Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Watu wamekua na Tamaa sana, na Roho ya utapeli, usimuone mtu kama ni Muislamu/Mkristo ukajua moyo wake ni safi na atakua mkweli kwa kila jambo. Dunia ya sasa watu wamekua sio waaminifu na...
5 Reactions
5 Replies
519 Views
Tangia nizaliwe ' hakyanani ' sijawahi kusikia ' Jogoo ' akiwika / wakiwika mida hii ya Saa Sita ( 6 ) za usiku kama huu ila nashangaa muda huu naandika huu ' uzi ' huko nje nyumba ya Jirani '...
4 Reactions
61 Replies
16K Views
Wadau nauliza gari nzuri ya dar-bukoba yenye choo ndani
7 Reactions
66 Replies
2K Views
Walengwa hapa ni JWTZ, POLISI, JKT, Magereza na Zimamoto! Wengi wa askari wenye vitambi ni "mabosi' Vitambi kwa askari wa vyeo vya juu vina manufaa gani kwao na kwa Taifa? Wanajua kuwa hivyo...
12 Reactions
128 Replies
6K Views
Anonymous (bf5b)
Nimepitia udhalilishaji wa kimtandao naomba kupata utaratibu nifanyeje tafadhali. Wamenidhalilisha vibaya mno wameniundia mpaka group, wameadd ndugu zangu na marafiki wakidai ni tapeli nimekaidi...
16 Reactions
73 Replies
5K Views
Anonymous (4609)
Naomba niwasilishe changamoto zetu kwa mamlaka husika kupitia nyie ili tupate ufafanuzi wa kulipwa gharama tunazowadai chuo. Wanafunzi wa Chuo cha Udaktari St. Francis (Morogoro, Ifakara)...
4 Reactions
26 Replies
916 Views
Jamani nina muda sasa sijaangalia cinema kwani DVD machine yangu imehalibika na sijui nani ameihaiharibu nyumbani kwangu tunaishi watatu tu Mimi,mke wangu(tunaondoka pamoja asubui nakurudi wote...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wakati Fulani miaka kadhaa iliyopita,wakati ambao hata mimi nilikuwa sijazaliwa lilipitishwa Azimio la Arusha.Hii ilikuwa juhudi mojawapo ya Rais wa wakati huo Marehemu Baba wa Taifa kujaribu...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Kila siku tunalia hali ngumu ya uchumi,mara vigogo wanaiba fedha ya nchi yet tunawafahamu hata kwa majina mmojammoja lakini najiuliza inakuwaje wakati wa uchaguzi tunawachagua hao hao tunaowaoita...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
˜The Apprentice’ TV Series Goes African; Candidate Auditions Slated for November 29-30 in Washington, D.C. Africans ex-patriots living in the U.S. and Africans (in Africa) will compete...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Aisee watu wanachekesha sana,ati mtu aenda kutoa msaada mahali mpaka aite msululu wa vyombo vya habari,hivi kweli wana nian ya dhati hawa au ndo wanatafuta umaarufu?.Kwani ukitoa kimyakimya Mungu...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Taarifa hii naona mtuhumiwa hajasema kweli. SOMA Kichanga chaokolewa baada ya kutumbukia chooni, chaitwa Bahati Na Festo Polea MTOTO mchanga, mwenye umri wa siku saba hadi jana usiku...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
WANANCHI katika Kijiji cha Nyankende, wilayani Kahama, wamelishambulia gari la polisi kwa kulipiga mawe, kisha kumuua mtuhumiwa wa unyang'anyi wa kutumia silaha. Wananchi hao walianza...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
RRONDO na MSHANA JR NA EXTROVET na nyinyi mchangie huu uzi pamoja na wana JF wengine ambao ni wajuzi karibuni. Nataka kujua kati ya Fuso na Coaster ni ipi inaingiza pesa nyingi nataka ninunue...
12 Reactions
59 Replies
3K Views
Kutoka gazeti la Nipashe Serikali ya kijiji Nyankumbu yavuliwa uongozi 2007-10-13 08:37:59 Na Renatus Masuguliko, PST Geita Uongozi wa Serikali ya Kijiji cha Nyankumbu, Wilaya ya Geita...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Kama ulidhani ulielewa somo la fraction au decimal jitafakari Kuna robo ta robo Watu wa mikoani huwa wanashangaa watu wa mjini kula miguu,utumbo na vichwa vya kuku,ule sio umasikini bali ni...
14 Reactions
55 Replies
1K Views
Kosa langu ilikuwa ni kupita dirishani kuingia bwenini kutoa jembe langu nililokuwa nimetunza chini ya kitanda changu Adhabu niliyopewa nikiwa darasa ka saba na miaka 13 1. Kulima shamba la miti...
8 Reactions
21 Replies
697 Views
Mimi simjui huyu mtu ila mpaka media zinamwita kufanya naye mazungumzo bila shaka ni mtu maarufu katika jamii. Anatoa uongo kwa manufaa ya nani? Ni kweli sasa bodaboda wamekuwa wengi sana...
3 Reactions
3 Replies
326 Views
Wakuu habari. Mungu wangu awatie nguvu na moyo wa mapambano awajalie neema na baraka. Naomba kujua Chumvi inahusika vipi kutibu tatizo la tumbo. Jirani yangu(mpangaji mwenzangu) dada wa umri...
6 Reactions
32 Replies
2K Views
Back
Top Bottom