Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Habari za Leo wanaJF. Naomba mwenye kujua asili ya utamaduni wa wahitimu elimu ya juu ( degree, masters na PHD)siku ya mahafali kuvaa na kurusha juu kofia zao. Najua watu wengi hawajui, tutumie...
1 Reactions
0 Replies
380 Views
Katika vitu tumepigwa ni kufuli yaani kuliamini kufuli kwamba linalinda ni chai mchana kweupe ni ulinzi wa kizamani mno.kwanza kidude kinacholock ni kidogo sana yaani hata likipigwa na nondo...
3 Reactions
6 Replies
327 Views
Ili kuhakikisha kuwa na maafisa wa vyombo vya dola wenye maadili mema na uwajibikaji, yafuatayo yanaweza kufanywa: 1. Kuimarisha Uchaguzi na Udahili: Mchakato wa kuchagua na kudahili maafisa wa...
0 Reactions
1 Replies
234 Views
Wamenunua blue tick kwa fujo, mana ndio kigezo cha kwanza ili ulipwe. Lakini ukweli ni kuwa hawana content yoyote na pengine hawajui maana ya content, wanachokifanya sasa ni ku share video za...
13 Reactions
39 Replies
1K Views
Nimefikiria sana kuhusu muarobaini wa NHIF, nimeangalia mradi wa mabasi Udart nimeangalia bandari nimepata conclusion sisi tuna tatizo kubwa sana kuliko tunavyofikiria. Ukianza kufuatilia vitu...
2 Reactions
3 Replies
227 Views
Ushindi wa Ndungulire Kwa asilimia kubwa umechagizwa na Rais Samia. Rais alituma ujumbe kupitia waziri wa Afya Ummy mwalimu kuzunguka baadhi ya nchi za Africa ili ziiunge mkono Tanzania katika...
3 Reactions
16 Replies
405 Views
Aisee inasemekana mtangazi mmoja wa wachafu tv bwana x pesa alizokuwa anahongwa na mshangazi ambaye anaishi majuu ametumia kuhonga au kulipia mahari kwa wale watu wa covid 19 upande wa singida...
3 Reactions
15 Replies
1K Views
Anonymous (c2d3)
Hospitali ya TIBA (zamanı TUMAINI) iliopo Upanga jirani na Diamond Jubilee haichukui wagonjwa wanaotumia bima ya NHIF wiki moja sasa. Wagonjwa wanarudishwa nyumbani na wengine wanaambiwa walipe...
0 Reactions
4 Replies
332 Views
WApendwa ni hospitali ngapi kwa sasa zimebaki kuhudumia wagonjwa ukiwa na kadi ya nhif
3 Reactions
18 Replies
561 Views
Rais wa JMT amekataa ombi la kuipandisha hadhi Manispaa ya Morogoro Kuwa Jiji kama ambavyo mamlaka zimekuwa zikiomba akisema Morogoro Bado sana kufikia hadhi hiyo na kuwataka watimize wajibu wao...
5 Reactions
48 Replies
2K Views
Wadau hamjamboni nyote? Naomba jua maeneo yenye maduka yanayouza nguo za ndani za kike na sidiria zenye quality bora zaidi hapa dar es salaam Naomba jus na Bei zake pia Aksanteni
1 Reactions
4 Replies
495 Views
Aisee nakereka sana na upuuzi wao wa kufungia line yani miezi mitatu tu unakuta line yako kapewa mtu mwingine Yani kwenye dunia hii ya leo yenye maendeleo kadha wa kadha ambapo mtu anaweza...
1 Reactions
0 Replies
377 Views
Siwalijua wanatengeneza mfumo ambao ili uishi ni lazima uwe na hela Mbona hawatufundishi jinsi ya kutafuta hela, kuitunza hela na kuitawanya ili ikuingizie hela nyingi zaidi? Wanatufundisha blah...
1 Reactions
1 Replies
153 Views
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ametoa wito kwa Wahandisi wazawa kuhakikisha miradi wanayoisimamia inakidhi viwango vya kitaifa na kimataifa na iendane na thamani ya fedha inayotumika. Amesema ni...
0 Reactions
4 Replies
271 Views
Kuna jambo moja la ajabu sana kuhusiana na uhifadhi wao nyaraka ndani ya medulla ya binadamu. Jambo hili lipo hata katika baadhi ya wanyama kama tembo japo kwa mtazamo tofauti kidogo. Hawa wanyama...
10 Reactions
11 Replies
530 Views
Utangulizi wa Mengineyo Kwanza. Likizo imeisha, tetesi zimekoma, tarahuki zimeisha. Hakuna breaking news! Kilichopangwa kiwe tukio kubwa la kufunika mitandao na media zote limefifia kwa kishindo...
7 Reactions
21 Replies
992 Views
Basic salary: 940,000 ...... Michango/makato yake Chakuhawata contribution 5000 PSSSF 47,000 PAYE 94,200 Nmb bank loan...
33 Reactions
377 Replies
43K Views
Na Mwandishi Wetu, WHMTH, Arusha. Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania-TANAPA kwa kushirikiana na Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, imeanza kutoa Anwani za Makazi katika...
1 Reactions
2 Replies
267 Views
Jeshi la Polisi limewakamata watuhumiwa watatu waliofanya mauaji ya mfanyakazi mmoja wa Mgodi wa GGM kwa jina la Milembe Selemani katika mtaa wa Matulole, Kata ya Buhalahala mkoani Geita. Aidha...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Back
Top Bottom