Ukifika Coco beach na gari utakaribishwa na mdau anayekusanya ushuru wa TZS 1,000 Kwa kila gari. Je, hiyo pesa inafanya kazi gani? Maana hata kile choo pale unalipia tena pesa. Uchafu umejaa kila...
Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kueleza kuwa kuna changamoto kubwa ya foleni eneo la Busisi kwa Watu wanaohitaji kuvumia kivuko kuvuka tangu usiku wa kuamkia jana Agosti 29, 2024, akidai...
Alitokea mzee mmoja na mwanae walikuwa wanasafir kwa kutumia punda so wakaamua kupanda wote kwenye huyo punda.
Wakiwa njian wakakutan na kundi la watu likawaambia watu gan nyie msiokuwa na huruma...
Mungu huwa anadeal na individual yaani wewe kama wewe haangalii mass kila mmoja anabeba msalaba wake.
Ndiyo mana yule mwanamke aliyetokwa damu mda mrefu alimuwinda yesu akiwa kwenye umati amshike...
Mawasiliano ofisi za umma ni changamoto sijui kama Rais analijua hili. Simu zao hazipatikani kabisa na kama zinapatikana hazipokelewi wala hawajibu emails. Hili ni gonjwa sugu ofisi za umma karibu...
Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyojieleza.
Najua wengi wenu humu mmekuwa mkisumbuliwa na huyu mnyama/ndege aitwae popo katika mapaa ya nyumba zenu. Kwa leo nimejisikia ku-share na nyie dawa...
SERIKALI KUKARABATI MADARAJA YALIYOHARIBIWA NA MVUA.
Naibu Waziri, Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa Serikali za Mitaa -TAMISEMI Mhe. Zainab Katimba amesema Serikali inatambua umuhimu wa miundombinu...
Unajua kuwa unaweza kuwa mgeni ambaye wenyeji hutamani aondoke haraka kwa sababu mbalimbali ikiwemo kukuchoka?
Hali hii inaweza kukutokea wewe au mtu mwingine yeyote anaposafiri kwenda ugenini...
TAMISEMI wahamisheni Maafisa Utumishi waliokaa kwenye kituo kimoja cha kazi kwa muda mrefu (Zaidi ya miaka 5) maana utendaji wao wa kazi umekuwa wa kimazoea.
Mfano kuna halmashauri moja Naafisa...
Yaani hiki chombo cha kusafirisha masikini huwa nashangaa kabisa mtu anaenda kufanya hii kazi, aisee kazi ambayo dakika sifuri unakua kilema au unachimbiwa futi sita tena hata kama uwe makini vipi...
Kuna jambo linastaajabisha sana kwa hawa ndugu zetu ma-askari polisi. Yaani polisi anaamka asubuhi kwenda kazini anaaga mke au mume, watoto, baba, mama kutesa au kuua binadamu mwenzake. Halafu...
The BRICS trading system is already wiping out US farmers, as global price discovery is destroyed (2024.08.29)
Millions of tons of annual agricultural trade is now being conducted OUTSIDE the US...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Arusha, Agosti 30, 2024 -
Benki ya Biashara Tanzania (TCB) imeendelea kuthibitisha dhamira yake ya kupanua wigo wa uwekezaji nje ya mipaka ya nchi. Hayo yameelezwa...
Imeundwa August 25/ 2024 na kufanyiwa maboresho August 26-27/2024
LOGO Imeundwa na Kamati yetu ya Ubunifu kwa kushirikiana na kampuni ya Strain Org inayomilikiwa na MwanaKigoma.
Imeundwa Kwa...
Kisayansi Yai na sperm ni cell inayoishi hivyo huitwa LIVING things.
Wale wanaodai kua mtoto ambae hajazaliwa si binadamu ni wauaji kama wauaji wengine. Samahani Kwa kuwaumiza Moyo, lakini Mimba...
Watu wanne wamenusurika kifo baada ya kupigwa na kukatwa mapanga pamoja na gari waliyokuwa wakiitumia aina ya Raum kuchomwa moto katika Wilaya ya Mbulu Mkoani Manyara kwa kudhaniwa kuwa ni wezi wa...
Watumiaji wa X (Twitter) mliopo JF, naomba kujua X kwenye vifaa vyenu mnaipata bila matatizo? Kwenye simu yangu tokea mchana wa leo X haifunguki: kwenye app na web.
Nimejaribu kutumia Proxy...
Kwa mujibu wa orodha ya 'Bloomberg Billionaires Index' imemtaja Bilionea Johann Rupert kutoka Afrika Kusini kuwa Mwanaume tajiri zaidi barani Afrika
Rupert anamiliki Kampuni kubwa duniani ya...
Mzee mmoja ajulikanae kwa jina la Daniel Epiniel ambaye ni mpangaji katika nyumba ya Bwana Joseph Mollel iliyopo Kata ya Sekei jijijini Arusha, anashikiliwa na Polisi baada ya kutuhumiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.