Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Anonymous (3844)
Ofisi ya Rais Menejiment ya Utumishi wa Umma iangalie vizuri mfumo wa Ajira Portal unatutesa tunashindwa kutuma maombi, kila ukijaza taarifa hazifiki asilimia 70 na pia hakuna mfumo wa kubadili...
3 Reactions
189 Replies
20K Views
Bangi inafaida kuliko inavyozungumzwa na wala haina madhara kama inavyozungumzwa. Ndani ya bangi kuna kemikali moja nzuri sana ambayo inasaidia kuongeza hamu ya kula. Baada ya wataalamu kuona...
11 Reactions
63 Replies
2K Views
Mawakala wa Utalii mkoani Kilimanjaro ,wameitaka serikali kuifuta mara moja Taasisi isiyo ya kiserikali iitwayo Kilimanjaro Porters Assitance Project (KPAP)kwa kile wanachodai taasisi hiyo...
1 Reactions
7 Replies
598 Views
Nikitazama namna ya maisha ilivyo sasa na inavyo enda nathubutu kusema kwamba wazee wa kuanzia miaka ijayo 20 au pengine hata kabla watakabiliwa na maisha magumu sana. Hili nalitazama katika...
11 Reactions
21 Replies
939 Views
Nimesoma vitabu 17 Mwaka 2019 nimepata maarifa kadhaa tutagawana hapa na kuelekezana kistaarabu 1.The Black mass-John le Carré: huyu mwandishi anaelezea kwamba kabla ya uvamizi Wa Iraq America...
9 Reactions
50 Replies
5K Views
Jamani naombeni mnisaidie sidhani kama nimepost kwenye jukwaa husika lakini kuna ndoto imenichanganya nmeota kwamba,nmejifungua mtoto hospitali lakini akawa katika uangalizi cha kushangaza...
1 Reactions
4 Replies
266 Views
Wakati huu wa mfungo. Huwa tunaletewa tende za Msaada toka Arabuni. Vipi kuhusu usalama wake? TBS wazipime tujue ubora wake
1 Reactions
6 Replies
348 Views
Mbinguni ni Wapi Mbinguni ni Wapi Katika Biblia, neno mbingu linatumiwa kwa maana zaidi ya moja kumaanisha mbingu halisi; makao ya kiroho, na cheo kilichokwezwa au kutukuka. Katika kila maana...
2 Reactions
6 Replies
642 Views
Ni jirani yetu huko nyumbani kwetu, pia kuna kaurafiki kwa mbali baina yetu. Likizo sometimes tulikuwa tunajisomea pamoja kwakuwa tulikuwa darasa moja. Jamaa akawa teacher wa Serikali baadaye...
69 Reactions
243 Replies
13K Views
God is good, Kila unapotoka kwenye kizazi kimoja kwenda kizazi kingine UVUMILIVU unapungua sana, nini shida? Unakuta kijana wa miaka 20 amekata tamaa kabisa! 27 Siku zote za Methusela ni miaka...
6 Reactions
11 Replies
608 Views
Ndugu, Usitakee kupendwa na kila mtu. Ndugu zakoo marafikii zakoo ukionaaa hawakupendwi ujue mafanikio yako yako karibu. Wengi waliopendwa wakitaka kupendwa waliolazimishwa kupendwa na ndugu...
10 Reactions
18 Replies
579 Views
Tabu zetu zimetunyanyasa kwa kiwango kikubwa kupelekea kuwa wahanga wa watu wanaotutumia sisi kama fursa na wale wanaomtukuza shetani wao kupitia huduma wanazotufanyia. Kwanini wanajiita manabii...
7 Reactions
27 Replies
1K Views
MBUNGE ATUPELE MWAKIBETE ASHIRIKI MBIO ZA MWENGE WA UHURU BUSOKELO, MIRADI MINGI YAZINDULIWA Mbunge Jimbo la Busokelo, Mhe. Atupele Fredy Mwakibete ameungana na Viongozi mbalimbali kushiriki...
0 Reactions
1 Replies
195 Views
Kwanza nilijiuliza kama huwa tunaandika nyuzi kwa watu tunao wapenda vipi kuhusu mwenzetu ambaye anapitia changamoto kwasasa,,nikaona niandike kwa ajili yako kipenzi Kwanza Leejay49 nimesikitika...
9 Reactions
12 Replies
400 Views
TAARIFA KWA UMMA Agosti 28, 2024 Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam ilitoa maamuzi yakekuhusiana na_ shauri lililowasilishwa mbele yake ambapo miongoni mwamaamuzi iliyotoa ni pamoja na kutoa...
7 Reactions
140 Replies
5K Views
Anonymous (5645)
Sisi wafanyabiashara wa Soko Kuu Mafinga tunaomba kufikisha kero yetu kwa Mamlaka za Juu akiwemo Waziri wa Viwanda na Biashara, Waziri wa Fedha na Rais Samia na kero hiyo ni kupuuzwa kwa madai...
0 Reactions
1 Replies
265 Views
Nabii kiboko ya wachawi aingia mtegoni na kuthibitika kua kweli ni tapeli baada ya Mwandishi kutoka Mwananchi Digital kupiga simu kwa kiboko ya wachawi na kujifanya mgonjwa na kiboko ya wachawi...
8 Reactions
43 Replies
3K Views
Manii za mwanaume ni mojawapo ya kiwatilifu bora kwenye ulimwengu wa giza.. .. Sababu yake kuu ni kwamba manii imebeba uhai na hutoka kwenye chanzo chenye uhai hivyo ni rahisi sana kuunda roho...
24 Reactions
85 Replies
16K Views
Introvert wa JF mpoo! Unafahamu thamani ya uintrovert wako? Kuwa introvert si ugonjwa. Nibaraka, lakini ukijitambua na kujikubali. Vinginevyo, unaweza ukawa sawa na mtu anayetaka kubadilishana...
23 Reactions
113 Replies
8K Views
Gas ya kupikia kwisha wakati huna jambo lolote mfukoni, au Gas iishe wakati una njaa na ndio tu ameanza kupika na wewe ndio uko njiani unatoka kwenye marejesho ya mkopo? Mbaya zaidi, store hakuna...
3 Reactions
7 Replies
327 Views
Back
Top Bottom