Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com aliyejitambulisha kuwa anatokea Wilaya ya Bariadi, Kijiji cha Mwasinasi kulalamika kuwa kuna kero ya kukatwa Umeme bila taarifa na shida hiyo imekuwa...
Kwa tupangieni content na sio na watu wazima? Kisheria mtoto harusiwi kuwa na simu sasa kutuzimia huduma maana yake nini? Kama wanahofia watoto wana simu hayo waachie wazazi wao.
Wale wanaoijua Vizuri Kurasini, Wanazifahamu kota za Bandari, hizi zilikuwa ni nyumba za serikali walizopewa Wafanyakazi wa Bandari ili waishi humo, karibu na Bandari ya Dar es Salaam ili...
Kuna hii tabia ya mitandao ya simu kushikilia pesa za wateja pindi miamala inapofeli huwa inakera sana
Ijumaa iliyopita nilifanya muamala toka akaunti yangu ya Tigopesa lakini cha ajabu pesa...
Wengi hufikiri haya mambo ni ya kufikirika ,hasa kizazi cha leo.
Nimekuwa kwenye hii field kwa miaka kadhaa nimejifunza mengi sana na nimeshuhudia mambo ya kutisha sana,siyo mimi mtarimbo Bali ni...
Wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Cane Growers wakionyesha maboksi ya pedi za kike zilizotolewa na Kampuni ya Kilombero Sugar leo wilayani Kilombero. Mchango huu, ambao ni sehemu ya mpango wa...
Nimesikitishwa hii mitihani kutofanyika online badala yake wanafanya mtihani kwenye makaratasi.
Kada nyingine zimekuwa zikifanya mtihani online na kwa kiasi kikubwa ni mitihani inayoaminika zaidi...
Kauli ya aliyekua mkuu wa wilaya ya Loliondo mkoa wa Arusha Marco Ng’umbi kua serikali iliwezesha ushindi wa madiwani na baadhi ya wabunge nchini katika uchaguzi uliopita, imetibua kidonda cha...
Raha ya ujinga ni kushare na wenzako kama ambavyo nami nashare huu ujinga na nyinyi.
Ilikuwa way back nakumbuka tuko shule ya msingi,ilikuwa kitaani kwetu kwa washua katika kota za wafanyakazi...
Ndugu wana jukwaa, tarehe 25 June 2024. mishahara ya wafanyakazi wa serikali ilitoka. Hata hivyo hakuna nyongeza yeyote, hata ile annual increment. Cha kushangaza, vyama vya wafanyakazi viko kimya...
Habari zenu watumishi wenzangu,
Naomba kufahamu tamko kutoka kwa vyama vya wafanyakazi kuhusu kwamba mwaka huu kuna annual increment au laa ili watu tujue hamsini zetu tunaziomba vipi, na mkataba...
MTU mmoja ameuawa huku polisi wawili wakijeruhiwa katika vurugu kubwa zilizotokea kijiji cha Ilagala wilaya ya Uvinza mkoani Kigoma wakati polisi wakijaribu kuzuia zoezi la wananchi wa kijiji...
Kila siku watu watatu mpaka watano hutelekezwa kituo cha mabasi cha Magufuli kilichopo jijini Dar es salaam wengi wao wakiwa ni watoto wenye umri chini ya miaka 18.
Ofisi ya ustawi wa jamii...
Mchungaji avamiwa na wananchi na kupigwa vikali baada ya kugoma kukubali watu wenye imani potofu kuingia kwenye viwanja vya kanisa kutoa uchawi.
waganga hao wa kienyeji wanakusanya 5,000/ kwa...
Well and good tunashukuru Serikali kwa kuanzisha huduma hii hakika inaleta unafuu na kukuza uchumi wetu as well kuipa sifa nchi yetu.
Ingawa kuna changamoto kidogo ya baadhi ya wahudumu kutokua...
Hivi ni kweli kwamba baadhi ya wanaume nao wanapitia bc hangamoto ya rushwa ya ngono pale wanapotafuta kazi maofisini au katika fursa mbalimbali? ni kweli kwamba wakiombwa rushwa ya ngono wanafrai...
Kumbuka kila unapo post Ticket yako ya Ndege unahatarisha usalama wako kama ifuatavyo
a. Kwa kutumia Msimbo Pau (Barcode) ya tiketi, Wadukuzi wanaweza kupata taarifa zako na kuzitumia kukufanyia...
Habarini,
Anasa na ufahari umezidi kwa watu hawa kiasi kwamba wanajiona wao ni special hapa diniani kwa kuishi kwa nguvu na hela za watu.
Iweje wanaopeleka hela kanikani na miaokitini walipe...
Hello habari za majukumu!
Niliajiriwa serikalini (kama mwalimu)miaka miwili iliyopita lakini baada ya miezi 6 nikaacha kazi si kwa kupenda ila kutokana na mazingira magumu ya kazi na kujikuta...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.