Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Na Mwandishi Wetu Arusha. Shirika la Mawasiliano Tanzania TTCL , limesema inandelea kuwezesha nchi zinazoizunguka Tanzania kupata huduma ya Mawasiliano kupitia Mkongo wa Taifa wa Mawasiliano unao...
0 Reactions
1 Replies
188 Views
Wadau hamjamboni nyote? Kichwa cha habari chahusika Je ni sahihi mchungaji kukiri kuwa alikuwa mvuta bangi mbele ya waamini wake? Asubuhi njema
1 Reactions
12 Replies
333 Views
Leo nimeamka vizur sana, sikutegemea siku yangu itaelekea kuwa chungu. Nipo zangu posta natembea mdogomdogo kuelekea ofisini asubuhi ya leo, mara ghafla kuna jamaa akaanza kuniongelesha (umri...
7 Reactions
18 Replies
736 Views
Wadau hamjamboni nyote? Jama yangu huyu tukishinda wote Kijiweni tunasubiria kahawa na kashata za bure ghafla kapotea baada ya wiki nne anapiga simu kapata kazi kwa wazungu Cha ajabu...
27 Reactions
165 Replies
4K Views
Polisi mnawachukuliaje CHADEMA na wanachama waoo. Kwa taarifa ya Leo Nimesikitika sana
0 Reactions
2 Replies
118 Views
TCRA vs VPN: [emoji3581]Moja, TCRA haina mamlaka kisheria kumtaka raia kwa LAZIMA atoe "IP Address" yake. Hata KUOMBA raia atoe "IP Address" ni kosa. Hili la VPN nalo linapotoshwa tu. Matumizi ya...
5 Reactions
4 Replies
2K Views
Mi nilikuwa Mkatoliki baada ya kuona ni ukoloni na utumwa nikaamua kuachana na kwenda kanisani kabisa japo namuomba Mungu ki vyangu vyangu. Imagine Mapadre au Maaskofu wana pesa mpaka za kuhonga...
3 Reactions
14 Replies
963 Views
Baada ya usajili wa Mussa Kipanya pale Wasafi FM kwenye kipindi Cha Good Morning. Huyu Mwamba simuoni. Napenda kujua yupo wapi Mimi ni mfuasi wa utangazaji wake
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Kuna hii torch ya shoti(pichani) nataka niinunue, je kuna hatua zozote za kufata kama vile kumiliki bastora?. Hii torch ina 30000K Volt kazi yake kubwa ni kupiga shoti nahitaji kuimiliki kwa ajili...
2 Reactions
2 Replies
358 Views
Ufunuo 12:1 "Kisha, ishara kubwa ikaonekana mbinguni: Mwanamke aliyevikwa jua na mwezi chini ya miguu yake na taji ya nyota kumi na mbili juu ya kichwa chake!" Luka 1:26 "Mnamo mwezi wa sita...
13 Reactions
150 Replies
6K Views
Habar wadau , natafuta kiwanja maeneo ya geza ulole, kibada n mwongozo ofa yangu ni milioni 2. Kam Kuna mtu ana kiwanja maeneo hayo naomba tuwasiliane
2 Reactions
87 Replies
2K Views
Habari zenu ndugu watanzania!!!! Naandika uzi huu kuomba ushauri ili mwanga wa nini cha kufanya ili niweze pata mafao ya kutokuwa na kazi NSSF. Kwanza kabisa mimi ni mkazi wa mkoa wa Mtwara...
3 Reactions
7 Replies
779 Views
Bunge ni chombo muhimu kwa maslahi ya pana ya Taifa hususani katika kuweka sheria na utaratibu wa kanuni/sheria za nchi,maadili ya viongozi na usimamizi wa chama/serikali tunapofanya mzaha katika...
1 Reactions
1 Replies
248 Views
Dogo ni mvivu kuongea balaa. Usipomchokoza ukamuongelesha basi ujue mtakaa kwenye hali ya ukimya hivyo hivyo. Kujielezea hisia zake ni mziki mzito labda abanwe sana ndio atasema kidogo. Naona...
10 Reactions
47 Replies
3K Views
Kuna uhusiano gani kati ya usiku na kuzidi kwa maumivu? Mfano mama mjamzito uchungu huchachamaa zaidi wakati wa usiku. Hivyo hivyo jino huuma zaidi wakati wa usiku. Hata homa hushika mwili hasa...
10 Reactions
23 Replies
755 Views
SALA bora kabisa duniani ndiyo hiyo: Salamu, Maria, umejaa neema; Bwana yu nawe, umebarikiwa kuliko wanawake wote, na Yesu, mzao wa tumbo lako, amebarikiwa. Maria mtakatifu, Mama wa Mungu...
12 Reactions
47 Replies
984 Views
Baada ya Mdau wa JamiiForums.com kudai kuwa Soko la Kijichi lililojengwa kupitia mradi wa uboreshaji wa Miundombinu ya Dar (DMDP) kwa mkopo wa Benki ya Dunia (WB), linaonekana kama limetelekezwa...
0 Reactions
0 Replies
413 Views
Watu walioumizwa kihisia mara nyingi huonyesha tabia maalum. Hapa kuna ishara 11 za kawaida: Mara nyingi hutafuta njia za kujishughulisha ili kuepuka mawazo yenye uchungu. Wakati fulani...
1 Reactions
4 Replies
385 Views
Natumai mko wazima na wale wenye changamoto nawapeni pole niende moja kwa moja kwenye mada. Mimi kwanza sijijui kama ni introvert au anti social au nina vyote kwa pamoja nakumbuka maisha yangu...
69 Reactions
1K Replies
115K Views
mwenyekiti wa chama cha wagonjwa wa kisukari prof.Andrew Swai amewataka watu kuacha matumizi mabaya ya pombe ili kujiepusha bna magonjwa yasiyo ya kuambukizwa kama kisukari, magonjwa ya figo...
2 Reactions
4 Replies
331 Views
Back
Top Bottom