TAMBUA UNYWAJI SAHIHI WA POMBE
Kitu cha msingi kwenye pombe siyo kujua aina ya beer au kilevi. Kitu cha msingi ni kujua percentage of pure alcohol (asilimia ya pombe halisi) na ujazo wake (...
Nilikuwa na jambo langu ambalo limeshaisha kwenye haya mabaraza/mahakama kitengo cha ardhi, huwa wateja tunakaa na wanaita kesi ili wahusika wafike sehemu husika.
Kesi zilizojaa ni mtu flani vs...
Bodi membaz !
Kwa heshima kubwa, nina hamu sana ya kujua alipo Wakili maarufu aliyeendesha kesi ya kutaka kumpindua Rais wa awamu ya kwanza Mwl JK Nyerere. Alipambana na akina Mabere Marandu and...
Jana Lissu na wenzake baada ya kufikishwa kituo cha Polisi Karatu mambo yalikua hivi;
LISSU: Mheshimiwa OCD mmetukamata kwa kosa gani?
OCD: Uchochezi.
LISSU: Lina dhamana au halina dhamana...
Mara nyingi watu hufanyiwa vitendo vya hovyo, udhalilishaji na kunyimwa haki zao za kisheria na kikatiba na polisi wetu kwa kukosa uelewa wa PGO. Hali hii hufanyika kwa makusudi na polisi ama kwa...
Heshima yenu wakuu, niende moja kwa moja kwenye dilemma yangu.
Kwa kujitambulisha, mimi ni ME (23) nipo nasoma chuo X, kuna wakati Lecturer akiwa ametoka kufundisha venue anaelekea parking...
Ben Saanane alikuwa mmoja wa wanaharakati wa kisiasa wenye sauti kali ndani ya CHADEMA, hususan akifahamika kwa msimamo wake wa kukosoa serikali ya wakati huo. Kabla ya kupotea, Ben alikuwa...
Wadau hamjamboni nyote?
Nimejiuliza kuwa Maria ndiye Mama wa Bwana na mwokozi wetu Yesu Kristo hivyo nilitarajia kuona maelezo ya kutosha kumuhudu ndani ya Biblia.
Hata ni Quran takatifu peke...
Wananchi mkoani Manyara wameaswa kujitokeza kujiandikisha na kuboresha taarifa zao kwenye Daftari la Kudumu la Wapiga Kura kwakuwa hiyo ni haki yao kisheria.
Wito huo umetolewa na Mkurugenzi wa...
Tabia ya udangaji miongoni mwa wanawake imekuwa inatokana na tofauti za kijamii, kiuchumi na majukumu ya kijinsia ambayo mara nyingi yamewazuia wanawake kupata uhuru wa kifedha. Mila na desturi...
Vijana wa mwaka 2000 mpaka sasa inasemekana ni hatari sana. Wanahitaji ushauri. Vijana hawa wamekuwa wakionekana wakiwa wanashindana na "walipotokea"
Huyu mwamba kwenye picha, kila akipita na...
Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu - Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Patrobas Katambi amempongeza Mhe. Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kutoa zaidi ya shilingi Bilioni 2 kwa ajili ya...
Leo nimeona mijadala fulani ila ilikua inajenga maelezo kuhusu vitabu vyote viwili biblia na Quran, ukiangalia vitabu vyote vimeeleza matukio na historia na wala sio yaliyoshushwa kama wasemavyo...
Kuna nini pale sio kwamba mikataba ya ajabu imewekwa na Sasa muwekezaji anafosi wamaasai watoke na ana ushindi hata mahakamani?
kama Kuna watu Wana vibali vya kuwinda je hawafanyi zaidi ya...
Mwanamke mmoja ajulikanae kwa jina la Rosalia Chuwa mwenye umri wa miaka 59 kutoka katika kijiji cha Utaruni ,mkoani kilimanjaro amemuua mama yake mzazi ajulikanae kwa jina Anastasia Shio mwenye...
Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, January Makamba amempongeza Dk Faustine Ndugulile kwa kuchaguliwa kuwa Mkurugenzi wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Ukanda wa...
Hii dhana kwamba wanawake huenda wasiwe na hofu kubwa ya kuwa kuuanika mwili kuliko wanaume inaweza kuathiriwa na mchanganyiko wa mambo ya kijamii, kitamaduni, kisaikolojia, na kibiolojia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.