Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Habarini! Kama mada inavyosema, tuendelee kuwajua binadamu kwa undani kwa malengo yaleyale ya kujifunza na kufurahi na hatimaye kuchukua tahadhari. Leo naomba tutupie kisa au kioja chochote...
103 Reactions
212 Replies
14K Views
Mpaka leo sielewi ni nini kinafanya NHIF kuwa nyuma hasa wakati huu wa maendeleo ya kidigiti, ukienda hospitali unakutana na uhakiki wa kadi, kisha kuna lile karatasi kubwa km la kuandikia barua...
1 Reactions
2 Replies
152 Views
Habari zenu! Aisee nipo home huwa napenda kuangalia vipindi vya wanyama. Sasa katika tazama yangu nakutana na ma king of the jungle wawili (Simba na Dubu) kila mmoja ni mfalme kwenye eneo lake...
7 Reactions
52 Replies
2K Views
Taifa lolote ili liendelee lazima liwe na ajira mbili za wazalishaji na wauzaji, huyu anatwngeneza mali kisha anampasia muuzaji anaenda kuiuza kama vile wakulima na wafanya biashara wa kuuza...
11 Reactions
28 Replies
800 Views
Nilikuwa najiuliza kwanini watu wengi husema kuwa kama usipomalizia Kibanda chako au usipojenga Kipindi cha Uchaguzi Mkuu (hasa katika Nchi za Afrika) basi sahau tena kujeng. Kwani Kipindi hicho...
1 Reactions
5 Replies
274 Views
Hii ni Tabia chafu sanna ya kufumua barabara kisha inaachwa zaidi ya miezi sita huku ikiathiri maisha ya watu kwa maradhi ya macho mafua vifua vumbi kali sanna magari kuharibuka kwa mashimo...
4 Reactions
9 Replies
328 Views
TAARIFA KWA UMMA 29.8.2024 UPUNGUFU WA HUDUMA YA MAJI KWA WAKAZI WA MIKOA YA DAR ES SALAAM NA PWANI Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) inawatangazia Wateja na...
1 Reactions
6 Replies
774 Views
Kairuki Hospital trains Kenyan specialist What you need to know: Recently, Kairuki Hospital hosted a delegation from the Obstetrical and Gynaecological Society of Kenya (KOGS), led by its...
1 Reactions
2 Replies
338 Views
Waziri MCHENGERWA: DART Hakikisheni Wakazi wa Dar es Salaam Wanapata Kadi Janja za Mabasi ya Mwendokasi Waziri wa Nchi, OR-TAMISEMI, Mhe. Mohamed Mchengerwa ameitaka Wakala wa Mabasi yaendayo...
1 Reactions
5 Replies
452 Views
Sijui ila kwa akili zangu naweza kusema kuwa kama sekta muhimu na mhimili wa maendeleo ya Tanzania TANESCO kushindwa kufikisha malengo ya wananchi ya upatikanaji wa umeme wa uhakika, je, sekta...
2 Reactions
4 Replies
269 Views
Seif Kisauji 'Babu wa TikTok' Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Damas Ndumbaro ameongeza adhabu ya faini kutoka shilingi milioni 3 hadi milioni 5 msanii Seif Kisauji maarufu 'Babu wa...
8 Reactions
27 Replies
1K Views
Huwa najiuliza sana hili swali lakini sipati picha majibu kabisa.. Mfumo wa utawala, sheria, elimu, miundo mbinu, jamii, n.k. ni mzuri sana ukilinganisha na nchi ya Tanzania. Kwanini?
4 Reactions
25 Replies
457 Views
Akizungumza na waandishi wa habari Septemba 1, 2024 Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, Amos Makalla ametangaza uamuzi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) kuwafuta uongozi wanachama wawili wa...
3 Reactions
46 Replies
4K Views
Wingi wa vitambulisho inatoa tafsiri gani? Mimi kama BabaMorgan hii ndio list ya vitambulisho nilivyonavyo. 1. Nida 2. Driving license 3. Vote Id 4. Kitambulisho Cha kazi(ofisini) 5. Kitambulisho...
11 Reactions
20 Replies
911 Views
Kuanzia Tunduma ambapo niligonga passport kwa kulipia chanjo ya Corona Kama dereva wa Roli ambayo ilikua Tsh 10,000 nikapanda bus asubuhi ambayo ilifika Lusaka siku hiyo hiyo usiku wa saa mbili...
10 Reactions
6 Replies
2K Views
Haya hapa
3 Reactions
20 Replies
930 Views
Kwanza napenda kuipongeza Wizara ya Tamisemi kwa kuja na mfumo mpya wa kadi za kieletroniki katika vituo vya mabasi ya mwendo kasi. Sambamba na pongezi hizi bado kuna changamoto ambazo ni mzigo...
1 Reactions
1 Replies
320 Views
Mimi ninafanya shughuli za kujiajiri mwenyewe, kitu ninachoshangaa ni pale nikiwa na rafiki/marafiki, ndugu au wife halafu nikapigiwa simu na mteja wangu tukaanza kupatana bei. Baada ya hapo piga...
3 Reactions
14 Replies
497 Views
Dotto magari ni mfano wa limbukeni aliochangamka. Limbukeni anapopata pesa kinachofata ni kufanya mambo akiwa out of control. Hakuna anaependa kuwa nyuma kimaisha licha ya kusoma kwa maana...
2 Reactions
1 Replies
235 Views
Serikali itazame hili suala kwa jicho la tatu, ukatili unaoendelea katika jamii ni unyama wa hali ya juu, watoto wadogo kubakwa na kulawitiwa paka kufa (mtoto wa miezi sita DODOMA), mauaji ya...
1 Reactions
3 Replies
294 Views
Back
Top Bottom