Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Na NIRC IRINGA MKURUGENZI Mkuu Tume ya Taifa ya Umwagiliaji Raymond Mndolwa amewataka wakandarasi wanaojenga mradi wa Umwagiliaji Skimu ya Mkombazi Mkoani Iringa kuongeza kasi ujenzi wa miradi...
0 Reactions
0 Replies
275 Views
Uchawi upo. Jambo la ajabu kwa sasa nimepata kesi zaidi ya tano ndugu kurogana. Yaani kuna moja mama hataki kuona vijana wa kike na wa kiume wa wanatoboa. Ndugu wanafichana mambo na kila mmoja...
5 Reactions
37 Replies
793 Views
Leo sijui kumetokea nn kwenye mitandao Ya kijamii yaani clipu fupi fupi za mzee wa upako na dudu baya wakitema nyongo zao juu ya bunge hili la spika Tulia Mzee wa upako yeye alifika mbali kwa ssa...
13 Reactions
83 Replies
3K Views
WAZIRI BALOZI DKT. PINDI CHANA ATETA NA UJUMBE WA BENKI YA DUNIA Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi, Dkt. Pindi Chana (Mb) amekutana na kufanya mazungumzo na ujumbe kutoka Benki ya Dunia...
0 Reactions
0 Replies
147 Views
Hbr zenu wandugu, Bila shaka mnaendelea vizuri na majukumu yenu ya kila siku. Pia nawatakia sikukuu njema ya uhuru .9 Desemba. Ndugu zangu mitihani ya maisha ni mingi mno ila pamoja na wingi...
10 Reactions
36 Replies
6K Views
Stadi laini (soft skills) ni ujuzi usio wa kiufundi ambao mtu anamiliki na hutumika katika mawasiliano, kushirikiana na wengine, na kutatua matatizo katika mazingira ya kazi au kijamii. Ni muhimu...
0 Reactions
4 Replies
232 Views
Wana-Jukwaa habari ya muda huu, naomba kufundishwa jinsi ya kupata hati miliki ya nyumba, baada ya kuandikishana kwenye kitongoji husika sasa nahitaji kupata Hati Miliki Natanguliza shukurani.
1 Reactions
7 Replies
802 Views
Wasalam ndgu zangu, Naombeni kwanza kudeclare interest kuwa mimi ni mtu ninapenda balance katika kuhukumu historia na utamaduni wa watu. Kumekuwa na ujumla wa mawazo katika kusemea mambo...
6 Reactions
33 Replies
2K Views
TANAPA yapongezwa kwa hatua zake za kuboresha barabara za Serengeti kwa ufanisi zaidi, hatua ambazo zinaonyesha kujitolea kwake katika kuhakikisha utunzaji wa mazingira na maendeleo ya sekta ya...
1 Reactions
1 Replies
233 Views
Habari zenu wakuu Naomba kufahamishwa kuhusu agencies zilizo chini ya TAMISEMI ukiachana na Halmashauri, Manispaa na Majiji Je , TAMISEMI zina agencies zake zingine ambazo zinasimamia?? Uzi tayari
1 Reactions
12 Replies
314 Views
May all souls find enlightnment, Kamwe hauwezi kuwatenganisha hawa ndugu zetu na : Ujuaji Uchonganishi Chuki Unafiki Kupenda upendeleo Unaweza kuwaita "proffessional prevelege seekers" Kuna...
12 Reactions
49 Replies
1K Views
Wasalaam Nijikite moja kwa moja katika mada. Siku za hivi karibuni nilihudhuria harusi moja, ila kuna jambo likanipa maswali mengi nikasema isiwe kesi wacha nikashirikishe wanajukwaa. In short...
6 Reactions
44 Replies
1K Views
liberals vs conservatives waliberal wanaamini katika uhuru wa mtu binafsi, kila mtu ana uhuru wa kufanya kile anachoweza kufanya as long as hawadhuru watu wengine. walibaral wanaamini katika...
6 Reactions
26 Replies
839 Views
Miaka tangu na tangu, binadamu tumekuwa tukitengeneza silaha kubwa zaidi, yenye kasi zaidi na Nia yake ni Moja tu. Maangamizi. Sasa kufikia 1945 August 6 tuligundua silaha ambayo iliweka mpaka...
0 Reactions
2 Replies
123 Views
Sasa ni rasmi Watanzania wachache waliokuwa Wakimuamini wametuponza mno Watanzania wote kwa anayotufanyia.
11 Reactions
60 Replies
2K Views
Alibaba maisha zaidi ya Watanzania 60, je ni kweli tulichoweza kumsaidia Mtanzania mwenzetu akiuwawa na Watu ambao sio Watanzania ni kurecord video? Unauma saaana, inatafakarisha saaana, Hivi...
3 Reactions
33 Replies
2K Views
Salaam, Shalom!! Kuna wimbi linaendelea kujitokeza la vifo tata kuhusu viongozi wa kiroho. Miezi kadhaa iliyopita, yaliripotiwa matukio ya Padri kukutwa ameuwawa na kutupwa, wengine wakiuwawa...
7 Reactions
111 Replies
4K Views
Unapokuwa ktk matatizo tumia akili sana na utulivu wa hali ya juu kutatua matatizo yako, jamii zetu siku hizi zimeharibika. Wapo watu wanatumia matatizo ya watu wengine kama fursa kwao ya...
4 Reactions
10 Replies
598 Views
TECHNICAL REPORT ON MIRACLE CURE PRESCRIBED BY REV. AMBILIKILE MWASUPILE IN SAMUNGE VILLAGE, LOLIONDO, ARUSHA PREPARED BY HAMISI M. MALEBO (Dip. Ed (Sc), B.Sc (Hons), M.Sc, PhD)1 &...
1 Reactions
10 Replies
3K Views
Mshikaji wangu mmoja baada ya kumaliza Chuo mwaka 2014 na kukosa Kazi, aliingia kwenye biashara za M Pesa, Tigo Pesa na bank. Mpaka mwaka 2020 alikuwa amejenga nyumba kubwa na kuanzisha familia...
32 Reactions
67 Replies
3K Views
Back
Top Bottom