Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Jeshi la Polisi limesema limeshafanya Uchunguz wa kina dhidi ya Afisa wa Polisi anayetajwa kwa jina la 'Fatma Kigondo' ikiwa ni pamoja na kupata maelezo ya watu mbalimbali Kwa mujibu wa taarifa...
3 Reactions
35 Replies
2K Views
JESHI la Polisi mkoani Mwanza linamshikilia Mwanafunzi wa Chuo cha Mipango na Maendeleo Vijijini Kanda ya Ziwa, Elias Anania (20) kwa tuhuma za kuhamasisha vurugu kupitia kundi sogozi la WhatsApp...
5 Reactions
34 Replies
2K Views
Ukikuta Watanzania wanaongea mambo fulani unaweza kufikiri walikuwa mashahidi wa mambo hayo kwamba waliona tukio zima lakini kumbe ni uzushi. Kinachosikitisha ilibidi mambo hayo wayaamini watu...
10 Reactions
39 Replies
1K Views
Mimi ni mtumiaji wa 5G router zote Airtel,voda na Tigo. Ukweli katika hizi router 3 mitandao ya ukweli ambayo naweza mshauri mtu atumie ni miwili tu. Airtel na Vodacom. Tigo ni wezi sio...
30 Reactions
67 Replies
4K Views
Hili nimekuwa nikijiuliza sana, wadau, kuna mwenye ufahamu?
3 Reactions
6 Replies
284 Views
Barua hii hapa USSR
7 Reactions
7 Replies
321 Views
Wakuu kwema? Habari za weekend. Najua wengi wameshaongea ila me nakumbushia tu kuhusu hili jambo. Wengi wetu huwa tuna matarajio makubwa sana hasa pale inapoonekana kuna tagi inabidi likufikie...
7 Reactions
6 Replies
387 Views
  • Closed
Ni nyumba jirani na yangu lakini huyu ni mpangaji. Usiku kucha ni kelele za kiwanda chake feki cha kuzalisha KVant feki na kuzijaza kwenye chupa za KVant. Ni kazi inayofanyika usiku tu. Nimripoti...
35 Reactions
141 Replies
4K Views
Wakuu weekend inaendaje? Huduma kwa wateja upande wa serikali imekuwa mwiba mchungu, kila kona malalamiko tu ya watoa huduma taasisi hizo kutoridhisha na matarajio ya wateja. Tukiachana na...
1 Reactions
30 Replies
777 Views
Hapa nazungumzia wale ambao hawali nyama kiimani na si wale ambao hawali kwasababu za kiafya tofauti na ukristo na uislam, dini kama buddhism, krishna nk wanaamini sana...
22 Reactions
419 Replies
61K Views
Hapa Mitaani kwetu nimenunua sukari ambayo ukiweka kwenye chai haikolei kabisa. Hii sukari imekuwa tofauti kabisa na sukari ya Kiwanda cha Kagera au Kilombero. Nawashauri TBS wafanye...
0 Reactions
5 Replies
198 Views
Kwani majina ya JWTZ yanatoka lini jamoni?🙄
5 Reactions
71 Replies
873 Views
Wanaume jalini wake zenu pamoja na watoto zenu kwa upendo na maadalii mema Ili tujenge Taifa Bora. Eee Mungu tusaidie sisi wanaume utusamehe mazambi yetu. Baadhi ya Wanaume wengi wanakwepa...
2 Reactions
6 Replies
200 Views
Dunia inaenda kasi sana ,yaani aliyezaliwa 2000 ni baba na wamama ni wengi zaidi,shida siyo umri,ila ni majukumu yanapokuja ikiwa huna kitu. Nakukumbusha majukumu na hatua za kuchukua kwa nguvu...
5 Reactions
9 Replies
524 Views
Kumekuwa na ongezeko kubwa la wananchi mtaani wenye maradhi mbalimbali kulalamika kuwa wametumia dawa za hospitali kwa muda mrefu ila hawajapona na kuamua kugeukia tiba Asili. Nini kinasababisha...
1 Reactions
38 Replies
821 Views
Kuna mtu anashindwa KULALA kwasababu hana pesa pia kuna mtu anashindwa KULALA kwasababu ana pesa nyingi! Na haya ndio maisha yetu wanadamu...changamoto hazikosekani kwa hali yeyote utakayokuwa. ✍🏾
3 Reactions
0 Replies
139 Views
Kama mnavyojua nchi yetu ina vivutio vingi sana na jamii zimeishi karibu na au kwenye maeneo hayo tangu kale, kero kubwa imekuwa ni kwa askari game ranger, wamisitu na vivutio lakini nahofia huko...
0 Reactions
0 Replies
117 Views
Habari wana JF, poleni na janga la umeme.[emoji256] Niende direct kwenye maada. Tayari Nimeishi miaka 25 hapa duniani lakini tangu umri wa kujitambua wa miaka 10 na kuendelea maisha yangu yote...
9 Reactions
53 Replies
3K Views
Mnapoteza pesa zenu tu bure kuwasomesha hawa watoto ambao mnawaita zoomers Generation (Gen Z) Nimewachunguza hawa watu. Nimeenda hadi chuo kimoja cha kati kusoma kozi ya miezi mitatu ili...
82 Reactions
249 Replies
8K Views
1. Oa kwa ndoa ya kiikristo mwanamke wa kiswahili kutokea manzese au kawe ukimbahatisha mzalamo au mndengeleko umetoboa. 2. Kopa mkopo wa pesa riba nyonya damu kutokea watu microfinance. Au hope...
8 Reactions
13 Replies
588 Views
Back
Top Bottom