tanzania kupitia Boda ya Tunduma. Ile ndio boda ambayo iko bize kuliko boda zote Afrika Mashariki hivyo hii tayari ni...
1 Reactions
2 Replies
566 Views
Jamani haya mambo ya kila kitu kodi sindio alikua anafanya mkoloni?Bmbona yamerudi kwa kasi kubwa nchini hali ya kuwa nchi ina rasilimali za kiasili nyingi mno? Serikali kuna maeneo mngefikiria...
1 Reactions
6 Replies
372 Views
Watu wanateseka, miaka na miaka hawapati suluhisho, najiuliza kwanini Mungu anaruhusu vitu kama hivyo? Utakuta kitu cha miaka na miaka kinamtesa mtu, tena wasio na hatia, tena wanaotenda mambo...
19 Reactions
111 Replies
3K Views
TAARIFA KWA UMMA HITILAFU YA TRENI YA KAWAIDA YA ABIRIA KUTOKA DODOMA KUELEKEA DAR ES SALAAM Dar es Salaam, Tarehe 2 Agosti 2024 Shirika la Reli Tanzania (TRC) linaomba radhi kwa abiria...
1 Reactions
29 Replies
2K Views
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka wakuu wa taasisi wahakikishe kuwa madereva wao wanapatiwa stahiki zao ikiwemo posho za safari, sare za kazi na mafunzo wawapo kazini. "Wakuu wa taasisi...
1 Reactions
0 Replies
485 Views
Unahisi wapiga kura wake walikuwa wakina nani?
0 Reactions
2 Replies
257 Views
Back
Top Bottom